17/032021 Rest in peace shujaaa Magufuli tutakukumbuka daima kwa kazi yako ulipokua Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Victor Comedy yako na huyu jamaa ni creative sana big up .
Hahahahahah!!!! Mbavuuu zangu mie!!!!,,, maan caroln hat mie nilmutumia mpaka ya kula safarin ila nachooo shangaaa mpaka Leo hajafka JPM wetuuuuuuuu!!!!
Magufuli hana masihara ndugu yangu,anapiga kazi tu na hakuna wala rushwa Kama Kenya.Ukikutwa umekuka rushwa basi kazi huna na Tanzania hatuna deni lolote la wachina kama Kenya ndugu zangu.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 watanzania gonga like Apa 🇹🇿🇹🇿
Iko poaaa
Pàmoja
Pamoja
Hapa ndio watanzania wanapea magufuli wetu likes zao
Wanapea ndio nn😳
Safi kabisa ukweli ni kwamba jamaa ana muigiza Rais wetu jpm bila chenga hongera sana waigizaji wa Kenya. JPM TOSHA 🇹🇿🇹🇿👍👍
Wale wanapenda magufuli nippeni relply
Mimi nampenda sanna
17/032021 Rest in peace shujaaa Magufuli tutakukumbuka daima kwa kazi yako ulipokua Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Victor Comedy yako na huyu jamaa ni creative sana big up .
Napenda wakenya vile Ni wacheshi sana 🇹🇿🇹🇿
Tunakupenda sana pia
Wakenya napenda ongea zao tu haswa kwenye kuchanganya kis2ahili na English nasikia raha kweli mie
Tunawapenda Bure Kbs....
Haaah, mnajua sana big up all atwor na maguful.🇹🇿
Wapi likes za magufuli.
Wapi likes za magufuli😂😂😂
Heeeee, ati akina Caroline, Shantel na Christina ni noma 😁 😁 😁 🇰🇪🇹🇿.
One day president magufuli will call you guys to dine with him 😂
so sad he passed away 🕊 may his soul continue rip
Aki anafanana real makafuli, this is great
Rest in peace John Pombe Magufuli. Your legacy is still alive in this man
Msichana wa Kenya hawezi kuwa miss popote duniani hata hawezi enda kwa mashindano maana itakuwa vichekesho 😂😂😂😂
😅😅shauri zako wakija
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uyu jamaa anampatia Sana magufuli mpaka mwendo🇹🇿
Atwoli huelewi hahaha wasichana wa kenya wanakula fare ya wana Tanzania...
🤣🤣🤣🤣🤣 Magufuli eti mpaka umejua kuongea kichiina chiinao
Magufuli kauwa kabisa
😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 Jamani nmecheka sana Wakenya mnanini hivi from 🇹🇿 🇹🇿
😂😂😂😂Rais mtana shati 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wewe..umevuka boda mundu wa ingo👍👍,.proud of you., you're doing great
Jamaaa yupo vzuri Sana hongera sana
Hahahaa magufuli ,woow presoo ,amenyonga akanyongeka
Atwoli,umeongea hadi umekonda sikuizi!...
i just like your creativity you young man from ingo land
Hawo wamba wawil nawa kbali sa aiseee
Magufuli akujie uyu ndugu yake aki😂😂😂
Pole bro
From +255 TZ, VICTOR NAAMAN NAKUKUBALI SANA
Hihihi so funny.. Fare zimeliwa
From Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 rip baba
Magufuli amenyonga 😂😂😂😂
Kukula Fare Ni Rasma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Caroh habari umeipata
I like this guy
Huyu Magu kweli kaweza, hata Atwoli so powerful
Kafanana magufuli aisee
hahaaaahaa uwiii +255
mambo ya kunyonga nakukubali sana rais wangu jpm magufuli likes you
Vihiga finest official 👑 on it 🔥🔥🔥
This is amazing,good work
Wasichana wa kenya si mrudishe pesa yetu,Magufuli harudi bila pesa yetu. Hasa Caro hahahahahaaaaa
Kenya the hard earth 😂 🤣 🤣 🤣
Carol,Faith na Shantell
napenda izi jokes za victor
Wakenya acha kuchezea jina la mfalme wetu ako magufuli maana nyie hamna warembo warembo wako rwanda.na tz
Alikiba-KENYA
DIAMOND-KENYA
BENPOL -KENYA
NIENDELE???
@@roshdadah6525 hamna kitu nyie
@@roshdadah6525 Nami Kenya Niko nae Tz najipigia
TZ hakuna warembo jinga ii 😂
Fikta ati 4 Billions za TZ ni 20 thao za 254 😄😄😄😄😄 last time was TZ Bill ya Kanywanji nili shangaa peza shenzi +44
Huyu anafanya na magufuli
Tz to kenya😍😍
Hhhhh hhhhh hhhhh Tina na Christina
Hii Ni kali
Kenya hakuna wasicha wazuri wa kijana wa kitanzania kutongoza maana Tanzania inayo wasichana wazuri sana zaidi ya kenya
Woyooooooooo🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Wakati huo Ali kiiba kaoa huko Ben kazamia huko mond kazaa huko so nyamaza tu
grow up boy
Ati babulao Aki wewe magufuli
Caro jamani mnakula nauli zetu
Magufuli hoyee
good comedy!
😁😁😁😁
Pombe mwenyewe
eti ulinyonga we mzee mzima una nyonga kwa nini magufuli
😁😁😁😁wacha anyonge.
Mh good joke
Kunyonga😳😝😝😝
nacheka tu.
Haha Caro 😂
Wakuwe sermoned
Hahahahahah!!!! Mbavuuu zangu mie!!!!,,, maan caroln hat mie nilmutumia mpaka ya kula safarin ila nachooo shangaaa mpaka Leo hajafka JPM wetuuuuuuuu!!!!
Gud job
🤣🤣🤣🤣🤣 am from tz
1
Wacha nicheke 🤣🤣🤣tu
Idle ones are all over
noooma
Magufuli ni mwamba
Fikita hii kitambi yako tengeneza ikae ya atwoli plz
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kwakweli
ha ha ha ha
Tumechoka na hizi video za Atwoli. Zimepoteza ladha. Achana nazo.
Sioni hata kitu gani wameact
@@fatmaabdallah7709 hizi video za Atwoli mwisho zitamuharibia Victor na tutaanza kumkimbia.
😂😂😂😂😂😂😂
3rd like😃
🤣🤣
First one here likes
lengo la kipande hiki ilikua ni nini maana sijaelewa hii fasihi inahusu nini?
Lengo ni ufisadi unaoendelea baina ya nchi mbi
Utani tu kuna kipindi watu walikua wanasema issue za kuliwa nauli so kulingana na Rais anavyokaza wameona watanie kidogo
Magufuli hana masihara ndugu yangu,anapiga kazi tu na hakuna wala rushwa Kama Kenya.Ukikutwa umekuka rushwa basi kazi huna na Tanzania hatuna deni lolote la wachina kama Kenya ndugu zangu.
Juzi naona kwa runinga kuwa wachina waliwapa mkopo wa reli 😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😂😂😂