Hivi Matilda uchechi bado unao tu.Hongera sana kwa kazi nzuri hakika penye nia pana njia. Maana wakati tupo chuoni muda wote ulikuwa ni mcheshi na mwenye kupenda kuimbakuimba.
Hongera sana Dada Matilda. Nimefurahi sana kusikiliza hiyo interview. Ahsanteni sana kwa kazi ya Mwenyezi Mungu mnayoifanya. Mimi ni Mkenya lakini nyimbo zenu zanifurahisha sana
Hongera teacher Matilda !👏🏼👏🏼👏🏼 Your entire family is role model to many Christians ! Feel appreciated . Naumjuze mwalimu Bw. Mukasa utunzi wake hauna kifani Kwa nchi zote za East Africa !👏🏼👏🏼👏🏼 Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
Jamani , hyu dada anabariki kwakweli , she is very charming. Mungu aendelee kukutumia katka Roho na kweli , aibariki familia yako na awape uliinzi teledada matlida
Bwana Bernard Mukasa, hongera sana. Mama amesema ratiba huwa inambana wakati mwingine anashindwa kuimba misa yake. Tafadhali, naomba umkumbushe na mkumbushane kwamba kadiri unavyozidi kumtumikia Mungu na akakupa kazi nzuri basi shetani hutumia nafasi hiyo kukuweka busy ili uone huna nafasi ya kuendelea kuimba au kuhudhuria vipindi vya kwaya au vile vilivyokuweka karibu naye. Please hakikisheni ratiba ya kuimba, mazoezi pia misa haiachwi kamwe. Hongereni sana.
Ongera sana mama bernard mukasa Mungu akubariki siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Hongereni sana kwaimbaji wenu napenda sana nyimbo zenu nguvu ya mazungumzo na tuushinde ubinafsi mwanzi uliopondeka mungu awabarki sana family ya Mr Mikasa♥️
Nakupenda sana unaimba kwaisia nakwafulaha
Hivi Matilda uchechi bado unao tu.Hongera sana kwa kazi nzuri hakika penye nia pana njia. Maana wakati tupo chuoni muda wote ulikuwa ni mcheshi na mwenye kupenda kuimbakuimba.
Hongera sana Dada Matilda. Nimefurahi sana kusikiliza hiyo interview. Ahsanteni sana kwa kazi ya Mwenyezi Mungu mnayoifanya. Mimi ni Mkenya lakini nyimbo zenu zanifurahisha sana
My very own role model...such a confident mama ubarikiwe wewe na uzao wako na uzao wa wanao....
Hongera teacher Matilda !👏🏼👏🏼👏🏼
Your entire family is role model to many Christians ! Feel appreciated .
Naumjuze mwalimu Bw. Mukasa utunzi wake hauna kifani Kwa nchi zote za East Africa !👏🏼👏🏼👏🏼
Much love from Kenya
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
She's a happy woman not only in their music videos but also in her interview
Hongera sana madam Mukasa,nimependa sana historia yako wewe ni mfano Bora kwa walimu,unatumia muda vizuri kwa Mungu na binadamu ubarikiwe sana
Hongera kwa utume ulionao mungu akuongoze nyimbo nzuri kwakweri
Watu wengi sana wanatamani kumuishi Mungu kama ninyi mlivyo. Mungu awabariki sana.
Jamani , hyu dada anabariki kwakweli , she is very charming. Mungu aendelee kukutumia katka Roho na kweli , aibariki familia yako na awape uliinzi teledada matlida
Amina
Mama mkasa a.k.a mkewamkasa Yuko pw
Mungu aendelee kukutumia kwa ajili utukufu wake ,,. Hongera sana Mama Mkasa
Matilda mungu aedelee na kukumbaliki pamoja na Familia yako edeleeni na kumtukuza mungu. From Qatar
Hongera sana. Interview nzuri sana
Hahahh naww mwalm tunasubir yako nawapata vzr san nikiwa nchin Oman nabarikiwa san na nyimbo zenu mungu awabarik sana
Amina sana
Ya kwake tumeshafanya
Nakukubali Kaka,
Bwana Bernard Mukasa, hongera sana. Mama amesema ratiba huwa inambana wakati mwingine anashindwa kuimba misa yake. Tafadhali, naomba umkumbushe na mkumbushane kwamba kadiri unavyozidi kumtumikia Mungu na akakupa kazi nzuri basi shetani hutumia nafasi hiyo kukuweka busy ili uone huna nafasi ya kuendelea kuimba au kuhudhuria vipindi vya kwaya au vile vilivyokuweka karibu naye. Please hakikisheni ratiba ya kuimba, mazoezi pia misa haiachwi kamwe.
Hongereni sana.
Hongera sana Mwl. Matilda Mukasa.
Hongereni Jugo, mtuletee ya Mr.Mukasa
Amina Sana mama nimekupenda Sana kwakweri
Nakupenda sn Mrs Mukasa Mungu awape maisha marefu ww na familiya yako kwa ujumla umenifurahisha sn
Hongera Sana mama na ubarikiwe
Great. Talanta tajika
Nimefurahi sana huyu Mama yangu ni mcheshi aisee kumbe anavyoimbaga vile ni reflection ya ucheshi wake!! Mungu azidi kuwa nawe
Ongera sana mama bernard mukasa Mungu akubariki siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Nimefurahia sana haya mahojiano kweli yamekuwa mazuri sana
Huyu mama umeshindwa kumuoji vzr....tulitaka kujua maisha yake yeye na mukasa walianzia wap Kwan weng wanapenda kuwajua
Huyu mama yupo vzr mno Ila mwandishi hamna kitu.
Inakuhusu
Hongera sana mama Mungu akubariki.
dada angu nakupenda sana unaimba vizur Mungu akubariki sana na mume wako na watoto wenu
Napenda sana uimbaji wako mama Mikasa ♥️
Huyu madamu akanifundisha english kantalamba mwaka 2007/2008
Vipaji vinajengwa ktk familia .hongera mama
Hongera sana ktkt Utume was Uinjilishaj Mungu akutunze
Mwalimu mtafungwa is such a blessing he made a great impact to the musical landscape back at Taita Taveta county (Kenya) may God bless him
Hongera Sana mama wawata
Hongera sana Mwl Matrida S. Mukasa
Nimependa mama kachangamka sana kipindi kimenoga asante
🙏
Hongera vzr sana
Mama huyu ni mchangamfu Sana
Cograts madam mukasa..
Napenda sana nyimbo zako.
Bi. Mukasa ni mchangamvu kweli..
Hongera Sana mama bernad mukasa
Interview iko bombaaa daaaaaa
I love her
Nice madame
Napenda kwaya mt kizito sana
Such an amazing lady
Mungu azid kukubark
hongera sna mama
Upo vzr da Matty tabasamu lako tu mi hoi
Mimina Neema,mlete Bernard sasa
Anakuja kipindi kinacho
@@JugoMedia Hapo sawa mkuuuu tunaisubili sana hiyo ya Bernard mkasa.
Balikiwa sana
👏👏👏
Dada kachangamka balaaa😂😂😂
God bless you
hongereni
Hongera Sana. Napenda nyimbo zenu Sana.Barikiwa Sana na familia yako.
Marioo
Balikiwa sana mama
Hongereni sana kwaimbaji wenu napenda sana nyimbo zenu nguvu ya mazungumzo na tuushinde ubinafsi mwanzi uliopondeka mungu awabarki sana family ya Mr Mikasa♥️
Mimina Neema zako
That's my wii
Mm napendezwa sana na uimbaji wako pale kwa choir
Maarioo
Mnafano bora kwa wanawake