Yote tuliyo nayo maishani tumeyapata sio kwa sababu tunastahili, ila ni kwa sababu ya upendo wake Mungu kwetu. Tubarikiwe sote kupitia wimbo huu. Please show your support by sharing widely and subscribing to my TH-cam channel! I love you all.♥️♥️♥️ Please feel free to LIKE, COMMENT and SHARE widely.🙏🙏
Kama kawaida yako you've made it again, pande zote nne zimeutendea haki hakika, 1. Production kama kawaida yake imeanzia ilipoishia na kuendeleza, hongera sana kaka mkubwa., 2. Mwimbaji naye kama kawaida ametenda yaliyompasa kuanzia sauti, muonekano na kuvaa uhalisia. 3. Dancers wako moto mmo 4. Mtunzi naye ameendeleza pale alipoishia, hongera sana kwake.
Hongera sana dada Annie 🎉 Mungu akubariki kwa uimbaji uzidi kumwimbia Mungu bila kuchoka,, siku zote nyimbo zako znanbariki wabarikiwe wote wanaokussoprt kufanikisha kazi zako nzuri ❤
Mmesema mimi siwezicomment first 🤣🤣❓......... Heeeeeyyyy y'all. Shout out to My girl and sister in Christ for the amazing work 😍😍😍😍 congratulations Anne 🥳🥳... let's share guys on our statuses and groups 🙏🙏🙏📌📌
Even God in heaven and Mother Mary should be impressed, a revolutionary approach to catholic songs which praise and edify God. Congratulations Anastacia for taking up the challenge.
A nice melody, angelically executed with strong back up vocals..God Loves us unconditionally, we got a super assurance as we begin the Year. Keep it 🔥🔥🔥🔥 Annastacia.
Another perfect piece...the dancers are on point as always, Won't talk about the singer coz she is always rocking. Thanks Ann for always blessing us with these awesome songs. 💖
Great voices,, could you please fly to USA and perform some concert over here, I'm so impressed, keep it up Anastacia, this reminds me of St Teresa's catholic church in 1st Avenue Eastleigh, thumbs up and amen
Christmas Noel- Tumaini Swai Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya- John Mgandu Shukrani Yangu - Ray Ufunguo Tukampokee Yesu- Tumaini Swai Bwana Amefufuka- J.D Mkomagu Ameshinda Mauti- Anastasia Muema Kama Watoto Wachanga- Andrew Mulama Nyimbo Tamu- Ray Ufunguo Wema wako wa Ajabu- Angelo Kitosi Usiogope njoo- Henry Kimario Ni upendo tu- Angelo Kitosi Guess the next composer 😁.. I guess it will be Ray Ufunguo 😅.
Beautiful song my sister, great message may Jesus Christ continue to give you an overflow anointing in your music career. Someone kindly like my post so I keep on watching this song.
Hakika Upendo na wema wa Mungu unatosha. Wimbo MZURI na hongera sana.Hakika nyimbo zako hunitia nguvu na kunipa uwezo wa kupiga hatua ya imani. Hongera na ubarikiwe zaidi.
Leo nakukosoa kwa mara ya pili una nyimbo ila unaharibu nyimbo kwa staili zako za uchezaji haziendani na maadili ya kwaya za Roma hizo ni za bongo fleva hivyo achana na hizi staili za uchezaji hizi
Nionyeshe kifungu chochote kwenye biblia kinachokataza mtu kumwimbia Mungu akicheza. Kwani Mungu alisema aimbiweje? Wacha kukariri maisha ndugu yangu. Hata Mziki wa kanisa unaosema wewe, una uhakika anaufahamu? Mimi sio kwaya, mimi ni Anastacia Muema. Na Kama ushauri wako ni kunikataza kumchezea Mungu wangu, basi sitaki! Kama hautaki kuona nikidance, zima data.
mm naona hamjaelewana vizulii mm nazani tunaokufatili wengi niwakatoliki na nyimbozako nizakikatoliki hiyvo kudans sio vibaya Wala sio zambi Ila je? unandans kwastaili ipi? napi njinsi unavyodans unaendana nauhalisia wahicho unachokifanya? kikubwa kwanza kubali kushauliwa pia kubali kukosolewa lakin sio kupaniki nakuchukia na kujib vibaya naamini hata liziki luanda nishabiki yako pia hata mm napenda nyimbo zako na nakufatilia Sana, kikubwa endelea kutuinjilisha kwanjia yakuimba🙏🙏🙏🙏🙏
Kwani ni styli gani inafaa jamani? Daudi alivua nguo akimchezea Mungu. Swala kuu na la muhimu ni anamchezea nani. Hongera dada. Msifu yehova kwa njia inaijua vyema mradi moyo wako uko sawa na yehova. Tumsifu yesu kristu wapendwa wakatoliki.
