JIMBO LANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja na kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lakini kuna tofauti kubwa sana ya Wabunge wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ina Wabunge karibu 80 lakini ina wananchi hawafikii hata nusu ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma ambao ina Wabunge 10 cha ajabu miradi tu uliyoitaja Mhe. Mbunge wa Kawe ni mikubwa na ni mingi kuliko jumla ya miradi ya Wabunge wote wa Zanzibar. Wananchi wa Zanzibar wanadhulumiwa sana na utitiri wa viongozi usio tija yoyote. Zanzibar kuna Rais, Makamo 2 wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani lakini matokeo ni zero ni siasa za chuki tu na kuchekeana jino pembe kwa Waunguja na Wapemba..

  • @silvanusmwamlima773
    @silvanusmwamlima773 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Askofu kwa kazi nzuri.

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Askofu🙏

  • @walternaiso
    @walternaiso 2 หลายเดือนก่อน

    Tapel mmoja wa kupuuzwa

    • @kabigumila
      @kabigumila 2 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kwa kuyaharibu maisha yako na uzao wako

    • @pastormoseschami7208
      @pastormoseschami7208 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe una mchango gani katika Taifa zaidi ya kutukana?? Acha wivu utakufa mapema

    • @walternaiso
      @walternaiso 2 หลายเดือนก่อน

      @@kabigumila wewe wakuja kweli mjini kwahiyo hiyo huyo tapeli ndiyo wakuniharibia uzao ?

    • @walternaiso
      @walternaiso 2 หลายเดือนก่อน

      @@pastormoseschami7208 Acha kujitoa ufahamu wivu gani kwa kipi?