I like u a lot haswa ulivyojikubali na kutambua kosa ni la kwako uko vizuri unanifunza pia kukubali weakness na makosa pia kama binadamu. No fake, no pretending life God bless u
Ndio mtan wewe ni mzuri sio utan,hao wasiokupenda kazi kwao.❤❤❤ nakupenda sana,yaan wewe,shishi,Riyama,wema,Rozi Ndauka,Correta Yaan wapo rohoni kwangu sana said ❤❤❤❤
Mithali 27:1-2 [1]Usijisifu kwa ajili ya kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja. Boast not thyself of to morrow; for thou knowest not what a day may bring forth. [2]Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
Hivi kumbe wala mihogo wana visirani mno duh Aunt umenichekesha nikakumbuka Yanga fans walivyokuwa na makasiriko baada ya kuitwa wala mihogo. But on my side napenda sana mihogo na hapa nipo naila. #MihogoSamaki
Kiukweli Aunt wewe ni mzuri ❤❤❤ mashaallah
She is beautiful kusema kweli. Napenda sana ngozi a rangi yake. Nzuri sana.❤
I like u a lot haswa ulivyojikubali na kutambua kosa ni la kwako uko vizuri unanifunza pia kukubali weakness na makosa pia kama binadamu. No fake, no pretending life God bless u
Nimekupenda sanaaaa Aunty Ezekiel... Jibu la mwanamke wa kujiamini. U don't need validation from anyone. Love urself always
Kweli anti mzuriiii saaana natural skin yake uso wake mzuriiiii saaana ❤❤❤❤
jikubali mwnyew dada ngu we ni mzuri❤❤❤❤
Ezekiel ur very beautiful ❤️ Kigali tunapenda rangiyako
Love your confidence
Aunt Ezekiel we nei my role model wangu ak me ukupenda tew xana wallae tz cjai kubali dame ka..wewe..ur so cute mummy much love from Kenya 🇰🇪
Kabisa aunty we mzur dear nakupenda alaf Una shepu nzur Sana mama nono
Nimzuriii haswaaa MAA SHAA ALLAH alishawahi kumwona NBC Bank live ni mzuri zaid kuliko hiviii MAA SHAA ALLAH
Wewe si mzuri tu nimzuri zaidi❤❤❤
Lkn kweli bnh wapungz makasiriko ure so beaut aunt
Lazima usema aunt ,ngoja tukwambie mshukuru mungu ,asijigambe ,acha dunia izungumze juu yako
Kabisa we mrembo MUNGU ameumba ni wivu tu ❤❤❤❤
Mama nono kweli wewe ni mzuri shoga hongera❤
Uzuri gani sasa
@@franckdunia9792😂😂😂😂😂😂
Kweli we dada ni mzuri
Kabisa kila m2 anapenda kuwa namuonekan mzuri
Nikweli ww mzuri mashaallah 🥰 Ktk watu wabaya humo mpeni haki yke jpo wapo walo mzidi yy lkn na yy mzuri
Aunt Mashallah mzur❤❤❤
I love the way she makes conclusion about her ex with a lot of maturity
Uko vizuri dada angu! Wa shauri kina dada wengine❤
Nmeipenda hii ya kuchagua sehem sahihi ya kwenda Antwa
We ni mzuri kweli bibi wewe❤❤❤❤❤❤
Kweli kabisa my d napenda sana unapo jikubali San napenda
Ndio mtan wewe ni mzuri sio utan,hao wasiokupenda kazi kwao.❤❤❤ nakupenda sana,yaan wewe,shishi,Riyama,wema,Rozi Ndauka,Correta Yaan wapo rohoni kwangu sana said ❤❤❤❤
Uzuri unao mpnz wangu nakupenda sana huwezi kupendwa na wote❤
We mzuri anti yake, mwana Naima shepu mchangantiko 🥰🥰🥰
Hongera kwa watt wazur Sasa ungezaa hata SITA hivi ant wifi yangu.watt wako ni wazur
Aunty nakupenda bure very beautiful and mature 💯%
Mzuri mzuri kweli
Uko vizuri la mama
Aunt ni mzuri wew ❤
Napenda life style yako I wish ningekuwa wewe❤
Nakupenda saaana aunty wewe kweli Nani funzo kwangu.i love u so
We mzuri kweli sio mchezi anti
Ww mzuri hata mm skuibgii wanawake tuwache wivu jmn
Uwaooo nakukubali Sana Anti mnyaki mwenzana penda Sana wewe
Mkenya Mimi nakupenda yaani wee mzuri kabisa.
