Zafa Mgombezi 2021 - Shadhuly
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Zafa ni Muendo au Maandamano ya Amani yanayofanyika kumtangaza Mtukufu wa darja bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
Leo hii yalifanyika Mjini Korogwe katika kijiji maarufu mgombezi Jijini TANGA.
Zafa hii ilihudhuriwa na mabwana wakubwa kabisa picha zao tumeweka kwenye community page yetu ya Shadhuly