DOTTO MAGARI AMPIGA MIKWARA T.I.D |MTOTO MDOGO MUACHENI NIMTIE VICHWA HANA AKILI MJUAJI SANA HUYU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 ปีที่แล้ว +2

    Doto handsome bwana ,nywele hizo upunguze sasa.

  • @cholocholo4264
    @cholocholo4264 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dotto nakukubali sana karibu sana uje Garman kutembea angalau tukuoni live

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂asubuh tar 1 jion mwsho wa mwez!Nakbal doto mandinga.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye degree anamsikuliza mwenye zero😅

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 ปีที่แล้ว +2

    Nimecheka kifala sana. Dotto😂😂😂.

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe doto hajali mazingira mbona anatema Chini akila au hamna dustbin?

  • @frankmnyema6871
    @frankmnyema6871 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha ya catalism 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @devidjav3583
    @devidjav3583 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaume wanaosifia wanaume wengine ivi vichwa vina akili kweli?

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania 10 หลายเดือนก่อน +1

    Oforence ndio nini au Jina la hiyo kampuni

  • @mussacharlesSongo-or4wn
    @mussacharlesSongo-or4wn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiitajika utaitwa kkkkkkkkkk.....

  • @barakafakihi2431
    @barakafakihi2431 ปีที่แล้ว +2

    daah jamaa anajua kumjaza mtu 😅😅😅

  • @barakafakihi2431
    @barakafakihi2431 ปีที่แล้ว +2

    ni mashalafa au masha love

  • @LoxJuma
    @LoxJuma ปีที่แล้ว +1

    Kweli tid roho mbaya

  • @jayutawala2242
    @jayutawala2242 ปีที่แล้ว +1

    Awe chawa mara ngaoi uyo ni mchokozi mtemi fanya alaka alaka usimwambie mtu

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 11 หลายเดือนก่อน +1

    Doto magari nikutanishe na huyo Tambuu kama anajengea watu majumba kwa ubia nina nyumba ilala bungoni na magomeni mwembechai

  • @adamlyanda9450
    @adamlyanda9450 ปีที่แล้ว +2

    Dotto magari bwana..mimi ifolesensi..ndo influencer😂😂

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 ปีที่แล้ว +1

    Doto yupo sawa sana

  • @Tchidymbanga
    @Tchidymbanga ปีที่แล้ว +2

    Bellnice(Belinais) nimesikia vibaya au msanii mpya.
    😂😂😂

    • @DjProburundi
      @DjProburundi ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti 4:38

    • @barakajpilly6900
      @barakajpilly6900 ปีที่แล้ว

      jamaa anatupanga uyu 😄et ao maofolensi kuamasisha watu walete pesa zao 2:15😃

  • @AshirunaIddy
    @AshirunaIddy 7 หลายเดือนก่อน

    Wandishi wa habar wakibongo wanakosa wakuwahoji ,,

  • @kaltumsharif9547
    @kaltumsharif9547 8 หลายเดือนก่อน

    Jamaba nataka number ya doto magari

  • @mustafamusty
    @mustafamusty ปีที่แล้ว

    Baba Epo unatema siooii 😅😅😅😅😅😅

  • @OfficialJiggaByser
    @OfficialJiggaByser ปีที่แล้ว

    Hahahahah dotto namkubali Sana bro vp pacha wako yupo wapi

    • @monadinadi5295
      @monadinadi5295 11 หลายเดือนก่อน

      Amefariki alikuwa mwanamke

  • @ShakiraZubery
    @ShakiraZubery ปีที่แล้ว +1

    Kwenye mawayabyaumeme shingoni

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Toka hapa na Meno ya kuoza

  • @RamadhaniIssaafrika
    @RamadhaniIssaafrika ปีที่แล้ว

    Tajir amevaa rababend

  • @KarimuJuma-vd2uc
    @KarimuJuma-vd2uc ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @andrewmabruki1113
    @andrewmabruki1113 11 หลายเดือนก่อน

    Influencer

  • @startwithginegine1891
    @startwithginegine1891 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @barakabaliza639
    @barakabaliza639 ปีที่แล้ว +1

    Eforensi au influence

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 ปีที่แล้ว

    Eti mwenye degrees anamfuata mwenye ziro

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kwani uongo, kamchukue mtu mwenye pesa umwajili

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 ปีที่แล้ว

      Yaani wewe chunguza watu wengi waeajili watu wenye ziro, ndo maana hata kwenye ndoa waliosoma wengi wanaoa wenye ziro