Wanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT waandamana Juja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Mamia ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta wameandamana hii leo kudai haki kufuatia kifo tatanishi cha mwenzao denzel omondi ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya mgodi huko Juja. Wanafunzi hao ambao walifunga barabara kuu ya thika wamekataa matokeo ya uchunguzi wa maiti wakishikilia kuwa mwenzao aliuawa kwa kuhusika katika maandamano dhidi ya serikali

ความคิดเห็น • 10

  • @YallboyzYT
    @YallboyzYT 23 วันที่ผ่านมา +1

    First🎉

  • @AfriKan-Nazi
    @AfriKan-Nazi 23 วันที่ผ่านมา

    Mbona citizen hamcover izo miili zimepatikana

  • @user-oy5fn8du4u
    @user-oy5fn8du4u 23 วันที่ผ่านมา

    Inauma sn jmn😢😢😢

  • @faridaabbas7199
    @faridaabbas7199 23 วันที่ผ่านมา

    ruto must go

  • @AfriKan-Nazi
    @AfriKan-Nazi 23 วันที่ผ่านมา

    # Ruto must go

  • @YallboyzYT
    @YallboyzYT 23 วันที่ผ่านมา +1

    Pls pin

  • @jotonyae-04
    @jotonyae-04 23 วันที่ผ่านมา

    Ruto anatumaliza pole pole tu jamani

    • @karimimiriti3827
      @karimimiriti3827 19 วันที่ผ่านมา

      Ruto aliwatuma kwa barabara