Yote tuliyo nayo maishani tumeyapata sio kwa sababu tunastahili, ila ni kwa sababu ya upendo wake Mungu kwetu. Tubarikiwe sote kupitia wimbo huu. Please show your support by sharing widely and subscribing to my TH-cam channel! I love you all.♥️♥️♥️
Please feel free to LIKE, COMMENT and SHARE widely.🙏🙏
Amen.
Twashukuru kwa Upendo wako Bwana...
Annastacia Barikiwa sana...
Obvious introduction ya wimbo na stancer ya Kwanza..oohhhh💜💜💜🔥🔥🔥🙏✅✅✅
Ni upendo wako Mungu japo sikustahili
Done it already.
Hakika n UPENDO tu❤
Anne Mwema be blessed. Tembea katika mwanga wa KRISTO.
Ndiyo maana ninashangilia iye eee.....emotional creative. Kongole Anastacia.
Wooooow kangi nikaa kemuyo👏👏👏👏👏👏👏
Ni muvea muno!
Kama kawaida yako you've made it again, pande zote nne zimeutendea haki hakika, 1. Production kama kawaida yake imeanzia ilipoishia na kuendeleza, hongera sana kaka mkubwa.,
2. Mwimbaji naye kama kawaida ametenda yaliyompasa kuanzia sauti, muonekano na kuvaa uhalisia.
3. Dancers wako moto mmo
4. Mtunzi naye ameendeleza pale alipoishia, hongera sana kwake.
I’m so much humbled by this comment.😌😌Thankyou so much C.Gen pro for the compliment!
May God bless you!🙏🙏
Many thanks God bless you continual.
Akika huu wimbo umeufanyia haki Kwa kuuimba vema
Nota nazo ndo izooo zimepangwa viproper.
Kweli ni UPENDO TU
Asante sana Chris. May God bless you.🤗
Nyimbo hii inanibariki sana
Ni upendo wa Mungu ndio umetufikisha hapa tulipo maana hatustahili kwasababu ya dhambi zetu. Ee Mungu twashukuru sana kwa Upendo wako kwetu🙏🏻😍❤️❤💓
Kwa hakika ni upendo tu Anastacia, a very beautiful song. May God continue blessing you
Thankyou so much Dennis🙏🙏🥰🥰
God bless you too!
Thank you again wajina, hakika sauti na kipaji chako unakitendea haki, sijawahichoka kusikiliza na kutaza nyimbo zako Mungu aendelee kukubariki 🙏
Woow nice song great job may God bless you and continue praising God forever
Amen! Be blessed❤
Wow!! Lovely momaaa endelea kumtumikia Mungu kwa sauti yako nzuri. God bless you abundantly as you continue praising Him.
Thankyou so much Rael. Be blessed too🥳🥳
Nice song may God bless you
Thankyou so much Jane. Be blessed too🥰
Anastacia good job keep it you're touching the body of Christ.God bless you
Amen! God bless you too
Our girl has done it again 🥰 Good job Ann for always blessing us with ur voice, Rajo production 👌👌 kama kawaida.....May God continue blessing u people
Thankyou so much baby girl. Thanks for the moral support. Be blessed!❤️❤️
Anastasia Mimi nazipenda San nyimbo zako kwenye cm yangu niwewe tyu mungu akubaliki San ❤🎉🎉
Nyimbo tamu .... pongezi sana
Asante sana🙏🙏
Wow,,wimbo nzuri sana..keep going dada 🙏🙏
Asante sana Sylvia🙏🥰🥰
Wow! Good singing 👏👏👏
Beautifully done 🔥🔥❣️
Thankyou so much dear for the compliment!🥰
Be blessed.🤗
Mwimbaji bora. Toka drc tuna kufwata
Mungu akubarik san kwa nyimbo mzuri
Asante sana Richard!🙏
Ubarikiwe sana🤗
Hongera sana dada Annie 🎉 Mungu akubariki kwa uimbaji uzidi kumwimbia Mungu bila kuchoka,, siku zote nyimbo zako znanbariki wabarikiwe wote wanaokussoprt kufanikisha kazi zako nzuri ❤
Oooooh wonderful
Thankyou so much🙏🙏🥳🥳
Wimbo mzuri Sana. Watubariki Sana. Ubarikiwe na kuzidi kumtumikia Mungu
Asante sana Dhahabu. Ubarikiwe sana!
