KIGAMBONI YANUNUA VITENDEA KAZI VYA MILIONI 415.8

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024
  • Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Jijini Dar es salam imegawa Gari, Bajaji na Boti Moja vyenye thamani ya shilingi milioni 415.8 kwa watendaji wa Kata na Mitaa kupitia Kamati zao za Maendeleo ili kusaidia Zoezi la Ukusanyaji wa Mapato katika Manispaa Hiyo
    Akizungumza Wakati wa Uzinduzi na Ugawaji wa Vifaa kazi Hivyo Katibu Tawala wilaya ya Kigamboni Pendo Mahalu amesema vifaa hivyo vimetokana na Mapato ya Ndani huku akiwataka Watumishi hao kutumia Vitendea kazi hivyo kuanzisha na kubuni vyanzo vyipya vya mapato ili kuongeza mapato ya Kigamaboni
    PENDO MAHALU
    Katibu tawala Kigamboni
    Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ERASTO KIWALE amesema uwepo wa Vifa Hivyo utasaidia kushusha huduma kwa wananchi sambamba na kuongeza Ufanisi katika Ukusanyaji wa Mapato
    ERASTO KIWALE
    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
    ............

ความคิดเห็น •