RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA LITOLA-NAMTUMBO MKOANI RUVUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @JordanMugirage-fz4xg
    @JordanMugirage-fz4xg หลายเดือนก่อน

    Mama na Rais wetu Asante kwa kazi tuliokupa.Tubaona matokeo yake. Mungu yuko na wewe na asante kutuheshimisha ndani na nje ya nchi yetu.

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน +1

    ❤🇹🇿NYOOOOOOOOOTA🇹🇿❤ ime waka MAMA KAZI 🇹🇿❤kusini ya Jangwa la Sahara ❤🇹🇿Jembe ni wewe God bless you ❤🇹🇿My Sister KAZI KAZI KA🇹🇿❤

  • @TimotheoTito-c6j
    @TimotheoTito-c6j หลายเดือนก่อน

    Ahsante mama kwa kututembelea kusini. Ikiwezekana mama usiishie ruvuma tu, ufike mpaka mkoa jiran was mtwara , ukianzia newala hapo.

  • @TimotheoTito-c6j
    @TimotheoTito-c6j หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli hongera mama kwa kujitoa kwako , Unapochoka Mungu akutie nguvu maana so Nazi ndogo. Ila Mimi mama bado nahangaika kupata mtaji ,nikumbuke mama.