Oaa kondee nakubali Sana life yako uyo kimwende asikuletee noma of coz me najua akuwezi kivyovyote vilee. Yani kwa kifupi uyo mtoto2 so akililia wembe mpeeew
Harmonize msenge tu amina ndala ndefu hawez kumpiga cha mpenzi na hana sifa za kupigana na mwakinyo hamonize atafutiwe kibesen kidogo akakune naz na dada zake😡😡😎
Kwenye any game, kuna rank, namaanisha unaanza na rookie, amateur, master, grandmaster, halafu kuna legend. Sass hili swala la rank harmonize anatakiwa aliangalie Sana, mwakinyo ni grandmaster kwenye boxing, huwezi from nowhere unataka kupigana na mtu kama Yule, Anaeza akamuharibu uso, sikatai yeye kutaka pambano na mwakinyo, but first angefanya pambano na rookies at least three of them, then ajitazame Kama Ana match to fight with grand master, mana nikisema legend ntakuwa namzungumzia Floyd or Mike Tyson. Anyways good luck harmonize
Huo ugrand master autoe wap anapigana na mabondia wepesi sana na hata huyo floyd siyo legend kwa mapambano yake ya kupanga ushasikia kapigana nje ya Taifa lke?
Hili ni jambo ambalo litamfanya konde asihusishwe kwenye tuzo kubwa kutokana na cv's zake kushuka kutokana na mfululizo wa matukio yake Haoni wenzake wanavyofanya na kujumuishwa kweny tuzo kubwa Harmo aache skendo...
Hamonize hivi kweli unataka kupigana na Mwakinyo. Usione kinasimama ukakimbilia kuoa! Wakati mwingine nimkojo tu ndugu yangu. Ngumi zinamambo mengi sioni kama umeiva vya kutosha kuzichapa na jamaa.
Mtu hajawahi kupigana hata ndondo eti anataka apigane na professional aliyepigana mapambano kibao. Kwanza Harmonize hatopiga ngumi hata moja, kila akitupa anapitiliza mwenzake kila akitupa inanasa😂😂😂😂
millard ayo huwa habar zako zinaaminika na watanzania nzima kuwa zinaukwel sasa kwa hili ndugu umezingua tena tutakujumlisha na wale wengine wasio jitambua kama habar za kutoa huna lala ndan mpaka upate habar zenye ukwel sio kutuona watanzania. wapumbavu kumbuka unafatiliwa na wengi nyuma yako
Hawa Akina harmonize ni makuma tu, wana manyonyo kama mijimama inayotaka kufokolewa hawawezi ngumi wanabana pua hafu wanataka kuingilia kazi za wanaume wangemuacha huyo konde apigwe kama ngoma mbwa huyo mziki na ngumi wapi na wapi mbwa huyo
Yani mwakinyo anasukumana kama demu boxer anafaa kuanza na gumi yey anaanza na kusukumana , kweli mchumba kama konde anavyosema. Tena kamsukuma na nguvu zake zote na bado konde hakuanguka 😅😅😅
Wasani nyote munatakiwa muheshimu kazi yamwenzio ikiwezekana hatakupongezana...... Tanzania kweli sio hainamaana yakua nawatu kama Hawa.....niwachache mno ktk tasnia niwachache walio nautulivu.....mwakinyo hapendwi nawingi kisa tu yy ndio the one in Africa so tena anatokea Tanga hapo ndipo wengi wasipo penda.....sijui nikwann.....hembu kumbuken wasanii Tanzania walianza kuwakilisha watanga nanyie mukainuka acheni wivu basi....wakijinga....fanyeni kazi.....
