ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Napenda dada
Nimependa sana,🙏.
Uko vizuri sana Asante kushare
😋😋😋❤️❤️ Nimependa
Nimependa
Niko nayapika asante kwa kushare
Lovely 💐
Asante nitajaribu nimependa umeweka vipimo kwenye discription box.
Nayapikaaa apa
👏🏻
Habari! Mafuta na maziwa umetumia ya moto au baridi?
Duh mimi najitahidi kufanya lakini siwezi kama yako
Mbona kila nikijarbu na shindwa
Mashaallah
Hamira ni nini in english plz
@@cyruskones8040yeast
ApoUmesemaMaziwaNamayaiiSijaonaIkiwekaYaiii
Mafuta umeweka ya baridi?
Nimependa Yani uko fast🙏
Apo ni maziwa yaliyochemshwa au
Natoa yanakuwa makavu
Thank you
Adda
Thank you dear
You are so welcome!
Aki nmekupenda vile unaelekeza na vipimo kabisa...hakika nitajaribu......vipi hayo maziwa yanakua ya vuguvugu au baridi?
Naomba kujua unanunua wapi vyombo vyako
Maziwa mabichi au yaliya chemshwa??
What's amila please yeast ama baking
Na iliki ni nni
Yeast
M
Maziwa ni baridi ya fridge au warm au room temperature
Naomba kuuliza maziwa na mafuta ni ta moto? Au umeeeka baridi tu?? Na baking powder haina ulazima eeh?
Baking powder haihitajiki kwenye maandazi mpendwa... Mafuta na maziwa ni vya baridi
Baking powder huitaji kusubiri yaumuke Sana yanakuwa km halfcake
Nusu kilo unatowa maandazi mangapi?
na kwani haiwekwi mayai
Sijaelewa ktk kipimo cha kijiko..je unavyosema kikubwa ni kikubwa kile cha kupakulia au chakulia chakula?maana nashindwa hinsi ya kupima hiriki,sugar n.k maana cjui ninkijiko gani?
Kijiko cha chakula
Itakuwa kijiko cha kulia
Je maji na mafuta ni vya moto au baridi
Hawasemi mafuta ya Moto au baridi na km unakandia maji pia ni barid au uvuguvug
Ivi mandaz hayawekwagi baking powder?
Na unga kilo moja na nusu vipimo vyake inakuaje
Utaongeza Mara 3 ya vipimo alivyoweka kwa kila kitu
Je badala ya maziwa nkaatumia maji ni sawa??na hicho kikombe komoja cha maziwa ni vile measuring cups au?
mahamli ya maji ama mandazi huwa hayawi kabisaaaa. Better to use milk or coconut milk
Sasa dakika chache ngapi,Lazima tujue
Ninoma
You are a good cook. But kwa nini huna r na l? Whats wrong with you guys. Disgusting.
That’s not polite
Napenda dada
Nimependa sana,🙏.
Uko vizuri sana Asante kushare
😋😋😋❤️❤️ Nimependa
Nimependa
Niko nayapika asante kwa kushare
Lovely 💐
Asante nitajaribu nimependa umeweka vipimo kwenye discription box.
Nayapikaaa apa
👏🏻
Habari! Mafuta na maziwa umetumia ya moto au baridi?
Duh mimi najitahidi kufanya lakini siwezi kama yako
Mbona kila nikijarbu na shindwa
Mashaallah
Hamira ni nini in english plz
@@cyruskones8040yeast
Apo
Umesema
Maziwa
Namayaii
Sijaona
Ikiweka
Yaiii