Marioo - YANGA Tamu (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.7K

  • @nasskidy8196
    @nasskidy8196 2 ปีที่แล้ว +10

    wananchiiiiiiiii💚💚💚💛gonga like hapaa jmn twendeni trending number moja tuwakele makolooo ,....ukipenda makolo utazeeka

  • @samweliigengu4443
    @samweliigengu4443 2 ปีที่แล้ว +27

    Huyu ndo msaniiii tuliobakinae hapa TZ hambae siii kila nyimbo azungumzie mapenziiii hongera sana kaka asikwambie MTU yanga tamu ,,,timu ya wananchiiiiiii,,karbu sana jangwani 💚💛 sisi tuna watu na watu ndoo sisi 💚💛

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 2 ปีที่แล้ว

      Sababu kaiimba Yanga yako eeh?

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

      @@abduljembe6608 😆😆😆😆😆😆si ndo hapo sasa....!! Kuimba Vyura tamu ndo Kuwa msanii aliebaki eti

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza mbona hata Simba aliimba

  • @kinyanyaonline3658
    @kinyanyaonline3658 2 ปีที่แล้ว +45

    Timu naipenda hii mpaka wasipo funga huwa naumwa Allah awape mnacho taka from 🇰🇪🇸🇦

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +35

    🔥🔥🔥🔥
    MARIOO Vs YANGA TAMU
    Muko wapiii
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Al-Quraan-Al-Kareem
    @Al-Quraan-Al-Kareem 2 ปีที่แล้ว +152

    Wakenya amabao ni wananchi wa jangwani Tujuane hapa ..
    💚💚🇰🇪🇰🇪💚💚

    • @rizikladyherson8451
      @rizikladyherson8451 2 ปีที่แล้ว +5

      Nipo hapa naipenda yanga hatar🥰🥰💃

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 2 ปีที่แล้ว +1

      😂 amieni simba basi

    • @rizikladyherson8451
      @rizikladyherson8451 2 ปีที่แล้ว +3

      @@gracethomas683 😀😀😀wivu huo nanii twaipenda yangaa

    • @shedadiabdul654
      @shedadiabdul654 2 ปีที่แล้ว +3

      Yanga tamu 💛🧡💛💚🔰🔰🔰

    • @mohamedmape9341
      @mohamedmape9341 2 ปีที่แล้ว +2

      From migori Kenya mwananchi napenda Yanga ❤️

  • @mrpeterwainainanjoroge2684
    @mrpeterwainainanjoroge2684 2 ปีที่แล้ว +15

    Hapa Nchini Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 huu wimbo wa Yanga Tamu unatesa kutesa.... Yanga yangu naipenda... mpira na jersey...🎼🎼🎶🎶🎵

    • @sirdc613
      @sirdc613 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni mpira na GSM

    • @sirdc613
      @sirdc613 2 ปีที่แล้ว +1

      🔰🔥

  • @joycejoseph7996
    @joycejoseph7996 2 ปีที่แล้ว +104

    Wimbo mzuri sana Asante Kwa kuipatia Yanga SC heshima ya wimbo mzuri 💛💚🔥🔥🔥🔥

    • @azizimaulidi7620
      @azizimaulidi7620 2 ปีที่แล้ว +1

      Why not yanga..but hata simba ni mtani pia all is all country peacefuly

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว +3

      Wote ni wananchi mpaka MO 29 ni mwananchi wa tanzania🤣🤣🤣kwahiyo wote niwananchi

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/k6Myiv7ZADzA0FmU92Y49g.html

    • @kiduchunae2393
      @kiduchunae2393 ปีที่แล้ว

      Wewe ni fan ja yanga ?

  • @samuelmwalupindi9589
    @samuelmwalupindi9589 2 ปีที่แล้ว +70

    love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 uganda...you guys made my day

  • @wisebgraphicsdesignerphoto5808
    @wisebgraphicsdesignerphoto5808 2 ปีที่แล้ว +59

    Am not Tanzania but this Club Yanga sc is amazing club.💥

  • @theaidanny753
    @theaidanny753 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyie na Ivi leo Tumechukua Kombe la Azam Uu wimbo ni unanoga😂😂💚💛💚💛

  • @imanikalolo9783
    @imanikalolo9783 2 ปีที่แล้ว +49

    Much love from Moscow congratulations Young African Fc and Super Mario 💛💛💛💚💚💚🇹🇿🇹🇿.

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 ปีที่แล้ว +7

    Kila yanga ikishinda lazima nirudi TH-cam kuuangalia huu wimbo😂😂 yanga tamu💚💛💚💛

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 2 ปีที่แล้ว +3

      Tuko wengi sana 😂.

