SEMINA YA VIONGOZI BAKWATA - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @RehemaSalum-vp6rf
    @RehemaSalum-vp6rf 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kaka Nanauka ... Your the best is world ... Mungu akulinde kiongozi

  • @petermponzi411
    @petermponzi411 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania GOV needs a young visionary like you with a great sense of citizenship to lead the country.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah nmejifunza mambo makubwa hapa

  • @zuhayrbendoh8796
    @zuhayrbendoh8796 ปีที่แล้ว +2

    Bro hauchokeshi wewe. Be blessed forever.

  • @Shaban-hy5rx
    @Shaban-hy5rx 23 วันที่ผ่านมา

    Ase nanauka ni mtu muhimu katika taifa la tanzania mwenye mawazo chanya

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana nmejifunza vingi.

  • @jacksonmollel9749
    @jacksonmollel9749 ปีที่แล้ว +2

    Nakupata vizuri nikiwa Nairobi Kenya

  • @mosesworkshopdodoma477
    @mosesworkshopdodoma477 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @Mama-A
    @Mama-A ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni action member....hata ikiwezekana nipewe bunduki😂😂😂😂....
    Kenya 🇰🇪 is following

  • @isacklaizer6776
    @isacklaizer6776 ปีที่แล้ว +3

    Politicians think of next election, leadership think of next generation...🤝💪

  • @EliyaJames-fn3dz
    @EliyaJames-fn3dz ปีที่แล้ว

    Kaka umetisha ,ama kweli umewekeza muda kwenye taaluma yako.

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa ปีที่แล้ว +2

    Kweli huko vzuri

  • @fichuatv3945
    @fichuatv3945 ปีที่แล้ว +1

    Safi kaka MUNGU akupe maisha marefu

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤hongera pro

  • @nestorymapunda6441
    @nestorymapunda6441 ปีที่แล้ว

    The best response to critics is to ignore them

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 ปีที่แล้ว

    Hii mada mwalimu nilihis hainihusu kumbe ndo natakiwa nisikilize niache zote😂😂😂😂😂dah we mwamba Ni kichwa Sana nakukubali sana

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @BrunoEmanuel-h1d
    @BrunoEmanuel-h1d ปีที่แล้ว +1

    Ungekusanya viongozi wote Kaka uwape hii semina labda watabadilika.
    Maana ni Kama hawajui maana ya uongozi

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel ปีที่แล้ว

    Hi aina kwetu ndio kubwa viongozi hawajasomea wanatumia utemi wakipigwa chini wanapata stroke za piston

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 11 หลายเดือนก่อน

    ASANTENI WAISLAM KWA UFAHAMU HUU MHIMU KUJIFUNZA SOMO LA UONGOZI, NAWAPONGEZA WALIOAMUA HILI NA MIMI NIMEKAA NANYI HAPA KWENYE SIMU TUKIWA KTK KIKAO PAMOJA...MPENDWA NANAUKA ASANTE

  • @diwan2020.Rajabu
    @diwan2020.Rajabu 11 หลายเดือนก่อน

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 ปีที่แล้ว +3

    KWEL tupu...I kikwete alileta WAWEKEZAJI WENGI NA MAGUFULI ALIJENGA SGR NA BWAWA KUBWA....MAONO

  • @Shaban-hy5rx
    @Shaban-hy5rx 23 วันที่ผ่านมา

    Haya ndiyo matumizi bora ya akili na elimu uliyopewa kama zawadi na muumba .

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Upo na wazee wa maokoto naona

  • @dalalimjinga.144
    @dalalimjinga.144 ปีที่แล้ว +1

    Mseto

  • @daudiissa9256
    @daudiissa9256 ปีที่แล้ว +1

    🦾🦾🦾

  • @RICHARDWAUSA
    @RICHARDWAUSA ปีที่แล้ว +1

    Sauti