Injili hii ni moto wa kuusafisha ukiristo ee bwana Yesu Asante kwa kumtuma mtumishi wako natubu Sana Sana Bwana Yesu nisamehe Dhambi zangu zote. kwa Damu yako ya thamani iliyomwagika kwa ajili yangu na kwa ajili ya ulimwengu mzima wataokuamini, kwa injili hii nimejipima nimeona nimepungua Sana nisamehe Bwana Yesu nianze maisha mapya ya kukupendeza ili furaha yako iwe ndani yangu. Naungana nawe katika maombi hayo ya toba wewe mtumishi wa Bwana
Imagine mtu unaskia mahubiri kama haya kisha unaendelea na mambo ya mapambo je unahuruma na nafsi? Mungu tuhurumie utupe miyoyo mikunjufu ya kufunguka kiroho 😢
Tunatokaje kwenye Hilo agano?, Nimewahi kuwa kwenye hiyo kesi yakufanya tendo landoa ndotoni ,nikiombewa sana lakini sikufunguliwa,nikafunga sana katika kufungua,Mungu alinifunulia kuhusu vipodozi na urembo,nikavichoma vyoote,hiyo Hali ikaisha Sasa nashangaa Leo nimeota ndoto,namtoa mtu mapepo,yakaniuliza unatutoaje wakati nawewe nimwenzetu???, Najiuliza Mimi nimwenzao kivipi?? Nisaidie mtumishi wa Mungu nifanyeje Ili nijiondoe kabisa huko??
Tendo la ndoa dia the only way utatoka nikujitenga na Tama, pili uwache kuona video za msisimko ya tendo la ndoa Cha tatu soma neno la BWANA YESU likujae sana pia maombi na mifungo, sabubu akuna njia ingine, ndio maana andiko inatusisitiza tuache Tama juu Iko na madhara aki Mimi ilikuwa inanipeleka mbio we ila Mungu anazidi kunitendea kila kitu ni uzoefu Zoe kuwacha tamaa utapona na kinywa chako kijae neno la BWANA I promise utakuwa na testimony, saa zingine unaeza ota umelala na mtu ukijua ni vibaya uanze kumkemea anageuka mnyama ya kutisha weee
Ndio kwasababu hizi position walianzisha ni waliiga si kwa wanadamu bali kwa wanyama na ndio maana ata majina yake yanamajina ya wanyama ...sasa unapozipractise ni unakua unamyama katika ulimwengu wa roho 🤧..!! Karibu usikilize Mafundisho ya mtume Hebron kisamo somo lina jina... NDOA NYINGI SASA ZIMEKUA SODOMA NA GOMORAH.. kaelezea vizuri sana ..hizi positions zilikuepo zama zile za zaman sodom zikafa sasa zimerudi tena kwenye zama zile zile ambazo ndio sasa ..Mungu atusaidie @usiache kusikiliza
Ahsante Kwa mafundisho mtumishi wa MUNGU,shukrani pia kwa Promover TV!!!
NEEMA YA BWANA WETU YESU KRISTO IWE PAMOJA NAMI! AMINA!!!
Amina asante sana pasta kwa neno hili MUNGU akubariki sana sana Kwa Neno na ujumbe huu
Injili hii ni moto wa kuusafisha ukiristo ee bwana Yesu Asante kwa kumtuma mtumishi wako natubu Sana Sana Bwana Yesu nisamehe Dhambi zangu zote. kwa Damu yako ya thamani iliyomwagika kwa ajili yangu na kwa ajili ya ulimwengu mzima wataokuamini, kwa injili hii nimejipima nimeona nimepungua Sana nisamehe Bwana Yesu nianze maisha mapya ya kukupendeza ili furaha yako iwe ndani yangu. Naungana nawe katika maombi hayo ya toba wewe mtumishi wa Bwana
Amen and Amen Asante sana kwa ujumbe mzuri,barikiweni Promover TV.
Saiz kanisa limeelewa kweli ya Mungu wanataka injiri ya utakaso dhambi isemwe ,hongera watumishi kwa kufundishia kweli
Amen
Jamani Hiyo Ni ngumu Saana Kwa Dunia Ya sasa ,Ngoja Tusubiri Tusikie Kama Wataomba Msamaha
Amen Amen Mungu awabariki sana
Amen mubarikiwe san watumishi wa mungu kwa mafundisho
Mungu hakubari sanatena sana
Amen Amen
Asante sana kwa Ujumbe
Mubalikiwe
Eeeh Mungu utusaidie
Najihuyumia sana
Type suruhu maji yasamwagika
Mbona ni mimi ndio nasemwa leo😢. Yote yanayosemwa nimeyafanya . Jinafaa kutubu sana
Bora utubu
Bwana yesu asifiwe sisi tunafanya kanzi kwenye kuangaliya watu wazima tunawabadilishiya couche Niwazee kabisa
Hapo Ni kazini Mungu anaijua Kazi Ya Mhudumu
Yesu nihurumie je kama uliona uchi wa ndugu yako unafanyaje?
Tubu tu
Imagine mtu unaskia mahubiri kama haya kisha unaendelea na mambo ya mapambo je unahuruma na nafsi? Mungu tuhurumie utupe miyoyo mikunjufu ya kufunguka kiroho 😢
Bado Moyo wake haujaamua kutubu
Tunatokaje kwenye Hilo agano?, Nimewahi kuwa kwenye hiyo kesi yakufanya tendo landoa ndotoni ,nikiombewa sana lakini sikufunguliwa,nikafunga sana katika kufungua,Mungu alinifunulia kuhusu vipodozi na urembo,nikavichoma vyoote,hiyo Hali ikaisha Sasa nashangaa Leo nimeota ndoto,namtoa mtu mapepo,yakaniuliza unatutoaje wakati nawewe nimwenzetu???, Najiuliza Mimi nimwenzao kivipi?? Nisaidie mtumishi wa Mungu nifanyeje Ili nijiondoe kabisa huko??
Tendo la ndoa dia the only way utatoka nikujitenga na Tama, pili uwache kuona video za msisimko ya tendo la ndoa Cha tatu soma neno la BWANA YESU likujae sana pia maombi na mifungo, sabubu akuna njia ingine, ndio maana andiko inatusisitiza tuache Tama juu Iko na madhara aki Mimi ilikuwa inanipeleka mbio we ila Mungu anazidi kunitendea kila kitu ni uzoefu Zoe kuwacha tamaa utapona na kinywa chako kijae neno la BWANA I promise utakuwa na testimony, saa zingine unaeza ota umelala na mtu ukijua ni vibaya uanze kumkemea anageuka mnyama ya kutisha weee
je sexual position ni dhambi?
MUNGU AMBARIKI SANA HUYU MTUMISHI WA MUNGU ! YAANI AMETUFUNDISHA MAFUNDIDHO YA KUTUOKOA NA KUZIMU,
ndiyo Tena saaan Tuu
Ndio kwasababu hizi position walianzisha ni waliiga si kwa wanadamu bali kwa wanyama na ndio maana ata majina yake yanamajina ya wanyama ...sasa unapozipractise ni unakua unamyama katika ulimwengu wa roho 🤧..!!
Karibu usikilize Mafundisho ya mtume Hebron kisamo somo lina jina... NDOA NYINGI SASA ZIMEKUA SODOMA NA GOMORAH.. kaelezea vizuri sana ..hizi positions zilikuepo zama zile za zaman sodom zikafa sasa zimerudi tena kwenye zama zile zile ambazo ndio sasa ..Mungu atusaidie
@usiache kusikiliza