Ooih! Hongera sana Dada Neema kwa kuangaziwa Na Mungu kumweka Mama mbele yako Na kumtafakari kwa kina hata ukatunga wimbo uliotugusa wrote.Mama nakushukuru sana kwa malezi Na kunijali nakuombea maisha marefu. Lakini simsahau baba yangu kipenzi mlieshirikiana naye kwa kila kitu kwa ajili yangu kwa upendo wa dhati.pumzika kwa A man I Baba!
Mamang Nakupenda Sana mama Yangu Nakuombea kila la kheri kwa MUNGU WETU na upewe maisha marefu Sana Uutazame uzee ulio mwema. Tumpende na kumwombea mama popote alipo duniani.
This song reminds me of my loving mum, never gave up on me and would go for anything to see me happy, imiss her very much, continue resting in God's hands till we meet again.
Hakuna kama mama duniani nakupenda sana mamaangu pumzika kwa amani mamaangu😭😭 asantee Neema kwa ujumbe mzuri mama hana mfano naishia kulia kila nikisiliza wimbo huu unahisia kali sana
SUBSCRIBE
Ooih! Hongera sana Dada Neema kwa kuangaziwa Na Mungu kumweka Mama mbele yako Na kumtafakari kwa kina hata ukatunga wimbo uliotugusa wrote.Mama nakushukuru sana kwa malezi Na kunijali nakuombea maisha marefu. Lakini simsahau baba yangu kipenzi mlieshirikiana naye kwa kila kitu kwa ajili yangu kwa upendo wa dhati.pumzika kwa A man I Baba!
Mungu azidi kuku bariki dada Unanikunbusha mamangu kweli 😭😭
Nan kama mama I love you mumy mung akupe maisha maref mama angu.ubarikiwe mwimbaji wetu ulifikiria mbali sana
wimbo mzuri sanaa mungu awalinde kina mama wote duniani
This song❤❤❤ mama kipenzi cha roho yangu
Mamang Nakupenda Sana mama Yangu
Nakuombea kila la kheri kwa MUNGU WETU na upewe maisha marefu Sana
Uutazame uzee ulio mwema.
Tumpende na kumwombea mama popote alipo duniani.
Nakupenda momma ❤ be blessed mtumishi kwa wimbo mzur kwa hakika hakuna anaeweza majukumu ya mama ishi sana mama
Nakupenda sana mama naomba ukae miaka mingi nzidi kupata upendo wako mama
Wimbo mzuri sana,nani kama mama, pumzika kwa amani mama angu nimekumbuka mengi niliposikia huu wimbo, kwa upendo wako mama yangu
Continue to rest in peace love mama always l crying when this song play keep your mama happy one day you will miss
Pole sana et
Pole best ❤
Mama kipenzi changu.
God bless you mami.
Ahsante mama.
Nakuheshimu mama.
I just watched this song on tbc and had to come look for it
Oh mama nakupenda sana
Hakuna Kama wewe mama😘
Like me❤
Wallah umenikosha na hii nyimbo, Mungu akubarik🤝
what a song to mama. i love it a million times i would listen to it. mama's love is the only true love.
Always the best... so much l9ve to the real person who matters
Sina Cha kukulipa mama angu, zaidi ya kusema Asante .
Mungu ambariki mama angu mahari halipo nampenda sana mama 🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
This song reminds me of my loving mum, never gave up on me and would go for anything to see me happy, imiss her very much, continue resting in God's hands till we meet again.
Mama yangu siku ya wapendanao ulijitoa sana kwa ajili yangu sina cha kukupa my dear wangu mom Mungu akupe heri nyingi
Niliukuta huu wimbo status nikafurah sanaaa
Jaman kaimba nani huu wimbo love u mom umenikosha sana
Hakuna kama mama duniani nakupenda sana mamaangu pumzika kwa amani mamaangu😭😭 asantee Neema kwa ujumbe mzuri mama hana mfano naishia kulia kila nikisiliza wimbo huu unahisia kali sana
😢😢pole sana
Pole best❤
I love mamy💝💜💜💜💜💜💜🙏🏼👏🏿👏🏽🙏🏼👏🏿👏🏽
Touchable song God bless you
Listening to this song makes me miss my Mum very much, continue resting in God's hands sweet Mama.
