Kasi Full Movie 2023| Swahili movie - Bongo movie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 159

  • @busarangomano3833
    @busarangomano3833 ปีที่แล้ว +15

    Kazi nzuriii sanaaa ila ila unatuangusha brooo tamthilia ya jina imeisha njiani hatuoni muendelezo

    • @earlymanx1242
      @earlymanx1242 ปีที่แล้ว +3

      Jina series was nice but you aren't giving us the continuation

    • @mremajuma
      @mremajuma 6 หลายเดือนก่อน

      Jina iliisha

    • @busarangomano3833
      @busarangomano3833 6 หลายเดือนก่อน

      @@mremajuma soma coment ni ya lini

  • @DIFENDA5G
    @DIFENDA5G ปีที่แล้ว +26

    Kama una kubari kazi za benloy nipen like zangu

    • @sergigermain9507
      @sergigermain9507 8 หลายเดือนก่อน

      ni benroyal c benloy utaenda ivi useme benpol

  • @danielnyabange3667
    @danielnyabange3667 ปีที่แล้ว +1

    Daaahhhh Benroyal Pictures.... Nyie ndo kioo changu katik tasnia... Hongereni sana

  • @MohdOthman-h4r
    @MohdOthman-h4r หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzur san heshma yen wadau 🎉🎉🎉🎉

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 ปีที่แล้ว +6

    After 25 seconds I'm the first viewer nipeni maua yang benroyal tuliwamisi

  • @ram-babubakta1562
    @ram-babubakta1562 ปีที่แล้ว +8

    Before I go far, this is where I find happiness 😊 when I talk about movie 🎥. Big fan from Uganda

  • @mariamkassimu5040
    @mariamkassimu5040 ปีที่แล้ว +15

    Jamani filamu ya mtu vip 😢😢😢❤❤❤

  • @benedictmwandigha71
    @benedictmwandigha71 ปีที่แล้ว +7

    I salute from Kenya, one day nitawatembelea

  • @manarawilliam
    @manarawilliam ปีที่แล้ว +3

    Toeni jina wadau

  • @yasinmustapha7071
    @yasinmustapha7071 ปีที่แล้ว +1

    Very nice 👍 movie nzuli aisei

  • @tenendeabdallah2755
    @tenendeabdallah2755 ปีที่แล้ว +19

    WANANGU WA mbeya mnajua sana like 100tu

  • @MasiriDenisi
    @MasiriDenisi ปีที่แล้ว +1

    Oy Kazi ya💥💥💥 ila mna zingua mnatoa kazi nusunusu san kama mwendelezo wa Jina8 amjatoa nivp wazee 🙌🙌

  • @johnmasanja1413
    @johnmasanja1413 ปีที่แล้ว +8

    ❤san this song Mr nala big up san

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kasi Yuko kasi kinoumaaaa

  • @adammodesto6626
    @adammodesto6626 ปีที่แล้ว +5

    Pima Kasi yang dada kaweza san

  • @jamessaimon5439
    @jamessaimon5439 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sanaaa ma home group but ninge penda tubadilike dalili ya mimbaa sio kutapika 2 zpo nyingii ya kutapika ni ya kizamani sanaaa 😊😊

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo ปีที่แล้ว +2

      Mimba gani ya zamani😁😁😁 dalili hazina uzamani aisee

  • @hamismbura2544
    @hamismbura2544 ปีที่แล้ว +2

    Mwanga mdogo sanah

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z ปีที่แล้ว +1

    Kasi we kweli kasi. Hela mbele.

  • @peterchino3471
    @peterchino3471 ปีที่แล้ว +6

    Betrice anasauti amazing sana😂😂

  • @adilsalim9900
    @adilsalim9900 ปีที่แล้ว

    Tuletee nyengine Ni kali sana ❤️

  • @nalamzalendoo
    @nalamzalendoo ปีที่แล้ว +3

    Kasi yupo kasi sana atatuuwa😂😂😂

  • @Sangoprince-e9t
    @Sangoprince-e9t ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mnajua mpaka mnaboa

  • @methodkanjanja
    @methodkanjanja ปีที่แล้ว +7

    Big up mbeya impact

  • @majidabeid
    @majidabeid ปีที่แล้ว +2

    Benroyal vp kuhus JINA

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 ปีที่แล้ว

    Big up Sana #BenRoyalPictures

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il ปีที่แล้ว +5

    Oya NALA MZALENDO anaandika🔥🔥

  • @maureenamutosi6268
    @maureenamutosi6268 ปีที่แล้ว +1

    Napenda venye muko tu natural

  • @MaryamJumwa-ez3xl
    @MaryamJumwa-ez3xl ปีที่แล้ว +6

    Big up jamaa good job 👏👏👏👏

  • @jordancassandra
    @jordancassandra ปีที่แล้ว +8

    More love from Kenya ❤❤❤❤

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 ปีที่แล้ว +2

    Umu jamani namuona zuchu honey 😂😂😂

  • @Timothynewtommorow-gx2rr
    @Timothynewtommorow-gx2rr 3 หลายเดือนก่อน

    movie safi sana from 🇰🇪

  • @londiwephewa2878
    @londiwephewa2878 10 หลายเดือนก่อน +1

    Watching from South Africa. So Sofar i loved your movies guys although i dont understand your language except for asante, nakupenda. Keep up the good work😊❤

