ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Eti mwenye shamba yuwauliza muembe ni wanani 🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌kama umeiyona hiyo tujuwane ili twende sawa plz 😘 😘
Eeh
Hi hapa sauti imetoka vizr hata picha yenyewe nzur hta film nzur kweli hongereni
I'm here from tiktok 😂😂😂😂😂
Wacha ww madebe Heheheee pia yy anahisia movie tamu Umenifrahisha hongereni nyote mwendelzo tafadhali
wale tunao coment kabla yakuaangalia movie tujuane apa
Tupo pamoja
Nice
Sadick juma nkiwa Bungoma Kenya naweww n nani na uko wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Madebe umenichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣uwiiiii mbavu zng
Shukran sana 😂😂😂😂😂 Picha tamuuu mpaka basi, Naomba muendelezo plz.
Nakupenda bure da mwanalima hivi watu wa youtube kama awakupi zawadi yako kaku comment awakutendei haki mana sijawahi kukukosa kwa comment hongere mama
@@sitikisheto4804 😂😂😂😂 Asante dada.
Mwanahalima hujambo?naona kilannapopita nakuona
@@ukhtyzainab7254 😂😂😂😂😂 ndio daa.
😂😂😂😂nimechekaa mjumbe kamaliza kazi manina nimependa iyo daaah
kama unaikubali Lp Media gonga like kama zote
Hahaha madebe umenifulahisha kweli daah 😂😂😂
Madebe for life, nakupata from🇹🇷
Hongeren wahusika nimeeenjoi
Nakupata nikiwa Kenya shwari kabisa
good movie
Mozambique tunawapara,, ila mjumbe mbona umeshidwa kuvumilia,,
Move nzur lkn mnaniboaga mtavotia hayo ma music
Duuu atarisan shukran kwenu wot 🤣🤣🤣🤣😂😂
Igizo nzuri
Movie mzur sana
A boy from Songea naangalia vitu vizuri
Madebe mmerudia hii movie🤔🤔
Aisee mjumbe kafanya yake ukisusa watu wanakulaa mjumbe nomaa
Madebe acha uwongo,huwo nimsemo tu wakujinyonga kaaaaaaa
Mjumbe madebe 😂😂😂😂,hapo kesi hishakwisha
Senga😁😁😁😁😁😁👍👍👍❤🇧🇮
Madebe namkubali Sana napenda movie zakee
Hapo inatakiwa usiwatenge kivyao akina pembe na senga na haji kuact peke yao Bali mix na wengine wasanii wachanga
Mashaallah ni nzuri kwakweli hongera yao
Haaaaaaaaaa mjumbe kachukuwa,upepo wa kisulisuli umekubali
Nan anamkubali kak yakee makondee 🤣
wamecopy movie nzima aiseeeee!!!!!!!
Athumani Sigaye move kamili inaitwaje
Movie olijino inaitwaje
MADEBE LIDAI NAOMBA UNIFANYIE FAVOUR
Mjumbe hapo umefunga bao na kisigino😂
Kkkkkk
Acheni midundo sauti aisikiliziki naiyo midundo
Iv kumbe mjumbe hakipwi hahha leo madebe kacharuka
Ulijikaranga mwenyewe ulifwata n kijumbe n shemejio ukwa mkli ulitarajia nn xx waleo mtoto asie wko
Nawakubali Lpmidea
Kwani madebe umejilipa kwa kumpachika mimba? 😂😂😂😂
Afande katoka Nduki😂
Asante sanaa Msdebe kazi nzuri tunaomba muendelezo
Uletewa sahani la pilau kishe uliache
Majina mengine kama honi 🤣🤣🤣
Madebe mbona unatufanya watoto kisa cha kurudia mchezo ni nn?
Movie hii hina fanana na movie moja hivi tena waigizaji uyo Alie owa wake wawili yupo kwenye uyo movie zinafanana ivoivo stor moja
Kwel voooo
Kabisa my
Ndio inaitwa fumanizi mmakonde ndo alimpa mimba dada wa rafiki wake
Duh...kweli mwisho atiwe mimba na mjumbe..Kwl zinafanana
Hatry
😘😘😘😘😘😘👏👏👏
Saf mzee baba
Hahaha mjumbe yuko poa
Akiliyangu inakaa siti ya mbeleee
Kukopi na kupest mwana mashairi madebe lidai
Madebe umeniach hoii et kabila Kama ili linakuwg n mattz kwer kwhy thith wamakonde tunamattz
Tunawapata
Madebe umerudia muvi hii vp bn
mjumbe huyu ni hatari kwa usalama
😙😙😙
Tamu hyo...
Alimfukuza mimba imejitokeza sasa unashangaa nini
Hi move sio madebe unakwama wapi mana ileuli act ww huyu dada nimdogo wako nawewe uko nachumba kimoja ukampeleka kwamjumbe ahifadhiwe mjumbe alikuwa yule mzee kongoro huyu dada mumewake sio huyu bn mbona mwatuchanganyia move halafu huyu mxee wakirungu na mboto hawakuwa bn hii sio mumeiba wapi
Mmeirudia bwana hiimove
Ukovizur
Madebe 🤣🤣🤣🤣🥅
L
@@خسنموس madebe kwakutunga hadithi unajitahidi
@@tausimussa651 kbs
pembe mbona unalalamika vp
Nbona hivi sasa hatuhelewiHihi nbona kama ni cover. Alafu ahija malizia
Mohammed mujahidina yenyewe inaitwaje
kwanza kisheria ya dini 2 mwanamke akikaa mbali na ww bila makubaliano na bila huduma zaidi ya miezi mitatu uyo si mkeo tena
Uku mwisho mbn haieleweki madembe tupe muedelezo
mwendelezo
Ninzur kwelii
Du kwel
Mashaallah.... ni kali si mchezo... napenda saana misemo wallai...
Habr
Hilo rungu kma pala la mtu
Mbona Kama idea ya movie imerudiwa na kampuni ileile
pmj kaka
Muendelezo tafadhal
Hamna mwendelezo move sio yao

Duh...kweli mwisho atiwe mimba na mjumbe..
Kwl zinafanana
Hatry
😘😘😘😘😘😘👏👏👏
Saf mzee baba
Hahaha mjumbe yuko poa
Akiliyangu inakaa siti ya mbeleee
Kukopi na kupest mwana mashairi madebe lidai
Madebe umeniach hoii et kabila Kama ili linakuwg n mattz kwer kwhy thith wamakonde tunamattz
Tunawapata
Madebe umerudia muvi hii vp bn
mjumbe huyu ni hatari kwa usalama
😙😙😙
Tamu hyo...
Alimfukuza mimba imejitokeza sasa unashangaa nini
Hi move sio madebe unakwama wapi mana ileuli act ww huyu dada nimdogo wako nawewe uko nachumba kimoja ukampeleka kwamjumbe ahifadhiwe mjumbe alikuwa yule mzee kongoro huyu dada mumewake sio huyu bn mbona mwatuchanganyia move halafu huyu mxee wakirungu na mboto hawakuwa bn hii sio mumeiba wapi
Mmeirudia bwana hiimove
Ukovizur
Madebe 🤣🤣🤣🤣🥅
L
@@خسنموس madebe kwakutunga hadithi unajitahidi
@@tausimussa651 kbs
pembe mbona unalalamika vp
Nbona hivi sasa hatuhelewi
Hihi nbona kama ni cover. Alafu ahija malizia