KWETU HAKUNA WAFUNGWA, NI WANAFUNZI - SHEIKH ABEID KARUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 9 หลายเดือนก่อน +1

    Adui wa Zanzibar alitoa hotuba nzuri yakinafiq siku ya uhuru kumbe moyoni alikuwa na dhamira nyengine kabisa ila nae mungu kamlipa hpahpa dunianai kamatadini tudani

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Alidanganywa sababu abaki madarakani sheria ya mapinduzi alitakiwa akae km rais wampito kwamuda wa miezi mitatu na aitishe uchaguzi haraka ila pia hakufanya ivyoo😂😂

  • @alirenge3432
    @alirenge3432 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah amjalie makazi mema inshallah

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว +3

    Laiti Zanzibar tungejitegemea wenyewe basi tungefika mbali sana Na tungepata maendeleo mazur ya Zanzibar yetu Na ingekua Ni visiwa vyenyekuleta mfano ktk Africa mashariki.
    Naskitika Leo kiongoz kama huyu hakutokea tena mrithi wake wamebaki walafi2 wa madaraka Na kujinenepesha matumbo yao Na dhulma nyingi. Inaskitisha kwel .
    Allah akuhifadh mheshimiwa.

    • @weabdulabass7931
      @weabdulabass7931 5 ปีที่แล้ว +1

      Saleh Suleiman we yaone tu maajabu hy mijitu inayojiita viongozi haina loloote

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว

      @@weabdulabass7931 yan inatia uchungu sometime sio kisiwa cha kusema kila jambo haliwezekan kufanyika wakat kwa wenzetu Zanzibar Ni kama mkoa2

    • @weabdulabass7931
      @weabdulabass7931 5 ปีที่แล้ว

      @@salehsuleiman1218 mijitu inapenda matumbo ndio ttzo

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Tungekua sisi tunajitegeme hatamikutano mikubwa ya kimataifa ingekua inakujakufanywa Zanzibar ila tumeporwa kiti chaumoja wa mataifa halafu kunawatu flani wanatumia wao wanajifanya km hawajui km kitu walichokalia kimataifa nicha Zanzibar 😢😢😢😢

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 ปีที่แล้ว +2

    Alikua vzr huyu shekh karume mzalendo anae penda watu wake Allah mpe MALAZI MEMA amin

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 7 ปีที่แล้ว +8

    Nyerere nuksi kishenzi

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    Ao ndo viongozi,xaiv wapi hakuna viongozi Tena , Sera zake ni km za mar-hum maalim seif , mungu awalaze mahala pema peponi

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah akupe makazi ya Firdausi uko ulpo amiiin

    • @allysuleiman6022
      @allysuleiman6022 2 ปีที่แล้ว

      Firiidas wamzee said au unaongelea pepo ya Allah kma nipepo sema Astaafru,,,Allah maanake ukiuwa au kushiriki basi pepo ya Allah niharamu kwako

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 8 หลายเดือนก่อน

      Usitoe hukumu muachie Allah(SWT) mm na ww hatujui hatma yetu Allah(SWT) atujaalie khatma njema na pepo ya Firdaus pamoja na waislamu wote waliotangulia maana jambo la kutoa shahada jambo lenye thawabu kubwa.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Staki kuchangia ila kabla ya kifochake alivyo sema alitubu kwaiyo swala lamsama nilamwenyewe mungu na sisi tutamuombea na tunajua wazi kua kunamtu alimshawishi na ndie aliempa bundukii na akaleta watuwake hadileo hawakuondoka tena baada yamauwaji Yale 😢😢

  • @aboudmsonde2890
    @aboudmsonde2890 7 ปีที่แล้ว +4

    Kuliambiwa tukae nao kwa taadhali tatizo tunajisahau ssna

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 5 ปีที่แล้ว +5

    Abdallah Kassim Hanga
    Othaman Sharif
    Saleh Sadala Twala
    Amani Thani
    Nao hawa tusisahau kuwaombea Dua.

