HIGHLIGHTS: YANGA 4 - 0 Dodoma Jiji| Prince DUBE NA MZIZE WAITEKA SHOO YOTE/JIONEE HAPA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @triceyanga
    @triceyanga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    asanteni sana wachezaji wetu kwa kutufanya tutembee kifua mbele hakika Mungu ni mwema azidi kuwajalia afya njema na utimamu wa mwili na sisi km mashabiki ni wajibu wetu kuwasupport kuhakikisha tunalipa ada🎉🎉🎉🎉🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    asande Sana MUNGU BABA na MWANA na ROHO MATAKATIFU ameeeen Hongera Sana nyote kazi nzuri kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom

  • @wolfhound6648
    @wolfhound6648 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nice one, Clementinho... Yanga milele...

  • @AlexPaschal-x5b
    @AlexPaschal-x5b 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Waooooow Just Waooooow 🎉🎉 Merry Christmas 🌹💐💐💐 my Yangaaa❤

  • @RhoidaAlbion
    @RhoidaAlbion 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi kabisa daima mbele nyuma mwiko heli ya Christmas wananchiiiiiii

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    MashaAllah 🙏Alhmdulillah 🙏Shukrn ya Allah kwa kutujlia Afya n uzima🙏🙏Alhmdulillah 🙏Shukran ya Allah kwa ushindii huu kubwa ulio tujalia🙏🙏🙏ya Allah tujalie kila match tushinde

  • @myself-T2
    @myself-T2 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    yes yes merry Christmas jeshi la kijana na njano,asanteni sana wachezaj viongoz na benchi la ufundi kwa kutupa zawadi nzuri siku ya leo hakika sasa tunaanza kurejesha makali yetu taratibu watatuelewa

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Tunafanya vizur,ila tunakosa sana magoli💚💛

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Xmas imeenda vizuri mno wananchiiiiiii 💚💛💛🖤🔰✅💐🎁

  • @ip_header
    @ip_header 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Best goal from Mzize🎉🎉🎉

  • @AziCure
    @AziCure 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allahamdulillah 🎉🎉
    Nyuma mwiko🎉
    Mungu atujalie afya na viwango vya wachezaji, uongozi na benchi la ufundi kiujumla,,inshallah

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nimependa mtangaxaji alivo sema zuzwapacomzizeeeeeeee🗣🗣🗣😂😂🔰🇹🇿🇹🇿

  • @CostantinePhaustine
    @CostantinePhaustine 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga mnanpa furaha kwel asant

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga ya 💥🔥 yanga bingwa inshaallah 💛💛💚💚

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alihamdulilah kwa ushindi wa leo Allah awajalie afya wachezaj wetu washinde kila mechi inayo kuja mbele yetu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu mwema. Turizaraurika sana hizi timu 4 sana tutawawashia kama mwanzo hawa tena kama makolo na tabora na azamu mungu azindi kutupambania yote wariyokua wametuwekea mungu kajibu maramoja🎉🎉🎉

  • @lotijr8376
    @lotijr8376 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kher kubwaaa 😊

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Alhamdullillah

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamen nshari haseden yanga ❤

  • @hamisiseif8651
    @hamisiseif8651 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    🔥

  • @OmaryMajivuno
    @OmaryMajivuno 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ good 👍👍👍

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Well done Ile yanga ya kipindi Cha kwanza ndio tunalitaka full time na magoli kwa wingi all in all tunashukuru kwa point 3 muhimu wapambanaji wetu mmejua kutuheshimisha na sikukuu hii

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waridi mzize kafunga goli la msimu mzima daaah mpaka raha kwakweli

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa tunao fatilia Bundesliga tunaelewa hi gusa achia twend kwao

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    💚💛💚🔰💛💛💚

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @hafia.056
    @hafia.056 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchi mmpo lakini eee hayaa Twendeee kazi all wananchi oyeee hayaa tena 😅yellow 💛 it's Youngs Africans oyeee let's saying all oyeee hayaa

  • @AshaChuma-m7g
    @AshaChuma-m7g 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kongore chama langu

  • @Reyy2406
    @Reyy2406 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mpira safi 🎉

  • @HRKanangulote
    @HRKanangulote 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Caf, tukafanye ivyoivyo

  • @LoyMajele
    @LoyMajele 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ndio yanga sasa

  • @AdamuIsaya
    @AdamuIsaya 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimependa apo tuh udom, embracing knowledge

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchezaji ambae hataki kubadilika hapo yanga ni kibabage au ni kurujuani ya mzee magoma aende nae akaombewe😆😆😆

  • @talhasuleiman5217
    @talhasuleiman5217 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ki hongera usizoeleke kwenye kupiga penalty,

  • @mgobanyapazi7738
    @mgobanyapazi7738 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hilo ndo pira
    Gusa achia
    Tule pilau

    • @sarafortunatus
      @sarafortunatus 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahaha

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo Mmeniuzi Bhan Mmenialibia Hesabu Zangu..Tulianza Na 2'3'4-Why..4 Tena Na Ilitakiwa Leo Namba Isomeke 5..Yaan..Kila Mech Tulikua Tunaongeza..Gol Moja..Yaan Mpaka Mech Ya Mtan Ingefika Sijuw Angekutana Na Hesabu Ya Gol Ngap..😂

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na Wala haturingi

  • @AdamNdaki-n6q
    @AdamNdaki-n6q 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiv man of the match ni nani?

  • @naomysalumu1858
    @naomysalumu1858 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ilo goli la tatu adi mtangazaji kapagawa