Mtumishi wa mungu barikiwa sana, waambie kabisa ukweli ili watubu, tungepata watumishi wengine kama wewe tungekuwa bali sana, keep the fire burning mtumishi wa mungu,
Mama Nipo Kenya Naomba Uniombe Nimekuwa na Moyo ngumu wa kuacha dhambi Mungu ameniletea watumishi wengi na ujumbe wa njisi ya kuacha dhambi lakini moyo umekataa Naomba upatanisho na MUNGU
Mtumishi wa mungu barikiwa sana, waambie kabisa ukweli ili watubu, tungepata watumishi wengine kama wewe tungekuwa bali sana, keep the fire burning mtumishi wa mungu,
Mungu Samehe watumishi wako uwapeye Roho yakubadirika. Ukweri usemwe . Mungu akubariki mutumishi kwakusema ukweri barikiwa Rohowamungu akaye nawe milele Amen
Mungu tusamehe baba, sisi niwenye Dhabi.mimi ni mwenye dhambi. Mungu unisamehe, utusamahe yesu
Mama Nipo Kenya Naomba Uniombe Nimekuwa na Moyo ngumu wa kuacha dhambi Mungu ameniletea watumishi wengi na ujumbe wa njisi ya kuacha dhambi lakini moyo umekataa Naomba upatanisho na MUNGU
Mwenyezi Mungu awasamehee wachungajii wote 🙏🏽Amen
Mungu rehemu kenya. Usitumalize kenya ni inchi yako bwana.have mercy mercy mercy
Mungu wangu kumbuka kenya
Mungu atuhurumie.mercy mercy oooh God.
Barikiwa mtumishi
Mearcy lord😢
Write the name Lord with capital L please. .