El shadai Altar is real,am one among the beneficiaries of God miracles happening in the church under prophetess Mum Ledy's Mugambi,May Almighty God always protect you and your family indeed in Jesus name,
Hakika Mungu anapatikana hapa.Ameonekana kwa huyu dada, Mtumishi Mungu azindi kukutumia ,ili nafsi nyingi ziokolewe.Dada huyu amepata mtoto kwa jina la Yesu pekee.Kumbe hilo jina pekeyake linatosha
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Ukitubu na ukae kwa utakatifu, mungu wa E-lshadai anatenda na ni mungu wa ukweli,may God protect and bless you mtumishi
El shadai Altar is real,am one among the beneficiaries of God miracles happening in the church under prophetess Mum Ledy's Mugambi,May Almighty God always protect you and your family indeed in Jesus name,
Be blessed nabii wa mungu
Mtumishi mungu akurinde milele agupe NEMA ya kumunyenyekea uponye wengi
May God bless you woman of God
Hakika Mungu anapatikana hapa.Ameonekana kwa huyu dada, Mtumishi Mungu azindi kukutumia ,ili nafsi nyingi ziokolewe.Dada huyu amepata mtoto kwa jina la Yesu pekee.Kumbe hilo jina pekeyake linatosha
Mtumishi ninafatilia mahubiri yako yananigusa na ninahitaji maombi yako kwa ajili ya afya
Pokea muujiza wako kwa Jina la Yesu Kristo. Nipigie.