Mgombezi Zafa 2022 - Shadhuly ᴴᴰ
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Zafa ni Matembezi ya kumsifu Mtume Muhammad (s.a.w) Yaliyofanyika ngombezi kijiji cha Korogwe Mji wa Tanga , Tanzania Chini ya Usimamizi wa Sheikh Mahmoud Bin Sheikh Hussein Ashadhuly na kisha baadae yakaanza Maulid
Kwa Niaba ya sheikh tunatoa shukran kwa watu wote waliofika
=================================
SHADHULY EAST AND CENTRAL AFRICA
قناة الطريقة شاذلي شرق ووسط أفريقيا
Hii ndio shadhily bna naipenda twariqa yangu
Mashaallah
Kwaya ya Muhamad imenoga😂😂😂😂😂