Mmesema mimi siwezicomment first 🤣🤣❓.........
Heeeeeyyyy y'all. Shout out to My girl and sister in Christ for the amazing work 😍😍😍😍 congratulations Anne 🥳🥳... let's share guys on our statuses and groups 🙏🙏🙏📌📌
Hahahha!😃😃
Thankyou so much my dear. I’m humbled.😊
Blessings upon you!❤️
@@anastaciamuema 🙏🙏🙏 Amen
Even God in heaven and Mother Mary should be impressed, a revolutionary approach to catholic songs which praise and edify God. Congratulations Anastacia for taking up the challenge.
Another certified banger added to my playlist.You are blessed Anastacia 🙌 🙏🥰
Thankyou so much Suzzie. Be blessed❤
Amena mbarikiwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
A nice melody, angelically executed with strong back up vocals..God Loves us unconditionally, we got a super assurance as we begin the Year. Keep it 🔥🔥🔥🔥 Annastacia.
Thankyou so much Francis. Thanks alot for the compliment. Be blessed♥️
Nyimbo zako nitamu kweli , asante dada kwa nyimbo nzuri
Asante sana. Baraka tele kwako!🤗
Hongera sana Anastasia👏👏👏
Asante sana Rose🙏🙏🙏
@@anastaciamuema Welcome Anastacia
Anastasia keeep up ❤...l love you songs ❤❤❤❤
Another perfect piece...the dancers are on point as always, Won't talk about the singer coz she is always rocking. Thanks Ann for always blessing us with these awesome songs. 💖
Aaaaawwww🥰🥰🥰🥰. Thankyou so much my dear for the compliment.🙏🙏🙏
May God bless you for me.🥰🥹
Sina maneno ya kueleza wimbo huu, lakini umeshayanena . hongera
Asante sana Sue. Ubarikiwe dear❤
catholic my fathers church,my church and my children church..proud to be a catholic.
Dada unaimba barikiwa sana
Wow!!! U have made it again. Thanks for inspiring the world🙏 may God's blessing's follow you always😘
Thankyou so much Veronicah! Be blessed my dear❤
@@anastaciamuema Am humbled🙏
Well done my sister Anastacia.Keep going and God will bless you more and more❤️
Amen! God bless you too Philemon!🙏
May God continue to Increase the zeal of Worshiping Him with your beautiful voice.... Love you Anastacia
Aaaaww🥰🥰
Thankyou so much dear.
Love you right back!!!
Great voices,, could you please fly to USA and perform some concert over here, I'm so impressed, keep it up Anastacia, this reminds me of St Teresa's catholic church in 1st Avenue Eastleigh, thumbs up and amen
Finally the sweet song is here with us 🥰🥰🥰 congratulations ann
Yeeees finally. Thanks for watching. Please share widely!😊😊
Waaaaoh amazing 🥰🥰🥰
🙏🙏🙏🙏
Christmas Noel- Tumaini Swai
Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya- John Mgandu
Shukrani Yangu - Ray Ufunguo
Tukampokee Yesu- Tumaini Swai
Bwana Amefufuka- J.D Mkomagu
Ameshinda Mauti- Anastasia Muema
Kama Watoto Wachanga- Andrew Mulama
Nyimbo Tamu- Ray Ufunguo
Wema wako wa Ajabu- Angelo Kitosi
Usiogope njoo- Henry Kimario
Ni upendo tu- Angelo Kitosi
Guess the next composer 😁..
I guess it will be Ray Ufunguo 😅.
🙏🙏🙏
Wimbo mzuri hakika🥳🥳💯,,,
Asante sana 😊🥰
Beautiful song my sister, great message may Jesus Christ continue to give you an overflow anointing in your music career.
Someone kindly like my post so I keep on watching this song.
Thankyou so much. Be blessed!
Wow wow nimeonja pendo lako wema wako ukarimu wako hakika niupendo wako tu congrats sis wewe niwabaraka kwa hiki kizazi
Ray Ufunguo vs Anastacia hamjawai niacha nyuma
Asante sana Marie🙏🙏💕💕
Hakika Upendo na wema wa Mungu unatosha. Wimbo MZURI na hongera sana.Hakika nyimbo zako hunitia nguvu na kunipa uwezo wa kupiga hatua ya imani. Hongera na ubarikiwe zaidi.
Nafurahi sana kusikia kwamba nyimbo zangu zinakupa nguvu.
