#MANG
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- #TraditionalDance
#Nyakyusa
#Wanyakyusa
Mang'oma ni ngoma maarufu ya utamaduni wa Wanyakyusa.
Ngoma hii huchezwa baada ya mavuno ya Mpunga na kipindi ambacho ndizi zinakuwa zimekomaa sana kwaajili ya chakula.
kwa zamani, kila eneo lenye Chifu lilikuwa pia na ngoma yake ambayo inamtindo wake wa upigwaji na uchezwaji, ukiwa unatafsiri yake.
Ngoma hii ya ing'oma huwa na malengo yake ambayo huwa ni Kudumisha umoja, Kuburudisha, Kuelimisha, Kudumisha Mila na Kutoa uwanja wa biashara.
Ngoma hii ili ikamilike huwa na timu tano. Hizi timu huwajibika kwa mtindo wao na kazi yao maalumu ya kuchangiza kwatika kufanikisha kitoa burudani husika.
Ngoma huwa na timu ya Wazee waongoza ngoma, Mpiga ngoma kubwa, Wacheza Stepu na Fimbo, Wapiga ngoma ndogo ndogo, Wapiga vivvuzela, Wacheza step bila fimbo.
Katika michezo hii ya ing'oma ambayo hujumuisha ngoma kadhaa kutoka mahala mbalimbali ambazo zinakuwa zimealikwa kushiriki, huwa pia kunakumtafuta mshindi ambako hufanywa haswa na mashabiki, ambao huwa na jukumu kujua ni ngoma ipi imeongoza katika mwaliko huo.
Ngoma ya nyumban mwakaleli kwetu kasanga
Nyumbani kumenoga au sioooooo
Daàh kitambo mwandesile
Tembelea home kipindi cha ngoma
Mbona mnaharibu maandishi ya kinyakyusa sema "tujebonbege" na siyo ulivyo andika
Ndagha fijo, tuhmanyisanieghe
Mweeh! Moghonile bhakukanja Bhaghweto mongombwiswe kotali fiijo heee mmaloli bhapyolile bhakukanja bhobhikotyonga olo
Aghwiseko ughwanane.
dahaaa nimekumbuka sana izingoma nazielewa kinoma 🥰
Hapa ndio mahalapa pake sasa. Utazipata nyingi kupitia hapahapa.
Daah hii ngoma imebadili mziki wake wa asilia,enzi za marehemu mzee Mwandesile ilikuwa na mziki wa kipekee sana ❤❤❤❤
Ni balaa na nusu. Najiandaa kwenda mwezi wa nane kuangalia tena.
Ngoma ya nyumbani kwetu,nawamic sana ndg zangu
Twende nyumbani tukaziangalie hizi burudani
Himbombo
Mbombo ngafu
Ngoma ya nyumbani Bujonde Mbangamojo,
Mbangamojo wanahatari ni balaa
From Kabwe Zambia am so miss Home Kyela
Uje tu mwezi wa 7.
Ohh Asante sana bro
Also I miss home from itigi
Safi
Namtafta jamaaa bonge uyo anipe namba yake nipo iringa tafadhali tuwasiliane
Bonge yupi, mwanamke au mwanaume
Dash nimekumbuka nyumban kyela ngonga
Ndagha ndaghaa
Nyumbani kizuriiii