Naibu wa rais amekosoa vikali wizara ya usalama wa ndani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Naibu rais Rigathi Gacahagua amelaumu wizara ya usalama wa ndani kwa kuhujumu vita dhidi pombe haramu. Amesema kuna viongozi ambao wanampiga vya kisiasa na sasa wamefikisha vita hivyo kwenye vita vya pombe haramu.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 12

  • @MrAloncyo
    @MrAloncyo 8 วันที่ผ่านมา +2

    Focus on the issues at hand, mambo ya pombe wachia walevi.. Ruto must go

  • @Ignatiusmunyalo
    @Ignatiusmunyalo 8 วันที่ผ่านมา +2

    focus the same energy in fighting corruption and bribery

    • @FatmaAli-dh1pd
      @FatmaAli-dh1pd 8 วันที่ผ่านมา

      Matatizo ya problem au tofauti ya different

  • @tompeter1364
    @tompeter1364 8 วันที่ผ่านมา

    Mark whose Government this is,...for William Ruto! All along, I have been thinking is the Government of,for and by the people😢

  • @FatmaAli-dh1pd
    @FatmaAli-dh1pd 8 วันที่ผ่านมา +1

    Pombe haramu ni ipi na pombe halali ni ipi

    • @vumbisnap
      @vumbisnap 8 วันที่ผ่านมา

      Pombe haramu ni pombe haijahalalishwa na serikali kuuzwa kwa raia. Mfano ni kama chang'aa, muratina, mnazi

    • @FatmaAli-dh1pd
      @FatmaAli-dh1pd 8 วันที่ผ่านมา

      @@vumbisnap kwa hivyo kila tamaduni ni haramu za kigeni ni halali na yeye akija kijijini ataka hiki hiki cha haramu anapokosa kazi kijiweni pamoja haramu ni hizo zao baadae tutashindwa kununua.

    • @vumbisnap
      @vumbisnap 8 วันที่ผ่านมา

      @@FatmaAli-dh1pd hapana madam haimaanishi za kitamaduni ndio haram na za kigeni ni halali, inamaanisha ile process imetumika kutengeza hio pombe ndio mbaya. Kwa mfano angalia video hapa kwa youtube ya chang'aa ikipikwa, inapikwa kwa kichaka na wanaweka dawa za maiti na nguo za ndani za wanawake, panya na vitu zingine mbaya. Kungekuwa na factories za kupika na zikue safi na kebs iwasaidie ingekuwa sawa. Kenya tuko na brands zetu local Zenye ziko poa kama chrome, hunters na zingine nyingi na ni za bei nafuu

    • @vumbisnap
      @vumbisnap 8 วันที่ผ่านมา

      @@FatmaAli-dh1pd hapana sio hivyo ni vile hazipikwi vizuri na zinawekwa vitu kama dawa za maiti. Kenya iko na pombe zetu halali kama chrome na hunters na ni za bei nafuu

  • @paparonahtv
    @paparonahtv 8 วันที่ผ่านมา +1

    Gachagua for president on 2027. Ruto na team ingine kama kindiki huyo mumama waende home 😂

    • @alexsimiyu8582
      @alexsimiyu8582 8 วันที่ผ่านมา +3

      You are day dreaming

    • @Abdiazizmoha567
      @Abdiazizmoha567 8 วันที่ผ่านมา

      Labda ni mamako araenda kwao umbwa wewe huna akili