Badi Star-Kukupenda sitochoka Official Audio Mp3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 59

  • @RaphaelKilonzo
    @RaphaelKilonzo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenzi shikamoo..ngoma tamu sana🔥

  • @Rahamijr
    @Rahamijr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Badi star uko top

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe badi 🌟 unaniua me jaman ulikua wapi wewe jaman tumechoka mambo ya NYEGEZI 2021 tujuane hapa..

  • @BabuNL
    @BabuNL 3 ปีที่แล้ว +1

    Bad badi oya twataka video zako huku ukipiga live king of lamu big up bro

  • @PerisTwara
    @PerisTwara 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nami sichoki kupenda badi

  • @kinanajuma7692
    @kinanajuma7692 3 ปีที่แล้ว +2

    Niradhi nntavumilia nimeipenda😚

  • @thumabby3655
    @thumabby3655 4 ปีที่แล้ว +2

    Santhaa badi juu sana 2 mbona raha ttupu jamani

  • @mammymasibomammy5004
    @mammymasibomammy5004 3 ปีที่แล้ว +1

    Dadi upo yuuuu 💖💖💖💖💖💖👌💥

  • @luvunomrabu7808
    @luvunomrabu7808 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sitachoka ❤

  • @abk1127
    @abk1127 3 ปีที่แล้ว +1

    Weche mofa hoo,,😄😄😄

  • @aananisarahmarahma52
    @aananisarahmarahma52 5 ปีที่แล้ว +11

    Santhaaa badi star unanikosha najihisi kama niko kenya. Fauzia from saudi Arabia riyadh 👌

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 4 ปีที่แล้ว +1

    Hadiii rahaa

  • @aminaali1001
    @aminaali1001 5 ปีที่แล้ว +3

    Asanta badi star umenigusa 😊🙌

  • @shabanhamad6565
    @shabanhamad6565 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana. Nahitaji hii audio tafadhali

  • @sophiasophia1922
    @sophiasophia1922 5 ปีที่แล้ว +2

    Honger wanikosha

  • @babsule362
    @babsule362 5 ปีที่แล้ว +3

    Sanaa Badi Badi Ningekependa Wimbo wa "Ewe kipenzi Cha Moyo Wangu"....Kazi Njema

  • @hassanswaleh1892
    @hassanswaleh1892 4 ปีที่แล้ว +2

    mswaili apo sawa utachoka tu....................

  • @chozilasamaki5473
    @chozilasamaki5473 3 ปีที่แล้ว +1

    Niradhi tavumili ‼😭😭😭

  • @samusule5609
    @samusule5609 5 ปีที่แล้ว +2

    Hadi raha najikuta Niko Kenya

  • @فاطمةعلي-ك8ه7خ
    @فاطمةعلي-ك8ه7خ 5 ปีที่แล้ว +1

    Santa badi star...najihisi kama Niko Kenya vile

  • @sashamonique9438
    @sashamonique9438 5 ปีที่แล้ว +1

    Ina raha... Keep it up badi

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 5 ปีที่แล้ว +4

    kazi nzuri sana

  • @zalaqmerc7564
    @zalaqmerc7564 4 ปีที่แล้ว +1

    Apo safi badi

  • @mesasaid2128
    @mesasaid2128 5 ปีที่แล้ว +1

    hadi raha..endelea utupe na nyinginezo

  • @ndegwandilo4518
    @ndegwandilo4518 5 ปีที่แล้ว +1

    naburuka. Aky na Shairi lako

  • @jumahoza5166
    @jumahoza5166 5 ปีที่แล้ว +3

    Unatupa burudani ilo sawa

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 ปีที่แล้ว +2

    Nzur mshllh

  • @aminaomar4568
    @aminaomar4568 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie Audio

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 ปีที่แล้ว

    Sitochoka!! 💖💯💖

  • @adamsaga6700
    @adamsaga6700 4 ปีที่แล้ว +2

    Tamu had inakosha nafsi

  • @juliusmwinga4051
    @juliusmwinga4051 4 ปีที่แล้ว +2

    Tamuuu

  • @mejumwasecret1966
    @mejumwasecret1966 5 ปีที่แล้ว +2

    Tamu sana

  • @moregainer
    @moregainer 3 ปีที่แล้ว +1

    Vunzarere

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwapatikana msa sehemu gani Nani Chama gani hichi

    • @torabadi4879
      @torabadi4879 5 ปีที่แล้ว

      tuko kisauni soko mjinga Ama unapiga cm namba 0722423742

    • @ndegwandilo4518
      @ndegwandilo4518 5 ปีที่แล้ว

      Badi wongora kazi nzuri mashallah

    • @monyshaali9721
      @monyshaali9721 5 ปีที่แล้ว

      Badi umenoga waiyoyooo nimemis kenya mbna

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsanta naona kama niko rasini

  • @mwanatumuhassan3414
    @mwanatumuhassan3414 5 ปีที่แล้ว +2

    Kujitoa homesick kiasi

  • @officialsalhatbby1802
    @officialsalhatbby1802 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana hii nyimbo

  • @kobusingyehidaya8504
    @kobusingyehidaya8504 6 หลายเดือนก่อน +1

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 หลายเดือนก่อน

    💃💃💃💃👋👋

  • @ramlaabdulla4908
    @ramlaabdulla4908 4 ปีที่แล้ว +2

    Badi sina lakusema😂😂😂

  • @shamimnassor6192
    @shamimnassor6192 4 ปีที่แล้ว

    Una bonge wa chura chura Hilo la zuu nafkiri

    • @husseinkassim2188
      @husseinkassim2188 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimependa sana badii ni mimi Hissein kutoka Mambrui au Bilad

  • @aminaomar4568
    @aminaomar4568 4 ปีที่แล้ว +3

    Yanigusa moyo kwa ninaye mpenda

  • @swamduismail7482
    @swamduismail7482 5 ปีที่แล้ว +1

    Waiyoooooo

  • @sophiashaban8147
    @sophiashaban8147 5 ปีที่แล้ว +1

    Poa sana

  • @bintfamau6017
    @bintfamau6017 5 ปีที่แล้ว +2

    🌷🌷🌷👍

  • @juliusmwinga4051
    @juliusmwinga4051 4 ปีที่แล้ว +4

    Kuna wimbo unaenda na hio beat nkiupata ntafurahi sana.
    Itakuaje kutupenda wawili nami najua una moyo mmoja najua utadanyanga mmoja au yeye au mimi sijui.
    Na mpira huchezwa na wingi ila mshindi hua ni mmoja.
    Shukran
    +968 95261685

    • @mariamaboud3429
      @mariamaboud3429 4 ปีที่แล้ว +1

      Ata mm nauomba huo wimbo tafadhal 0735991870

    • @juliusmwinga4051
      @juliusmwinga4051 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mariamaboud3429 nimeutafuta mpaka nkazoea.
      Nkiupata inshaaallah ntakutumia.

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 5 ปีที่แล้ว

    👌

  • @almasimwinyi7740
    @almasimwinyi7740 5 ปีที่แล้ว

    🥰🥰

  • @فاطمةعلي-ك8ه7خ
    @فاطمةعلي-ك8ه7خ 5 ปีที่แล้ว +1

    Santa badi star...najihisi kama Niko Kenya vile