SAMAKIBA | Alikiba, Mwijaku, Hasheem Ibwe wazungumzia tamasha la nifuate

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2024
  • Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba, Ahisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe na mwanahabari Mwijaku, wamezungumzia namna mechi ya hisani inayoandaliwa na SamaKiba Foundation,itakavyokuwa.
    Msimu huu mechi hiyo itapigwa katika dimba la New Amaan Complex, kati ya SamaKiba Foundation dhidi ya Fei Toto & Makame Bui Foundation Juni 15, 2024.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 6