Mzur xan anty
Nakupenda sn ww dada❤❤❤❤❤
My wiii karibu bumbuli we mzuri❤
Ur so beautiful dear I love unavyojiamini kweli wengi want makasiriko saana
Nakubali
Rangi zuri mashalaa
We mzr nakupenda sana jmn tokea enzi
Kweli mzuri aunt Kama mimi
Ni kweli kabisa mzuri nakupenda
Mzr dada anty wao waachet makasliko kwel
Kweli kabisa nakupenda Sana dadangu ❤
We ni mzuri watu ni wachawi wa nafsi achana nao
Mzuri bhn💕💕
She beautiful aunt zakiel
Amejibu vzr sana Ant
Nampenda huyu dada❤
Aunty napenda ngozi yake ❤😊
nikweli my mzuri mwanangu
aunt mzuri bana no comment
Nampenda Sana Aunt ngozi inamabonde😂😂😂😂❤❤❤❤
Aunt Yuko vzur na rangi yake Kali mno
Kweki ant ezekiel ni mzuri
Kweli wee mzur banaa❤❤
Nikweli Aunty uko beauty kabisa
Wa kwanza Ku comment
Anti mzuri bana mashallah ❤️
Safi sana unajitambua aunt
Mithali 27:1-2
[1]Usijisifu kwa ajili ya kesho;
Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja.
Boast not thyself of to morrow; for thou knowest not what a day may bring forth.
[2]Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe;
Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
Mama mrembo ❤❤❤❤
Nakuenda At ww mzur
Aunty kwa kweli nimzuri❤
Ndiyo ni mzuri sana
Sana Mashaallah
Kweli Aunt ni mzuri
🙏🙏🙏
Kweli we mzuri
Aunty nakupenda ❤❤
dd ukisubir kusifiwa utakufa bila kusifiw bora mtu ujikubali mwenyewe wl huna ubay
Nnavyo mpnda ugu aunty aah kwel wanamaksiriko ao wapuuzi😂😂😂umrembo kwel mwaya❤❤❤
Wew sio mzuri ila ni konkod wa umalaya
hongera sana wewe mzuri
Wewe muzuri ❤❤❤
Nampenda mpaka majibu
Beautiful auntie❤
Koma wewe kwahiyo majina yote umeona amina na mwajuma
Mashallaha
Nakupenda sana anti
Aunt mzur bhana🎉🎉
You’re beautiful no matter what they say❤️❤️❤️
Nakupenda Aunty❤❤
Nampendaga xana aunt jmn
Mimi nawapendaa mastar wa bongo
Unabaya dada nakupend sana
❤❤❤❤🎉🎉
Your so beautiful Ezekiel
Ubaya ile Filamu yako na Kanumba ya Kikojozi ndio imeharibu Brand kidogo.
Kweli mashAllah❤❤
We mzuri kweli
We mzur bhn
She's beautiful
✔️
Nimzur hakika
Hivi kumbe wala mihogo wana visirani mno duh Aunt umenichekesha nikakumbuka Yanga fans walivyokuwa na makasiriko baada ya kuitwa wala mihogo.
But on my side napenda sana mihogo na hapa nipo naila.
#MihogoSamaki
Majibu ndo nmependa zaid