DR.MO ACHARUKA BALEKE AWAPELEKA YANGA FIFA/TP MAZEMBE WAMEGOMA KUMUUZA BALEKE/YANGA WAMEKOSEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 10 วันที่ผ่านมา +1

    kwa dua ulizomuomba Allah binafsi nakuombea pia kwa kusema Aaammiinn

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 10 วันที่ผ่านมา +2

    Dollar laki Tano? Kwa mzize? Hebu wacheni mzaha
    Juzi kabanwa na wahabeshi Wala ajela hakufurukuta ataweza mziki wa waarabu? Labda kama Kuna mzize ambaye hajazaliwa lakini sio huyu

  • @JakoboMpemba-mr7fo
    @JakoboMpemba-mr7fo 6 วันที่ผ่านมา

    Yanga habari ya mjini ndiyo maana mashabiki wengi wa simba wamehamia yanga sababu kuu timu yao mbovu

  • @EzekielMwangarawa
    @EzekielMwangarawa 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani uyo boss wenu ndo mungu wapuzi nyie

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 9 วันที่ผ่านมา

    Huna akili ww!unaacha kuongelea habar za simba unabwabwaja la wanaume.mtu mwenyewe hujui hta kujieleza pumbavuuuu

  • @YusuphJuma-s2g
    @YusuphJuma-s2g 10 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi nn unatafuta kiki broo pole

  • @AlfaymitisonMbembela
    @AlfaymitisonMbembela 8 วันที่ผ่านมา

    Tatizo utopolo munajifanya kama muna hera wakat hera humuna mumejaa mikopo munadaiwa kra kona mpumbavu nyie

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 8 วันที่ผ่านมา

    Yanga pia wenye akili ni wawili waliobaki hamnazo ni kikwete TU na baba manara

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 10 วันที่ผ่านมา

    Uyu makocha wote wa africa marafiki zake acheni ajidanganye

    • @MgeniSaid-fp3wg
      @MgeniSaid-fp3wg 10 วันที่ผ่านมา

      Kwani kinachogoma nini, kujuana ni jambo la kujiamini tu

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 9 วันที่ผ่านมา

    Domo kubwa chama anakuuma sana

  • @HatangimanaCharles-i2l
    @HatangimanaCharles-i2l 10 วันที่ผ่านมา

    Wew ni muongo mkubwa

  • @user-ki4oc7jy8n
    @user-ki4oc7jy8n 10 วันที่ผ่านมา

    Punguza ndevu zakp utakuwa na akili chama awe na furaha kwani ameolewa au tafuta kazi

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 7 วันที่ผ่านมา

    Yanga timu la Kijinga sana duniani

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 9 วันที่ผ่านมา

    Muongo wewe umetumwa

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 10 วันที่ผ่านมา

    Hili lijamaa halina akili kabisa😂😂😂 linalopoka kweli.. Yanga chini ya Engineer hawawezi kufanya ujinga huo..😂😂😂

    • @MgeniSaid-fp3wg
      @MgeniSaid-fp3wg 10 วันที่ผ่านมา

      Huyo ni daktari sio mbulula kama wewe anamaanisha anachoongea sio wewe unaropoka tu!

    • @SaidMkome
      @SaidMkome 10 วันที่ผ่านมา

      Engineer mungu

    • @EzekiaMwandute
      @EzekiaMwandute 10 วันที่ผ่านมา

      😊😊😊😊mtakoma

    • @saimonntani6831
      @saimonntani6831 10 วันที่ผ่านมา

      Ila Doctor mo ukiongelea mambo yaSimba nivizueisana kuliko kuongelea mambo ya Gongo funuwa.mii bnafsi sipendi kuiongelea timu wawatu wengine wakati unatimuyako.

    • @maarifatv4160
      @maarifatv4160 10 วันที่ผ่านมา

      Ndo mana mzee magoma anasema mashabiki wa yanga ni kama maiti mochwarii..