Ili ujue ni kiki mbona walinzi wa eneo hilo hatujawaona hata mmoja wakiwazuia wasipigane. au hilo eneo halina walinzi? walishapanga iwe hivyo isingekua kiki kungeibuka zogo kubwa sana hapo hata meneja wa eneo hilo angejitokeza hiyo nyimbo sijui inatoka lini mwakinyo kalipwa atengeneze kiki nayeye pia aonekane kwani yupo kmy muda mrefu
Hamna kitu hapa tume wastukia zote h n kiki tu😂😂😂
Isiingekua kua walinzi wa harmoniz hamo angetolewa macho
Mwakinyo mungu anakupenda huyo adui mkubwa kakuonyeshea kama uantaka kupigana situated utaratibu mini sasa
Oaa kondee nakubali Sana life yako uyo kimwende asikuletee noma of coz me najua akuwezi kivyovyote vilee. Yani kwa kifupi uyo mtoto2 so akililia wembe mpeeew
Daaah hii nchi ngumu sana
Konde embu endelea kufanya mziki bhn kikizingine hazina bhn
Huyu atapigwa na atalazwa hospital au kufa.
oya mpaka raha ivi ndo safi, kulipoa mno,
😂Sasa huyo mlinzi Alo vaa Sweta ya njano anashituwa shituka nn sasa 😅
Kiki hii yaani camera man alijiaandaa kabisa
Hizi ni kiki za kishoga tu mitandaoni 🎤 na 🥊 wapi na wapi jmn
Mngewaacha kwanza wazichape kidogo ili tumjue nani zaidi maana ukiwaamulia hawata heshimiana hao😮😮
Harmonize msenge tu amina ndala ndefu hawez kumpiga cha mpenzi na hana sifa za kupigana na mwakinyo hamonize atafutiwe kibesen kidogo akakune naz na dada zake😡😡😎
Hii kiki tu imetengenezwa😂😂
Imekaa kama behind the scene ee😅
Mbona kama igizo.. 😂😂
Maisha ya wabongo ayo jamani na ap akuna cha ziada ni kk2😮😮
Mnatuletea maigizo ya isidingo the need
Naona movie tu ya anodi na jini
Kwenye any game, kuna rank, namaanisha unaanza na rookie, amateur, master, grandmaster, halafu kuna legend. Sass hili swala la rank harmonize anatakiwa aliangalie Sana, mwakinyo ni grandmaster kwenye boxing, huwezi from nowhere unataka kupigana na mtu kama Yule, Anaeza akamuharibu uso, sikatai yeye kutaka pambano na mwakinyo, but first angefanya pambano na rookies at least three of them, then ajitazame Kama Ana match to fight with grand master, mana nikisema legend ntakuwa namzungumzia Floyd or Mike Tyson. Anyways good luck harmonize
Huo ugrand master autoe wap anapigana na mabondia wepesi sana na hata huyo floyd siyo legend kwa mapambano yake ya kupanga ushasikia kapigana nje ya Taifa lke?
Hamo anapenda sana kiki kwa pikipiki
Baba levo mshukulu mungu haukutwa vzr na bondia hamo ungekufa
😂😂😂😂
asanti kwa ubeya
Sa ndo nn wanawazuia wangewaacha waheshimiane😂😂😂😂mnatunyima uhondo😂
Shida ya wasanii bana kutafuta trend kila panapo kucha
Huyu dogo anataka kufa.
Akaimbe sio ngumi
Sijapenda mulivowazuia, mngewaacha tu tukajua nan bingwa 😂
Hili ni jambo ambalo litamfanya konde asihusishwe kwenye tuzo kubwa kutokana na cv's zake kushuka kutokana na mfululizo wa matukio yake
Haoni wenzake wanavyofanya na kujumuishwa kweny tuzo kubwa
Harmo aache skendo...
Hajitambui na hata makampuni makubwa hawatompa michongo ikiwa siku zote atakua hivi anatakiwa abadilike.
Sa mmakonde nini ushamba namabodigadi yakuzidi yamevimba lakini mwakinyo anajaribu kurusha mizigo nahawamfanyi kitu konde Acha madrama atachafukwa msambaa akugonge kweli aise😅😅😅
Jamani kwani pambano litakuwa siku gani eti, maana si kwa kiki hizo ahiseh !!