  • @hbminternationalco.7018
    @hbminternationalco.7018 7 ปีที่แล้ว +2

    Heshima kwa muheshimiwa Karume

    • @artisttigisa7393
      @artisttigisa7393 5 ปีที่แล้ว

      HBM International co. Mungu akurehemu ailaze nafsiyako mahara Pema peponi

    • @nicholausjunior4914
      @nicholausjunior4914 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante karume

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Angekuepo ingekua vzr sana ila alipoonekana kua atakuja tatizo Ali sambaratishwa hasa sikumoja aliwaita watendaji wake wote waliokuepo Tanganyika warudi Zanzibar kunakitu kinataka kutoka napia angewah kutamka tu icho alichokusudia leo tusingeitwa tanzania ila walipo gundua walimuua kabla kutangaza kuvunja kitu hicho ila ilikua chupu chupu vichogo waishiwe😢😢😢😢

  • @howardally8330
    @howardally8330 6 ปีที่แล้ว +3

    Dah ishi kwa amani hakuna raisi kama karume milele hatotokea kama karume mm sikukuwepo ila ana utu ambao wengi wao ss ivi wameukosa

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 6 ปีที่แล้ว +3

      Howard Ally
      Samahani bahato Yako hujakuweko.
      Aliyofanya karume kwa wananchi na mauwaji hata kwa wenzake ASP ni ukafiri.
      Tizama maelezo ya Amani Thani in you tube ujuwe ukweli

    • @howardally8330
      @howardally8330 6 ปีที่แล้ว

      Yousuf Harthy haya sawa sikatai ila mazur yake pia yapo na Mungu ndio anajuwa vp Amhukumu mwenyewe

    • @mwanaeidizenji8264
      @mwanaeidizenji8264 6 ปีที่แล้ว

      Mh hayo maneno

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Kwakwel alio yafanya nyuma Yake alikuepo bilisi kichogo akimshawish ila mwisho alijutia na aliwaita waarabu uwanja wamnazi mmoja kuongea nao ila mungumsamehe tu😢😢😢

  • @ikramsafnes3019
    @ikramsafnes3019 6 ปีที่แล้ว +2

    ALIKUWA KICHWAAA

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibari lmemezwa

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 hakika waliimeza Kwa furaha ila wataitapika Kwa uchumgu Tena haijalishi atawaitoe katika mlango wanyuma😂😂😂

  • @abdallahsuleimanhamad5634
    @abdallahsuleimanhamad5634 5 ปีที่แล้ว +3

    Maneno mazuri na adimu sana

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyumzee anasera nzuri ilikuwa tuna nchi nzuri sana lakiniwapiiiiiii ndotusaaau watu wabaya wametutowa kwenye mstari

  • @asilclub
    @asilclub ปีที่แล้ว

    RAISI MWONGO HATA HAJUI KUVAA NGUO HUYO MSHENZI

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Ungemleta mkeo aje amvishe acha kukejeli utamaduni wa mshwahi bwege ww😂😂😂😂

  • @rogastianezekiel2257
    @rogastianezekiel2257 8 ปีที่แล้ว +7

    tutawakumbuka daima,ila tuna mchapakazi rais wetu magufuri nchi iko salama mikononi salama.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 วันที่ผ่านมา

      Magufulin anahusika na nini hapo acha kufananisha Zanzibar na vitu vyaajabu😂😂😂

  • @bakarimtangenange7455
    @bakarimtangenange7455 7 ปีที่แล้ว +4

    Hakika zanzibar imepoteza mtu muhimu

    • @faridkubanda5049
      @faridkubanda5049 7 ปีที่แล้ว

      Hongera baba karume mungu akulaze mahalapema peponi amin

    • @nasseralbutrani435
      @nasseralbutrani435 7 ปีที่แล้ว +1

      Vipi imepoteza mtu muhimu wakati yeye ndie sababu ya matatizo tuliyonayo sasa.
      Ameipindua serikali iliochaguliwa

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 ปีที่แล้ว

      +Nasser Al Butrani chanzo cha matatizo seifu alopeleka document muhimu za makibaliano ya muingano kwa nyrere

  • @abdulrahman282
    @abdulrahman282 7 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ndipo utajua huyu mtu kwa nini aliuwawa na wasio julikana!!

  • @allyramadhan3740
    @allyramadhan3740 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu jamaa hafanani mtu na nchi imepoteza kila kitu vipo kwa mabepari na wasomi we tu sisi wananchi wakawaida tunaangaika no new

  • @mbarouknassor4177
    @mbarouknassor4177 4 ปีที่แล้ว

    Azmtv

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Wazanzibari au watanzania
    Watanzania umeitoa wapi nchi yako NA dola yako NA mamlaka yako watanzania gani tangu lini unaona mtu anauza nchi yake kwa kuwa NA madaraka huko kiyama tutaulizwa kwa nafsi ya watu waliouwawa tena hao ni wazanzibari waaslamu NA hata kafiri huna haki ya kumua sasa wazanzibari wanalia kwa uamuzi. Wako ya kijinga NA kutawaliwa tena baada ya kupata uhuru kamili kutoka ungereza

  • @bakarimtangenange7455
    @bakarimtangenange7455 7 ปีที่แล้ว +4

    Hakika zanzibar imepoteza mtu muhimu