NIMEVUNA TANI 7.5 ZA UFUTA BAADA YA KUTUMIA MAJI NA MAFUTA YA UPAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
- Ndugu Jumanne Kahamba Nshasha Mkulima wa Mahenge Mkoani Morogoro kijiji cha Mwaya anayo furaha kubwa zaidi baada ya Mungu wa Madhabahu ya Inuka na Uangaze kumtendea, Anasema baada ya kutumia Mafuta na Maji ya Upako na kuchanganya katika Dawa ambayo alitumia kumwagilia Shamba lake wakati wa Kiangazi anashangaa baada ya tendo hilo alikuja kuvuna Tani 7.5 za Ufuta.
Anaamini kuwa si kawaida na yote hii ni vile alivyoamuwa Kujiunganisha na Madhabahu Moja kwa Moja kutoka Shambani. Anasema kila kitu Mtumishi wa Mungu anachosema na kutoa Maelekezo na yeye ufuatisha kwa Umakini akiwa Shambani kupitia TV na Radio baada ya kufunga Solar Power.
“Mimi nina Screen Shambani unavyokanyaga Mafuta hapa na Mimi nakanyaga huku, Unapokula Keki huku, Mtume nakula Kiporo cha Ugali” Anaeleze huku akiwa anatoka Machozi ya Furaha.
KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA
#arisendshinetanzania #2022mwakawakibalimarambili #mwamposalive
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.
LISTEN ARISE AND SHINE RADIO
105.7 DSM | 98.5 DSM | ARUSHA 95.7 | KILIMANJARO 95.1
IRINGA 99.3 | DODOMA 91.2 | | MOROGORO 104.7 SHINYANGA 100.7 | MBEYA 101.3 | SINGIDA 94.1.