Kwani ukifunika kichwa wakati woote,utakuwaje?,shida yawanawake nikutafuta kuonekana kwawatu wengine,nywele zamwanamke hazipaswi kuonekana na mtu mwingine isipokuwa mume wake tu,umbo lako linapaswa kumvutia mume wako tu,ukiwavutia watu wengine nidhambi,wanaume nirahisi kuingia mbinguni kuliko mwanamke, wanaume wavae kwakujistiri wanawake tuenende uchi hadi kanisani!!!,ningekuwa mchungaji,ningelitengeneza kanisa langu,ningehakikisha hakuna mvaa uchi,wala mvaa mawigi namaurembo,
Kwahiyo tunapaswa kufunika kichwa muda wote? Au wakati wa ibada tu. Mungu tusaidie na joto kilemba. Lakini pia tukiamua kunyoa tu, ni sawa au ndio kunyoa na kufunika kichwa.
hii mambo ya kufunika kichwa wakati unaomba mbona ni rahisi tu. tusijekua tutakosa mbingu hivihivi. sikuwa na kitambaa kwenye bag tu saa ya kuomba unakitoa unafunika kichwa then ukimaliza unakirudisha?
Hallelujah Mungu naomba mwisho mwema na familia yangu Amen
Barikiweni sana watumishi wa Mungu..tuko nafursa kusikia haya Eeh Bwana tuezeshe kushinda hila za shetani katika jina lako kuu..
Nimerejeshewa kwa jina la yesu
Amen Mungu Atusaidiye sana kwa ihi safari ya kwenda Mbinguni
Na Mungu Awabariki Sana
Ameneeeee mubarikiwe nahitaji namba ya nabi aston 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Unajua kifaransa ama Lingala? Utaongea naye kwa lugha gani?
HALLELUYA!
Amen mungu akubarki san mtumishi
Mimi ni dereva nafuatilia mahubiri Mungu awabariki nyote
Mungu atusaidiye sana sisi wanawake maana dunia inatubeba lakini tunajua yakuacha dunia mwende Mbinguni
Pastor Langi jambo pastor Adam mbaya jambo😊😅😅😊😊😮😮😢🎉🎉😂❤❤ 😊
Na Mungu awabariki sana😅😅
❤
ASANTE SANA YESU KRISTO KWA SIRI HIZI ADIMU SANA. UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU ASTON KWA KUJITOA KWA BWANA KUMTUMIKIA ILI KANISA LA MUNGU LIPONE.
JAMBO SANA😅❤🎉😢😊😮
Yesu Christo waNazareth 😅😅😅
Arusha sehemu gani jamani
Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza
Amina Amina Sana watumishi wa Mungu ubarikiwe
Ee Bwana Yesu tunaomba neema yako bila wewe atuwezi
Waa haki aliteseka kweli Kwa hivyo huu ndio uasilia wayatakayo tupata tukitoka inje ya mwili inatisha kweli
Ni Arusha sehemu Gani?
Amina Amina Sana
Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza
No Arusha sehemu gani!!??😅😂
Kwani ukifunika kichwa wakati woote,utakuwaje?,shida yawanawake nikutafuta kuonekana kwawatu wengine,nywele zamwanamke hazipaswi kuonekana na mtu mwingine isipokuwa mume wake tu,umbo lako linapaswa kumvutia mume wako tu,ukiwavutia watu wengine nidhambi,wanaume nirahisi kuingia mbinguni kuliko mwanamke, wanaume wavae kwakujistiri wanawake tuenende uchi hadi kanisani!!!,ningekuwa mchungaji,ningelitengeneza kanisa langu,ningehakikisha hakuna mvaa uchi,wala mvaa mawigi namaurembo,
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Kwahiyo tunapaswa kufunika kichwa muda wote? Au wakati wa ibada tu. Mungu tusaidie na joto kilemba. Lakini pia tukiamua kunyoa tu, ni sawa au ndio kunyoa na kufunika kichwa.
Wote
hii mambo ya kufunika kichwa wakati unaomba mbona ni rahisi tu. tusijekua tutakosa mbingu hivihivi. sikuwa na kitambaa kwenye bag tu saa ya kuomba unakitoa unafunika kichwa then ukimaliza unakirudisha?
Si wakati wa kuomba peke yake. Hata ukiimba. Yaani kwa muda wote ukiwa kanisani. Hukumsikiza vizuri.
Hakuna Sheila😅