  • @lidiasaumu7116
    @lidiasaumu7116 ปีที่แล้ว +3

    mko vzr wapendwa❤

  • @derrickpoul9504
    @derrickpoul9504 ปีที่แล้ว +4

    Kasi uko kasi kweli Ina leteni JINA episode 9 tumalize

  • @nangabohh3
    @nangabohh3 ปีที่แล้ว +4

    U keep so long before you upload, am a big fan

  • @BonifaceBoniface-sm3xx
    @BonifaceBoniface-sm3xx ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona mnakaaa kimya sana ndg zangu

  • @Sayujibamaige-kt7ik
    @Sayujibamaige-kt7ik ปีที่แล้ว

    Benroy ❤️❤️ nakukubali man kazi nzuri sana 👍👍

  • @mohhusseni6796
    @mohhusseni6796 ปีที่แล้ว

    niki bwana mbea ww 😂😂😂😂 ila wababa sana my❤❤❤😊

  • @agneszawadi
    @agneszawadi ปีที่แล้ว +1

    Kwan bonny hayuko

  • @PirfaImanipirfa
    @PirfaImanipirfa ปีที่แล้ว +2

    Nawa kubali wanangu wa mbeya asanteni sana.

  • @madarakaempire4744
    @madarakaempire4744 ปีที่แล้ว +1

    Kal sana..sema mtu lin inarejea

  • @HadijaMagai
    @HadijaMagai ปีที่แล้ว +2

    Mwendolezo ya jina inatoka lin jaman

  • @BRYTAHOTMASTER
    @BRYTAHOTMASTER ปีที่แล้ว +1

    Tunangoja JINA (MTU) iendelee

  • @mkaliwao5071
    @mkaliwao5071 ปีที่แล้ว

    Kazi safi sana muendelezo please story nzuri 🔥

  • @NEEMA-u1t
    @NEEMA-u1t 11 หลายเดือนก่อน

    😅😅 nimeipenda kazi yako kasi kila neno pesaa shafii kanuna😅😅 eti sinapesa

  • @NgaliliMpina
    @NgaliliMpina ปีที่แล้ว +2

    SERIES YA JINA IMEISHIA WAPI NO FEEDBACK, MNATUKOSEA MASHABIKI WENU,, BENROYAL TUPE MAJIB

  • @omarykimamure7656
    @omarykimamure7656 ปีที่แล้ว

    Kz nzur..

  • @HanceTonny-ff7sm
    @HanceTonny-ff7sm ปีที่แล้ว +1

    ndio ishe hv kwl dah ...fanyen mtuletee Mtu

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 ปีที่แล้ว +2

    Ptach Humu mBona hayumo Mnyama mkali

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 ปีที่แล้ว +1

    Wow kazi nzuri sanaaa❤❤ kongole kwenu

  • @RodgersWasi-g3g
    @RodgersWasi-g3g ปีที่แล้ว +3

    mbne Hamlet series ya Mtu mwebdelezo jaman

  • @Siryajunior
    @Siryajunior ปีที่แล้ว +1

    kali sana

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤ from Kenya

  • @Ijungu-Tv
    @Ijungu-Tv ปีที่แล้ว

    Nawakubali Sana benloya ila mujitad kuongeza mwanga kweny move

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 ปีที่แล้ว +4

    Tumeishi miezi minne alafu una mimba ya miezi 6...

  • @brendatantitantibrenda2127
    @brendatantitantibrenda2127 ปีที่แล้ว +4

    𝐒𝐚𝐟𝐢𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚𝐚❤❤❤❤

  • @ReexBoy
    @ReexBoy ปีที่แล้ว

    Wazee kweli mnafanya movie Kama amfanyi Tena yani hii ni heshima ya east Africa nzima Sasa vipi mnakata tamaa JINA imeishia njianj ❤Sana wanangu 26 kipaj

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo micheko na uigizaji kama utani ndio napenda hivyo

  • @simplemovies8795
    @simplemovies8795 4 หลายเดือนก่อน

    Kama..unakubali..awa..jamaa..nipeni..likes..zangu..toka..congo🇨🇩✊

  • @Ijungu-Tv
    @Ijungu-Tv ปีที่แล้ว

    Namkubali Sana nala mzalendo 💯💯💯🔨

  • @BekamuMadawa-di3ul
    @BekamuMadawa-di3ul ปีที่แล้ว +2

    Nakubal sana 🍎 beny

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mbona Jina mme ishia njiani 😢

  • @alingome4323
    @alingome4323 ปีที่แล้ว +2

    More ❤ from Kenya

  • @jofreycharles2521
    @jofreycharles2521 ปีที่แล้ว +3

    OYA WANANGU MTU HIMEISHIA WAPI

  • @festochilumba
    @festochilumba ปีที่แล้ว +1

    Waooooo kazi nzuri

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 ปีที่แล้ว

    Kazi safi sana ❤❤❤

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv ปีที่แล้ว

    Big up

  • @allanalli5173
    @allanalli5173 ปีที่แล้ว

    Unyama ni mwingi sana..

