NDOTO YA BUSTANI INASIRI KUBWA SANA | TUWE NAYO MAKINI | SHEIKH KHAMISI SULEYMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 ปีที่แล้ว +8

    Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh Shukran sana, mashaa ALLAH,ila Shaikh waogea sana kuliko kuenda moja kwa moja ambapo muda waisha na ndio unachangamka.

  • @edinajairo562
    @edinajairo562 3 ปีที่แล้ว +6

    Nenda kwenye point

  • @raniahabdurrahman4556
    @raniahabdurrahman4556 3 ปีที่แล้ว +9

    tatizo huendi kwenye point unazunguruka mno unaingia kwenye point mwishoni .nadhani bora uwe unaongelea mada mbili au hiyo moja kisha ujibu maswali ya watazamaji .

  • @adoulndizeye1379
    @adoulndizeye1379 4 ปีที่แล้ว +3

    Walayku Salamu warahmatullahi wabarakatuhu shukrani cheikh

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว +3

    WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤ SWALLA LLAHU ALAYHI WASALLAM ❣ ❣ ❣ ❣

  • @nairathamad2584
    @nairathamad2584 ปีที่แล้ว

    Mashallwah mungu akulip heri shekh

  • @SamaaMasha-jv4oj
    @SamaaMasha-jv4oj ปีที่แล้ว

    Asalm alkum sheghe minimeota bustani ichipua sana sana yani nimboga zimejaa mnoo zimestawi naomba maana yake alla wajala atakulipa inshaala

  • @eliaskassim5684
    @eliaskassim5684 2 ปีที่แล้ว +6

    Punguza maneno ....maneno buku point moja

  • @catooshfarahkhalid9030
    @catooshfarahkhalid9030 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah

  • @somoeismail9665
    @somoeismail9665 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah

  • @mbojesalumsalumneema3659
    @mbojesalumsalumneema3659 2 ปีที่แล้ว

    Asalamualaiku warhamaturulah ta'allah wabalakatu,,nimeota nachuma bamia,, pia nikaona na maua yake

  • @ayubnchagwa3927
    @ayubnchagwa3927 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho unayo mazur shida makrip Yako marefu mno lenga mada

  • @ibrahimzuber8714
    @ibrahimzuber8714 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mazungumzo marefu unatafsri ndoto au unatoa dawa nivizuri ukaenda kwenye mada husika ulio itaja punguza purojo nenda kwenye mada unarudia rudia hayo kwa hayo nenda kwenye mada

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @idyabdu652
    @idyabdu652 2 ปีที่แล้ว +2

    Porojo nyigi sana

  • @khadijaabdallah4547
    @khadijaabdallah4547 2 ปีที่แล้ว

    Shehe mm naitwa khadija abdallah mm nimeota nikichuma majani ya maboga lakini sehem ya kwanza ilikuwa sionyingi nikahamia upande wapili nikapata

  • @johnjoseph763
    @johnjoseph763 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nmeshindwa kumaliza, unaongea maneno meng sana bila point ya kichwa chako cha hbr

  • @sisterttrouble4331
    @sisterttrouble4331 4 ปีที่แล้ว +1

    Like mere

  • @fatumaabdallah6720
    @fatumaabdallah6720 3 ปีที่แล้ว +3

    Unaboa maneno mengi

  • @ibrahimzuber8714
    @ibrahimzuber8714 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acha porojo nenda kwenye mada

  • @mozaabdulla476
    @mozaabdulla476 ปีที่แล้ว

    A alaykm sheikh je ukiota kuna mt anapanda bustani nyumbani kwako ina majibu gani

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 ปีที่แล้ว +3

    Salaam, yaa Sheikh! Niwie radhi, lakini. watumia muda mchache sana kutoa msaada wa ndoto. Muda mwingi waumaliza kutupa dalili za usawa wa tafsiri za ndoto katika Uislam. Si vibaya kuwaokoa wanao pinga, ila, ungetuokoa wenye shida kwanza ndipo ukakomaa na kina "Abu Jahl!"

  • @kwizerajoseph6137
    @kwizerajoseph6137 2 ปีที่แล้ว +1

    As nini maana ya ndege wengi wakipita juu yangu

  • @agapenkya4148
    @agapenkya4148 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota bustni ya kamechi imestawi saana nzuri mnoo

  • @hubbyemmanuel3267
    @hubbyemmanuel3267 3 ปีที่แล้ว +4

    Acha ujinga unaongea xna mb zenyewe za shida unaboa sijui ukoje nataman nkuchape makofi apo ulipo

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh nimeota naokota maembe

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 3 ปีที่แล้ว

    Nni maana ya kuota gongoo wengi ndani

  • @jamesmlelwa9089
    @jamesmlelwa9089 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimeingia bustani ambayo siijui na imependeza ina kila aina ya matunda na mauwa mazuri sana niliitamani sana na mwisho nilipotoka nje ya bustani nikakutana na mwarabu hivi ama muhindi mwanaume akawa ananiongelesha lugha nisoifahamu naiota Mara kwa Mara ndoto hii maana yake nini

  • @azizagogo5503
    @azizagogo5503 2 ปีที่แล้ว

    Shekh nimeota nimeota kunakijiji nilipita ardhi ilipasuka ikawa maji yakawa yanapita Kama vile mifereji kupita ikawa tunaweka mabua ndio tunapita kwa upande mwengine nikamuona mbibi

  • @kwizerajoseph6137
    @kwizerajoseph6137 2 ปีที่แล้ว

    Na nini maana upepo mukari urinitoa kwenye jumba ambalo halina mandirisha na kung'oa jumba na kunitupa busitanini

  • @fatumaabdallah6720
    @fatumaabdallah6720 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nmeota bustani halafu pembeni wanapita waarabu watatu

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 ปีที่แล้ว +2

    Shehe unaongea

  • @AminaUkhty
    @AminaUkhty 5 หลายเดือนก่อน

    Punguzo porojo

  • @jimmymwakibinga754
    @jimmymwakibinga754 3 ปีที่แล้ว +4

    Nenda kwenye point