isiwe tabu wapen ulingo tuu tujue moja nani atamueshim mwenziy apo ila drama atutak tumechoka 😂😂😂😂😂
Yeah, hapa hamna ktu camera was active before kweli haha ngoj nicheke😂
😂😂😂😂😂😂
Labda wapigane diamond platinum na mwakinyo
Acheni siku moja achanwe huyu harmo ni msenge sana wanamchekea sana huyu unapiga na kuua kabisa kuma huyo
harmo mshikaji sanaa wa mwakinyooo 😂😂😂😂😂
Kuna Mtu Music 🎵 Umeanza Kumshinda Maana Hana Hata Mkanda Moja ANATAKA Kupambana na Mwknyo
Mh Ngoja Tusuburi Milango ya Geti Kwenye Midomo
Kugombana ni tofauti na mchezo wa bondia, kwa bondia sawa ila sio kwa ngumi za kitaa
Hamonize hivi kweli unataka kupigana na Mwakinyo. Usione kinasimama ukakimbilia kuoa! Wakati mwingine nimkojo tu ndugu yangu. Ngumi zinamambo mengi sioni kama umeiva vya kutosha kuzichapa na jamaa.
Mabauns wenyew wanafrah
Hawa wameshiba unajua shibe nayo ni shida 😮😮😮
Harmonize mswahili sana
Hizi ni kiki tu hasa wapigane kisa nini 😂😂
Mmmmh hili jamaa linapenda mikiki aisee
Huyu body guard mwenye yellow jacket arudishe mshahara wake alokula
Ameenda kishari na makamera
Mtu hajawahi kupigana hata ndondo eti anataka apigane na professional aliyepigana mapambano kibao. Kwanza Harmonize hatopiga ngumi hata moja, kila akitupa anapitiliza mwenzake kila akitupa inanasa😂😂😂😂
Mtu na nusu atakuja apigwe😂😂😂😂😂😂😂😂
millard ayo huwa habar zako zinaaminika na watanzania nzima kuwa zinaukwel sasa kwa hili ndugu umezingua tena tutakujumlisha na wale wengine wasio jitambua kama habar za kutoa huna lala ndan mpaka upate habar zenye ukwel sio kutuona watanzania. wapumbavu kumbuka unafatiliwa na wengi nyuma yako
Oteee machokooo tuuu wanaumeee awaongei sanaaa
Harmonize anatafutia pa kufia tu,,anadhani hiyo ni bongo fleva.😂😂
Wangewaacha washikishane adabu kwanza 😂 ili waheshimiane
Proteins shakes hazijawahi kumuacha mtu salama. Ngumi ni ufundi sio kubeba nondo ukaona umeomuka ukadhani utauweza ubindia.
Ssa c wangewaacha tu ubaya wanategemea ma bouncer mwakinyo tuliza munkari mwache huyo naomba mshenzi
Watu wenye akili km mm apo washajua km hao.wazush to akuna mazala yoyote apo wanatuzuga wa bongo to
Maigizo 😁😁😜
Hawa Akina harmonize ni makuma tu, wana manyonyo kama mijimama inayotaka kufokolewa hawawezi ngumi wanabana pua hafu wanataka kuingilia kazi za wanaume wangemuacha huyo konde apigwe kama ngoma mbwa huyo mziki na ngumi wapi na wapi mbwa huyo
Harmonize nae anaboa na anachosha anapenda ugomvi juz amegombana na baba levo mara waislamu hivi mpaka lini
Matumiz mabaya ya Madawa yan hapo kinachomuendesha n madawa
Iv nani kamuona uyu mwenye jakti la njano😂cjui analuka luka nn
Harmonize huna heshima pumbavu umenikera kweli
Rmonizer huwez moto wa mwakinyo
Yani mwakinyo anasukumana kama demu boxer anafaa kuanza na gumi yey anaanza na kusukumana , kweli mchumba kama konde anavyosema. Tena kamsukuma na nguvu zake zote na bado konde hakuanguka 😅😅😅
Mwakinyo mtu poa xana apend ujinga alfu ngumu nikazyake Ila uyo mla mihogo na panya anataka xfa na Kik kupitia kwa mwakinyoo
Huyu fala anafkri ngumu sawa na 🎤!?😅😅
Kiduku kaporwa. Gem yake upinzani. Konde vs mwakinyo
Konde andika nyimbo ngumi sio kama unavofikiria utapigwa kenge wee 😅
Wazeee hi sio kiki ona aaha wangepigana kweli😂😂
Wee jiulize camera man alijuaje kama itakua hivyo tena camera man anaonekna hatumii simu kabisa😂😂😂
Kesi ya harmonize na mwakinyo mahakamani
Video th-cam.com/video/eA49e2jnfJg/w-d-xo.htmlsi=8LDpvK5UpFsVKguS
Wasani nyote munatakiwa muheshimu kazi yamwenzio ikiwezekana hatakupongezana...... Tanzania kweli sio hainamaana yakua nawatu kama Hawa.....niwachache mno ktk tasnia niwachache walio nautulivu.....mwakinyo hapendwi nawingi kisa tu yy ndio the one in Africa so tena anatokea Tanga hapo ndipo wengi wasipo penda.....sijui nikwann.....hembu kumbuken wasanii Tanzania walianza kuwakilisha watanga nanyie mukainuka acheni wivu basi....wakijinga....fanyeni kazi.....