I love you mummy ❤️❤️mwenyez mungu akupe miaka mingi nizidi kupata upendo wako mama angu nakupenda sana ❤️❤️❤️❤️
Ilove you mama❤❤❤❤❤ nakupenda sana
Everyday when I watch this I always feel the love of mom,nakupenda may God give you many years to live with us.
Finaly i have found this song here..thanks
Pumzika kwa Aman mama nimekumbuka mbali sana
Remember me yrs ago,,, appreciate you nice songs
An awesome song I love it I can listen to it the whole day live long mum I love and need you
Nan kam mama asant neema kwa wimbo mzul
Love you mom♥️❤️💖💕
you mean a lot to us mom,,may God give u long live,,,,to enjoy ma fruits....
Good song
Wimbo mzurii san madam kamwela
I love you mamy my ❤❤❤❤❤
Mama ni kitu kingine 🥰😣🙌🏽
Nakupenda sana mama yangu ❤️❤️❤️
Amina kwa akina mama woteeee Tanzania❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri Sana ,be blessed ,ilove you so much my momy ,Mungu akupe umri mrefu kwa ajili yetu🙏🙏
Kipenzi Cha roho mummy feel loved wherever you're ❤🎉
Love you mammie ukweli wewe in wamaana.
nan kama mama jaman
I love you my mom 💕💕
Mungu akulinde Mama yangu ❤❤❤❤ na Asante kwa malezi yako Mazuri
Pumzika kwà amani mama yangu nakupenda mama
A wonderful song
So sweet ,,love you my dear mother,wish you quick recovery mamii❤❤❤❤
Mama angu mungu akuweke🌹🥰🙏
Wimbo bomba
barikiwa kwa nyimbo nzuri
Napia kwauchungu nimekus sana mama yangu
Barikiwa mama mama yangu popote ulipo
dah nyimbo nzuri sana
God bless you Mom
I wish she would be in this universe but she's not around anymore, I would sing for her 😢...R.I.P MY MOM 🤱♥️
I love u dear mom
Good song it has meke me to rember back 🙏
Nakupend mama❤
Love you mama❤️❤️
Nice song
Wimbo mzuri
Awesome song 😘😘😘
Nyimn ya nani please anae jua anambie
Inaniliza, namkumbuka mareheumu mama yangu,nakumbuka mengi, jamani, RIP Mum
Ilove mama 💓💓
Beautiful song...... On this mothers day
RIP my mummy 😭😭😭😭
I wanna sing to my mom too please sister...
I love mom
Amina .Asante sana
Hongera tutolee nyingine bc
Nani kama mama my mom pumzika kwa amani mama yangu kipenzi 🙏
Pole best ❤
Mam ni mwalim
Love you momy
very beautifully and amaizing song!! mwimbaji anaitwa nani?
Neema Albert Sanga
Rest in peace wherever you are momiiiii😢😢😢😢
Nice
vremment 🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
Mama ni mwalimu I love you mommy ♥️♥️❤️
Maman est tout pour moi
2023😍😍
❤
Nampenda mama yang jmñ
Hakika hakuna kama mama
Kati ya wapendanao wakwanza wewe kipenzi changu mama
The singer name pleases.
Beya's family
please can i get the audi of this song?
Want to download it and always have it, how should I go about?
Mama nakupenda sana mama yangu
Mbona nikitaka kudownload huu wimbo unagoma jamani nifanyaje???
Pengine hawajaruhusu uwe downloaded
Hata mm nilijarib sana bt nimeshindw
Andika mama ni mwalimu utamwona huyu binti
Nikitaka skiza tune code ni nini plzz
I love my mama 🙏🥲🥲🥹🥹
kulufi
.
❤❤