I don't understand kiswahili too much but with my little understanding this guy killing me i am addicted to he's commedy staff hhhhhh Love for tanzaniya from ethiopia
Hii kiboko sanar...chukua buku basi steve 😂 nawapenda sana tokea N A I R O B I K E N Y A....VPN balaa!....hilo tabasamu la steve baada ya kuambiwa vitu kama hizi ni la kitani sana 😂😂
Mtu ukiwa na akil unanyenyekewa kama mfalme Kuna mtoto wa mama mkubwa alikuwaga na akil paka alilogwa alikuwa akienda, shule Anaumwa anaona kiza akiludi nyumban mzima kwa yale mateso paka akaamuwa aache shule form 3 na alikuwa akienda, kwa baba yake alikuwa mgumu kumpa msaada na alikuwa Ana hela anafanya kazi bandalin paka roho ikawa inamuumaga anamwambia subur ndugu yako aende shule yani mtoto wa, mama yake Wa kambo ambaye kafel da inasikitisha kila mtu alisikitika alivyokuwa hakumalizia Masomo yake na wanajuwa Ana akil sana yani ilikuwa ukishika daftar lake La hisabat na English kosa unaitafuta na hesabu alikuwa anafanya na kuakikisha hapo hapo
Eti nyi mwabaki mmelala me tu ndo naenda shule.........Steve twapenda kazi yako toka Kenya
Nmecheka
Sio poa
Nimecheka sana
Kiukweli watu wenye vipaji duani wapo, Steve mweusi ni kanumba wapili watanzania.❤
Niko wakaribu leo kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮stive namukubali sana kama na wew wamukubali gonga hicho kidude cha ma like tumanyane.
Hii n country gn
@@delvinsalah7494 acha zarau ni burundi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kidude gani wew muburundi mwenzangu🤣🤣🤣🤣🤣
@@myqween3538 kicheki hapo chini ya hilo lioni langu upande wakushoto ndo kipo vip sasa wakaa wapi wewe?
Nakubal xana Steve hongera bana ama kwl mungu kakujalia kpaji
Aaaaah Steve kweli wewe uta tumaliza siku izi mbavu zetu jamani
Wee mweusi Rwanda🇷🇼🇷🇼 unadufuraisha Sana aa!!!😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Stive hpo uko chonjo
I don't understand kiswahili too much but with my little understanding this guy killing me i am addicted to he's commedy staff hhhhhh
Love for tanzaniya from ethiopia
I love you
@@obedubaid7618 mxzm"mzzz
@@raheljaphet7918bbb b bbbBbbbb
Tunaoangalia kwa kusoma comment tuko wap jmn Ila hapo jamaa katisha laaa et shule ya msing
M
Jaman da katisha
Steve akijitahidi kila siku kama hivi atakuwa King
We kasome Steve🙄🙄🙄
🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes za steve from kenya
Pasua watu steve
Steve wambie jangamoto za shule pro unanikumbusha mbali sana
Napenda shule ila haziingii 😂😂😂
Amejisema ukwer
😂😂
Pole saana Kaka
@@tripplejaytz3934 is gg
Steve hii umeweza nipeeni like za steve
Naomba subscription yako tafadhali
th-cam.com/video/9VDzAn5GEDA/w-d-xo.html
Hakika huyu Stive atakuwa tishio hapa bongo kama omond wa kenya
Tafadhali naomba unisupport na subscription yak ndugu
th-cam.com/video/9VDzAn5GEDA/w-d-xo.html
Huyu ni moto wa kuotea mbali
Kaka uko vizuriii hongera pia kwa kuwashika mkono na wengine watimize malengo Yao 🙏
🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣steve ukute ata chai hamjanitunzia🤣🤣🤣🤣 we noma sana
Yaani Steve unakataa mia🤣🤣🤣
Miakaiyo dah mafutayakula sana2🤣🤣🤣
Steve jmn we noma
❤❤❤❤❤❤❤
Ndio Steven ww ni mkali kuzidi mkubwa wako 😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Steve hahaaaa Kenyans mko wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃🇰🇪
Tupo
Semaje
Tupoo
Tupo nampenda Sana Steve
Hii kiboko sanar...chukua buku basi steve 😂 nawapenda sana tokea N A I R O B I K E N Y A....VPN balaa!....hilo tabasamu la steve baada ya kuambiwa vitu kama hizi ni la kitani sana 😂😂
P
Steve nimecheka noma sana.