Mungu akubariki sana na akupe nguvu za kuendelea kumtumikia.🤗🤗
Leo nakukosoa kwa mara ya pili una nyimbo ila unaharibu nyimbo kwa staili zako za uchezaji haziendani na maadili ya kwaya za Roma hizo ni za bongo fleva hivyo achana na hizi staili za uchezaji hizi
Nionyeshe kifungu chochote kwenye biblia kinachokataza mtu kumwimbia Mungu akicheza. Kwani Mungu alisema aimbiweje? Wacha kukariri maisha ndugu yangu. Hata Mziki wa kanisa unaosema wewe, una uhakika anaufahamu?
Mimi sio kwaya, mimi ni Anastacia Muema.
Na Kama ushauri wako ni kunikataza kumchezea Mungu wangu, basi sitaki! Kama hautaki kuona nikidance, zima data.
mm naona hamjaelewana vizulii mm nazani tunaokufatili wengi niwakatoliki na nyimbozako nizakikatoliki hiyvo kudans sio vibaya Wala sio zambi Ila je? unandans kwastaili ipi? napi njinsi unavyodans unaendana nauhalisia wahicho unachokifanya? kikubwa kwanza kubali kushauliwa pia kubali kukosolewa lakin sio kupaniki nakuchukia na kujib vibaya naamini hata liziki luanda nishabiki yako pia hata mm napenda nyimbo zako na nakufatilia Sana, kikubwa endelea kutuinjilisha kwanjia yakuimba🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi sioni kosa lolote na dancing style
@@anastaciamuema kumbe hupendi kukosolewa unapendwa kusifiwa na kupewa like na hupendi dislike
@@fokasimeshaki9012 nashukuru sana kwa wewe uliyenielewa
Great,we participated in the making of the video in Alamano Centre btw😍😍😁
Hi Jesse. The one you participated will be out next month. Thanks alot for agreeing to participate 😌😌😌
Wimbo mzuri kabisa Anne.
Asante sana Borges❤
Nyimbo nzuri sana
Waoo bonge la wimbo hongera dada
Asante sana dear Francis.🙏🤗
Call her Dada Anastacia!!!! Umeniwezaaaaa,,, Mungu akutunze dada. Blessings upon blessings.
Aminaaaaaa🙏🙏🙏. Ubarikiwe sana my dear.❤Blessings🎉🎉
Safii Sana'a Mungu akutunzeee
Asante sana. Amina🙏🙏
Congrats keep it up your voice is amazing to everyone
Hongera sana dada kazi nzur sana
Asante sana John🙏🙏
Wow... I don't know even what say.... Such a very nice song .. ❤️❤️🌹
Thankyou so much Kelvin.🙏🙏🙏
Congrats mrembo wimbo umeweza,,,, unaendelea kunibariki,,
Thankyou so much Victor.🙏
Be blessed.🤗
Beautiful 😍 song my favorite ❤️ keep up and be blessed
Thankyou so much dear❤.
Happy new year🥰 and be blessed 😊
Nice song indeed 🙏🏼🙏🏼and please God answer my heart desires this year 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen🙏
May God graciously answer your prayers🤗
God blessed you. You are very special .
AMEN🙏
I’m so humbled.😊
Well done AM 🙏
Thankyou so much Silvia🙏🙏.
Pongezi Ann kutubariki tena na NI UPENDO usiochagua. Like your songs
Thankyou so much dear Lokuwam
Be blessed
Kupitia kwenye wimbo huu nimeguzwa rohoni mwangu zaidi
Amina.
Tumshukuru Mungu kila wakati🙏
So lovely dear 😘😘.so amazing keep up dear 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thankyou so much Jackline🙏🙏🥰🥰
Welcome dear🙏🙏
Nice one dada yetu
Asante sana kaka Munene🙏🙏
Mungu akuongeze nguvu ya kuimba
Hongera sana kwa huu wimbo zidi kutamba. 👌👏👏👏👏👏
Amina. Ubarikiwe sana Sammy 🙏🙏
Endelea kuimba mamaa nice song
Nyimbo nzuri sanaaaa
Hongera Sana mkuu
Asante sana kaka Raymond🙏💕
Hongera sana dada angu mungu azidi kukulinda nakukubali kwa nyimbo zako nzuri mungu Yuu pamoja nawe
Asante sana pia kwa kunipa moral support. Ubarikiwe sana.🤗
When God grace is upon you no enemy can defeat you.keep going my sister without looking behind.good job
AMEN. 🙏You’ve really encouraged me this morning. God bless you.♥️♥️
Gaaaal😍this is so lit
Thankyou so much Esther🙏🙏🥰🥰
Nabarikiwa sana uimbaji wako🙏🙏🙏
Amina🙏🙏
Zidi kubarikiwa!😊
Congratulations nyimbo zako unibariki sana endelea na kazi ya Mungu na kumtumikia. Be blessed
Thankyou so much Anna.😊
Ubarikiwe sana my dear.🥰🤗
Our queen never disappoints👏👏👏👏hongera Sana dada yetu,watoto nao wamecheza vilivyo👍
Asante sana Afande Moses.
