ONE OF BEST COUNTY COMMISSIONER MR MOHAMED NOOR HASSAN!HE WAS OUR COUNTY COMMISSIONER TANARIVER COUNTY!MOMBASA COUNTY MUMEPATA GWIJI MUSHUKURU MUNGU KUPATA HUYU MUCHAPA KAZI.
TH-camr called Marwa was robbed in nairobi and decided to run to mombasa saying he felt very unsafe in nairobi. Sasa toka mombasa moja kwa moja mpaka nyabohanse
ONE OF BEST COUNTY COMMISSIONER MR MOHAMED NOOR HASSAN!HE WAS OUR COUNTY COMMISSIONER TANARIVER COUNTY!MOMBASA COUNTY MUMEPATA GWIJI MUSHUKURU MUNGU KUPATA HUYU MUCHAPA KAZI.
Hiyo mpango ya chakula is making people lazy I always said this, it's a very bad Idea
Anajibu maswali vizuri sana .Afadhali washikwe wote tuwe free
Nendeni majengo na kibokoni..
TH-camr called Marwa was robbed in nairobi and decided to run to mombasa saying he felt very unsafe in nairobi. Sasa toka mombasa moja kwa moja mpaka nyabohanse
Mombasa cement plz Give them jobs not food..
Kabla wauwawe
Wauliwe hao wahalifu,hakuna kuwahurumia,asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
Arest them alll shika mpaka mama zao
Kisauni sai ni kama Haiti...wallah usiku saa sita hakuna mtu kwa street
Wapingwe risac wote akuna aja ya wao kuishi
CHOKORAAS WALOTOKA BARA WARUDISHWE KWAO. NI WIZI SANA.
Tafadhalini ondoeni hii muthokaa na madawa ya kulevya hii inawaathiri sana wanafunzi
MCAs ni wazembe. Polisi pia. County ndio wameoza.
Serikali Wezi kwa masuti vijana wezi Watashika Innocent vijana thts wht we know kwa hii serikali
Wajakoa atawatoa.
WAKO WENGI MAKADARA GARDEN KARIBU NA CENTRAL POLICE. UHURU GARDEN NDIO WANALALA NA GANJONI.
Wachikwe wote na wacachiliwe mkono wa serikali ufate sheria zake
Wakishiba wanasumbua
Wapigwe tu marisasi waishe
Yes walishwe copper,ndio watulie na bure watarudi Tu