Kelele yakwanza kwa Steve wake
Sti
😂😂
Safi kaka
Hivi hivi nilivo eti nikoje😂😂😂😂😂
Anganile habari.za Sikh.nyingi huko.igurusi mkoa was mbeya
Nipo Tunduma mpakani na Zambia we wapi ndugu igurusi wapo ndugu zangu na chmala
my best comedy ever when I'm down i run here
Ww Steve chizi kweli😂😂😂😂😂
😂😂😂dogo nisaidie kuletea kiatu kimoja ndan
Hawa. Hawa . 1 day. ago
@@dominicoichoe7987 😄
Steve uko juu kama mfuko wa shart 😃
Sele ame haribu steve 😂😂😂
Hahaha 😂 😂 😂 😂 ela zngu
Steve unakataa 💯 enzi zetu ukipewa unarudisha na cheji😜🤪😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅
Hahahha ety ghalama gan kwa hiki kishing mia
Nimecheka mno jmn et nyie mnalala mie ndio naenda shule kila siku mie sipendi duh🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia ninavyo bukua 😂😂🤣😃
😂😂😂😂😂
Steve acha kutuumiza mbavu 😝😝😝😝 had napaliwa haki 😀😀😀😀😀
Jaman duuu steve nomaa sana et nikamalizie mihogo ndan🤣🤣🤣
Steve always you made it😂😂
Mmejua kunichekesha 😂😂😂😂
Steve yani mi ukucheki sana Big up from Germany
Nimeipenda hahahaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣
😅😅😅 Watu labda hawana akili ndo waje wapasuliwe na mimi😅😅
🤣😂😂
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooh my God
Eti acha ujinga🤣🤣🤣😂😂
😂😂😂🤣🤣
stive wewe 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️
Mtu ukiwa na akil unanyenyekewa kama mfalme Kuna mtoto wa mama mkubwa alikuwaga na akil paka alilogwa alikuwa akienda, shule Anaumwa anaona kiza akiludi nyumban mzima kwa yale mateso paka akaamuwa aache shule form 3 na alikuwa akienda, kwa baba yake alikuwa mgumu kumpa msaada na alikuwa Ana hela anafanya kazi bandalin paka roho ikawa inamuumaga anamwambia subur ndugu yako aende shule yani mtoto wa, mama yake Wa kambo ambaye kafel da inasikitisha kila mtu alisikitika alivyokuwa hakumalizia Masomo yake na wanajuwa Ana akil sana yani ilikuwa ukishika daftar lake La hisabat na English kosa unaitafuta na hesabu alikuwa anafanya na kuakikisha hapo hapo
Mwenyezimung amemuandalia fungo lake dunia iyi niyamatesotu Allah amupe hifadhinzuli kwenye maishayake
Wakenya AWAWEZ KUTUSHIKA kwa SPD iyooo tume sha waacha atua kama 1000
Sanaa awatufikii
True
Ila steve wewe hapana' upo juu
Ila Stev huwa anachekesha Sana 🤣🤣🤣🤣
Naomba subscription kwa channel yangu
th-cam.com/video/9VDzAn5GEDA/w-d-xo.html
Ila Stive unakipaji 🤣🤣🤣🤣 unauvaa uhusika kweli Congrats
😁😂🤣Stevo, you are the world number one. Respect from Nigeria.
Nimekupenda madada na stev mko vizr 0622585266 from zanzibar
Ni kwelii
Hahaha kaka nayeye hajui Kusoma🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂VPN noumaaa
Hahahahahahaha stev staili yako ya uwigizaji ya kipekee
Anajua sana😂
@@saidjuma2605 sana
Utakuja kumwonyeshea kitu kingine siku ingine
Steve mweusi kazi nzuri ,
Mkoba tu mm hoiiii😅😅😅😅🤣🤣🤣anavobukua sasa Steve
Steve 🔥🔥🔥🤔🤔
Ahaa kumbe steven ndo alisema akisoma haviingii nilijuwa wee
Da wamenikumbusha uwo usemi Zaman
Uncle usilete utani kwenye masihara mia hela hiyo ohooooooo
Usimnyoosheee shemeji yako kidole et utakuja kumnyooshea na kingine
Haki wewe Steve wewe ni mjinga sana unashika namb 0 shuleniii
Mdada mzur maa shaa allh
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimekumbuka ezi zetu tulikuwa ukikosa rays 😂😂unapakwa kimbo Haha usiparare Haha Steve eti mnalala mwaniacha naendaa pekeyangu ulitaka uendee nanani🙄🙄🙄🙄
Ila Stevn we nomaa. 😂😂😂😂😂
Moment zenu wakwanzaaaaa
🤣🤣🤣 Steve jamani
Kazi nzur broo 👌👌
Mnatisha dogo dele❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimecheka😂😂😂😂
Yan steve unanivunjaga mbavu yan kwauzezeta tu 😁😁😁😁😁
Mia mia,steve mweusi we kiboko,big up keep it up brother u can nakubali
Sitvu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wajina Wa mdogo wangu steve
Tulikuwa tu nasemaga, hivyo nikisoma haviingii
🤣🤣🤣🤣🤣weee stive hutaki kusoma 🤣🤣🤣🤣🤣
Sitiv.umetisha
Mnabaki mnalala mimi nakwenda shule
Niambie
Ahaaa nmekkumbuka nipe like za Steve
Nawapenda sana❤❤❤❤❤
I love you my brother steve
Hiii nimeipenda sana huyu jamaaa anafaaa kuendelea na stivu
Huyu jamaa anaweza sana
Dogo nisaidie niletee kile kiatu kimoja ndani,😅
Mashaallah 😂😂
😅😅😅😅😅😅😅yani wewe stive umejua kunichekesha
Nikamalizie Miogo yangu ndani si eti 😁
Never retire
Eeeeh bwana mweusi nakukubalisana mwanangu
Steve kaza unajua sana👏👏
Stev mweusi umenikumbusha mbali sana haha haha haha haha
Steve the big student. Wonderfull !!! 😁😄😆
Bav zangu stev mweee uwii nakufa jaman usijue hata hilo daftar silake
Nyinyi mnakaa ndani mnalala Mimi naenda shuleni🤣🤣🤣🤣
STIVE napenda shule Ila azingii
Steve jmn😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂
Stive unaweza sana
Vizuri sana Steven
Eti miguhi ina kahuka kama yatima😃😃😃😃 stive eti nyinyi njo wa ganga zangu😂😂😂 like zetu jamani
😂😂😂😂😂😂 sio kwa kumpaka huko mafuta mwanafuzi
Steve wewe😂😂🔥🔥🔥🔥
Steve and sele continue to perform 😃😃😃
😂😂😂😂daftari la sele
😀😀😀😀hii kiboko
Umeumbuka 😁😁😁,,,sifa zote kwishne
Sana wakubwa zangu i like it
Uko vzr steve😂😂😂😂😂
Rejesheni Madaftari sas mzee kipara vip ukoo wenu unaongoza kwa kuazima madaftar ahahaahaha endelea kujisifu