  • @EmilyKiomela-on7hn
    @EmilyKiomela-on7hn ปีที่แล้ว

    Jina inatok lin💙💛💜

  • @chirstinajohn5994
    @chirstinajohn5994 ปีที่แล้ว +2

    Sema tatizo lenu hammalizi move mnaishia njiani kama jina sijui hata imepotelea wapi sisi pia haikuendelea

    • @chirstinajohn5994
      @chirstinajohn5994 ปีที่แล้ว

      ❤️❤️❤️ kilasiku naangalia hii move

  • @numberlinetv4075
    @numberlinetv4075 ปีที่แล้ว +2

    Kila atua dua 🎉🎉🎉

  • @jeremiahfanuel9579
    @jeremiahfanuel9579 ปีที่แล้ว +2

    Mr Ben JINA imeishia wapi

  • @stevenkivuyo4093
    @stevenkivuyo4093 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri 👏👏👏❤❤

  • @ommykenny5905
    @ommykenny5905 ปีที่แล้ว +2

    Mr ben. Umetukosea tyu kwny jina imeishia wp

  • @selemanisozi936
    @selemanisozi936 ปีที่แล้ว +1

    Wana MBEYA jitaidi kwenye coller inaonyesha kiza sana

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv ปีที่แล้ว

    Nampenda kasi jamani

  • @oseifrankosei4675
    @oseifrankosei4675 ปีที่แล้ว +3

    Please the language,pls so sometging abt that

  • @AmadiKisengo
    @AmadiKisengo ปีที่แล้ว

    Mnajua sana asa uyo nala

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 ปีที่แล้ว +1

    Oi mBona JINA MMEIOOTEZEA😢😢😢

  • @DIFENDA5G
    @DIFENDA5G ปีที่แล้ว +2

    Good job my brood

  • @NickoDani-sy4ge
    @NickoDani-sy4ge ปีที่แล้ว +1

    Wakuu lakini mmeniacha njiaan mbona movie yangu hamjamaliza

  • @paulmine8142
    @paulmine8142 ปีที่แล้ว +2

    kazi nzuri

  • @hassanirajabu4932
    @hassanirajabu4932 ปีที่แล้ว +2

    Mbona jina haitoki au ndo imeishia hapo

  • @thomaschambala1475
    @thomaschambala1475 ปีที่แล้ว +1

    Sema mnatuachiaga njian aseee

  • @nazirabdul8950
    @nazirabdul8950 ปีที่แล้ว

    Mbona sijaona mwendelezo jamani,nataka kuona watu wanajifunzaje kwa maumivu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว

    Nyie jamaa ni mafundi sana kuigiza nawakubali sana natamani kujiunga nanyi

  • @SipilianMethew-cx8xf
    @SipilianMethew-cx8xf ปีที่แล้ว +2

    Jina### mbona kimya

  • @claudiajames1458
    @claudiajames1458 ปีที่แล้ว +2

    Mbona jina hamuweki

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah5895 ปีที่แล้ว +1

    I salute u guys team strong hoiyeee❤

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME ปีที่แล้ว +2

    Hapa hapa hebu tuishi nayo

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 ปีที่แล้ว +2

    Big up brother's & sister's 🎉🎉🎉🎉

  • @ommykibona8026
    @ommykibona8026 ปีที่แล้ว +1

    Mnajua Sana💯✊

  • @Bakari-ry9eu
    @Bakari-ry9eu ปีที่แล้ว +1

    diego naradona😍😍

  • @mwabedreamone2897
    @mwabedreamone2897 ปีที่แล้ว

    Ngoma inaitwaje Hii hip hop inayopga nyuma

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT ปีที่แล้ว +1

    JAMANI MAUA YENU...LKN MOVIE YA jina JINA EPSOD ZMEKWAMA

  • @Reli-Tresor
    @Reli-Tresor ปีที่แล้ว +1

    Ila boni Na Steve nani mkali zaidi?

  • @VINCENTSHIVACHI
    @VINCENTSHIVACHI 10 หลายเดือนก่อน

    I really like benroyl movies so much they teaches me how i can deal with strangers

  • @pauloelias7162
    @pauloelias7162 ปีที่แล้ว +1

    napenda muvi zenu ,,,lkn naomba kufahamu muendelezo wa ,JINA-MTU. imeisha au inaendelea

  • @numberlinetv4075
    @numberlinetv4075 ปีที่แล้ว +2

    Yani Kasi umetisha

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 ปีที่แล้ว +2

    Vp ile series ya Mtu iliisha