Be blessed!🙏🙏
Umepewa kipaji Cha kuimba na unamwimbia yeye hakika ni upendo tu
Sifa na utukufu zimrudie yeye aliye juu mbinguni, Amina.🙏🙏
@@anastaciamuema pamoja sana
Kweli dada wanoga kwa sana.ubarikiwe umiminiwe yaani zikirimwe baraka
Amina Amina🙏🙏
Ubarikiwe zaidi kakangu🥰
Wow! Sauti nzuri Sana,zidi kutubariki kwa kipaji hiki,hakika ni upendo tu♥️
Asante sana my dear.🙏🙏🤗🥰
Ubarikiwe sana.❤️
Hawa watoto wa PMC wako vizuri sana👏👏👏
Shukran 🙏
Here again,hapa ni upendo tu,rarueni mioyo around the corner 🥰🥰🥰ni kesho👏👏💪
Hakika ni upendo wa mwenyezi mungu....barika sana dada
Wooooooow nice one again... Mungu akubariki zaidi nyimbo zako zimenijenga sana kiimani Mungu apewe sifa kila wakati
Thankyou so much🙏
Wimbo mtamu...naskiza na kurudia..Watoto nao wako sawa...God bless you
Asante sana Kaluki.
God bless you too!🥰
Amina, baba mungu azitunze kipaji zenu mumtumikie kwa upendo
@Anastacia, I can imagine it's now two years down the line but the message is so freshly blessing 💐💞💞🙏🙏🙏🙏🙏 I love it so much 🎉
Wow! It’s 2years now😃. Time flies too fast!
I’m glad the song is a blessing!🙏🤗❤️❤️
Hakika you always do it great lovely sister annastacia,endelea kutumika ktk kuihubiri injili kwa njia ya uimbaji.
Asante sana my dear🙏🙏.
Amina🙏
Ubarikiwe sana 🤗
Kazi njema Dadangu... You never disappoint
Team Choir Kanisene @weru TV tuko tayari kuwapa watazamaji wetu kesho. God bless.
Asante sana! Mungu awabariki sana pamoja na Watazamaji wote!🙏🥰❤️❤️❤️
Wimbo tamu sana dadangu. May God continue blessing you. Much love.
Amen. God bless you too my dear.♥️
Cheers!🥂
Mungu akupee neema ya kumtumikia zaidi ,unafanya kazi nzuri sana,barikiwa sana,this is God's given talent
Amina🙏🙏🙏
This song has been in loop since yesterday! A very touching message, Thank you Ann for blessing us with this song. Hakika ni upendo tu!
Aaaawww🥰🥰🥰. Thankyou so much Akwomi.🙏🙏
Thanks for the support!😊
Wow ♥️ melodies voice ♥️be blessed dear sister Anastasia ♥️
Thankyou so much🙏🙏🥰🥰
There seems a way God multiplies beauty, elegance and adorable rhythms to those who work in his ministry. 🎈❤️🔥🔥🙏
Nabarikiwa na nyimbo zako.... natamani siku moja tuimbe sote
Hongera sana God bless you
Asante sana❤
Hongera sana my dear,,napenda uimbaji wako sanaa,,mwenyenzi mungu aendelee kukulinda 🙏🙏🙏
Asante sana dear Beatrice.🥰🥰
Amina!🙏
Mungu akubariki sana dadangu.🤗
Tamu sana..
Barikiwa Dada
Amina. Ubarikiwe zaidi
Hakika upendo wa Mungu...ni kwa wote....nyimbo nzuri Anne💞 congrats 👏🙏
Kwani ni styli gani inafaa jamani? Daudi alivua nguo akimchezea Mungu. Swala kuu na la muhimu ni anamchezea nani. Hongera dada. Msifu yehova kwa njia inaijua vyema mradi moyo wako uko sawa na yehova. Tumsifu yesu kristu wapendwa wakatoliki.