Kweli babisa katika sanaa yenye mambo ya kipuuzi ni ya tanzania dunia nzima
Harmonize amekosa ustaarabu kumvamia mwakinyo gym asuburi chama Cha ngumi tz kiawaandalie pambano
Hadi camera man kaandaliwa
Ili ujue ni kiki mbona walinzi wa eneo hilo hatujawaona hata mmoja wakiwazuia wasipigane. au hilo eneo halina walinzi? walishapanga iwe hivyo isingekua kiki kungeibuka zogo kubwa sana hapo hata meneja wa eneo hilo angejitokeza hiyo nyimbo sijui inatoka lini mwakinyo kalipwa atengeneze kiki nayeye pia aonekane kwani yupo kmy muda mrefu
Njia nyepesi ni kutayarisha pambano rasmi la ndondi baina ya hawa waili wa settle scores in the ring
Sas cameraman alijuwaj kam watakutan ili aanz ku record
Kama harmonize anajiamini mbona kaja nana bodyguard angekuja peke yake
Nimeona footwork ya Hamo😂. Ni bora aendelee na mazoez ya kuchez , ngumi Bado saana
Changa la macho hilo.Danganya Toto sio wakubwa.Nyang'au nyie
Konde boy tutamkosaa jamanii
😅 Labda albadili ilisha timia, kwa hiyo kuna uwezekano watu wata imba “Parapanda italia” si muda mrefu! 🤣
Naombeni jibu, hivi Bondia na Bausa ni nani mbabe?????
Mbabe ni Baunsa lkn ulingoni bingwa ni Bondia
Harmonize anakaa mpumbavu Sana kwani shoga au nini,,,Kila wakati vita Yani kajiskia Sana huyu,,ataumia one day
😂Wnatania bana 😂😜😜
Hamo anasifa san
Mbona konde una taka dji shusha eshima yako banane achana na ma kiki bwana tuendelee na muziki yetu.((mtu na nusu))
Harmonize mienendounayofata unaishusha brand kakangu unausenge mjubaa unajidhalilisha kwamakampuni unayofanya ubalozi acha utotoo.dogo
Mwakinyo amejishusha thamani yake ngumi hazihitaji kiki za kishamba kama izo
Aah kweli hajaenda hospital mda mrf umepita
Kiki zitakuua ww konde boy una boa sana acha ujinga huo
Mziki wa bongo na kiki ni Kama ugali na mboga😂😂😂😂
Good acting
Mwakijo wapi na mtoto uyo unajijafua dugu yangu
Unamkosea Sana mwakinywa iyo Uyo nibondia wewe inafanya mazoezi ya Bodi ulipingana lini ukavaa mkanda
Shida harm kiki zata mua huyo kija , chamsing mtoto hakililia wembe mpe ajikate sasa kautaka mpen hak yake boya huyo yani yupo ka shoga bana
Harmo ni k tu apo kajidhalilisha sana
Yani hamonize na mchukulia kama mtoto wa nguluwe
😂😂😂 hamo anachekesha na hako kakifua hajui kama kunawatu na vifua vyao na wanapasuka 😅😅😅😅fido uko wap
Naimani kabisa amonaez ndioshida
Najuwa tembo akiingia hatoki mutu
Hawa wote Akili ndogo
Mmakond bangi 😂😂
Wote wasenge mnafirwa
Washambaa hao Kiki tyu izo Amna Lolote tumewastukia
Aki na ukwa😂
Utoto tuu
Kutulia bandle zetu