    • @rmimy
      @rmimy 2 ปีที่แล้ว +2

      kweliii

  • @ramadhanjohn8862
    @ramadhanjohn8862 2 ปีที่แล้ว +38

    Sijawai kuisikia ngoma Kali kama hii duniani YANGA TAMU

  • @thomasorangi1072
    @thomasorangi1072 2 ปีที่แล้ว +2

    Maisha mafupi ukipenda makoro utazeeka, ukipenda timu mbovu utazeeka😆😆😆😆😆😆🤟🤟🤟🤟💥💥💥💥🥰🥰,,much luv yung king MARIO,,,,,,,much luv from naivasha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖💖💖

  • @mr.mhando6817
    @mr.mhando6817 2 ปีที่แล้ว +10

    Walichokifanya yanga na marioo hii ni kali sana kwanza inaongeza love kutoka kwa mashabiki na pia inaongeza saana mauzo ya jezi na pia kujaza zaidi katika mechi anazocheza yanga

  • @saleemmakombo6581
    @saleemmakombo6581 2 ปีที่แล้ว +25

    Yanga tamu Mia Mia from Kenya 🇰🇪

  • @adeltuschairman6155
    @adeltuschairman6155 2 ปีที่แล้ว +53

    Hii ni ngoma ya mwaka nakubariiiiii saana marioo💪💪💪💚💛💚💛

  • @juhudimaheka7446
    @juhudimaheka7446 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwà si mshabiki wàko lakn kwakuwa umeimba yanga tam kuanzia leo mm mshabiki wàko 💛💚

  • @asimwejoswamu9234
    @asimwejoswamu9234 2 ปีที่แล้ว +28

    Wimbo mtam sana huu jaman dah watajua hawajui hzo sio shda zetu mariooo asanteeeeeeeee💛💛💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 ปีที่แล้ว +3

    Nimeingia humu baada ya YANGA💛💚💛💚💛🔥🔥🔥 kutinga Fainali

  • @sir.lulenje4827
    @sir.lulenje4827 2 ปีที่แล้ว +29

    Mwanachi wa kwanza kuisikia YANGA TAMU kwa youtube

  • @antonytarimo1518
    @antonytarimo1518 2 ปีที่แล้ว +8

    No one can stop yanga au sio wana yanga wenzangu 🤣🤣🤣 acheni tuu nile bata maana makolo wanaenyekaaa kama umeiyelewa hyo ngoma gonga like

  • @rapperde
    @rapperde 2 ปีที่แล้ว +72

    Yanga tumuuuu tupia like kama unaitambua timu ya wananchi👍 nawakilisha nikiwa🇰🇪

  • @bahatipeter1930
    @bahatipeter1930 2 ปีที่แล้ว +26

    I love you yanga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 2 ปีที่แล้ว +82

    Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee daima mbele Nyuma mwiko💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚CONGRATULATIONS my BROTHER MARIOOOO💛💚💛💚💛💚💛💚

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว +1

      Ffy th-cam.com/video/0GD-qi6qzns/w-d-xo.html

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 2 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html to

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 2 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html to

    • @kassimuhassani7170
      @kassimuhassani7170 2 ปีที่แล้ว +1

      Oyooooh yanga tamu

    • @kassimuhassani7170
      @kassimuhassani7170 2 ปีที่แล้ว +1

      Karibu Sana marioo yanga uku ndo nyumbani 💚💛🇹🇿

  • @harunimanyama2362
    @harunimanyama2362 2 ปีที่แล้ว +75

    Najivunia kuwa shabiki wa Young African, huku kwetu ni raha sana. 💚💛💚💛💚💛

  • @peterdarlington6599
    @peterdarlington6599 2 ปีที่แล้ว +12

    💚💚💚💛💛😂😂😂 safi ngoma nimeikubali sana ....maisha mafupi ukipenda makolo utazeeka...ukipenda timu mbovu utazeeka

  • @nasskidy8196
    @nasskidy8196 2 ปีที่แล้ว +29

    wananchiiiii💚💚💚💛💛💛tuisikilize nyimbo yetu mpaka ifike trending no 1 tuitambulishe team yetuu 🕺🕺🕺yanga tamu

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza ♨️♨️♨️♨️♨️💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @Rukia Ali sanaaaa yanga tamu

  • @bnwebsolutions
    @bnwebsolutions 2 ปีที่แล้ว +148

    I love this,the way you support your own, is adorable.... well calculated music, video on top,, napenda Tanzania.... much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @dubabaxakatv2993
      @dubabaxakatv2993 2 ปีที่แล้ว +1

      Supporting Gormahia but why uhatarishe maisha kwa sababu ya rowdy fans to watch live matches

    • @aimecedrick4280
      @aimecedrick4280 2 ปีที่แล้ว

      @@dubabaxakatv2993 songbaby

    • @positivity_tz
      @positivity_tz 2 ปีที่แล้ว

      Thank you we love you too.

    • @alexlemenga1698
      @alexlemenga1698 ปีที่แล้ว

      I lol
      L ok
      Make I'm mku jimmy

  • @ukhtynaa1096
    @ukhtynaa1096 2 ปีที่แล้ว +16

    Goma letu wananchiiiii sisi tuna watuuu weuweeeeeeeeewwweeeeeww

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 2 ปีที่แล้ว +4

    Simba babalaoooooooo mario sina chakukuambia kwa sasa bado nakutafakari ila kutoka moyoni na wapongeza watani wangu yanga msimu huu mupo vizur , mungu ibariki simba mungu ibariki yanga , mungu abariki soka letu Tanzania likue zaidi

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 2 ปีที่แล้ว +27

    Yanga tamuuu Kama unataka vitu vitamin ungana na Manara na Mario na wengine wengi... Timu haijachukua kombe miaka minne lakini watu wanakuja wenyewe... Utamu wa Yanga hauelezeki.

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 2 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya kuiangalia interview uliyo hojiwa na miradAyo.... Ukasimulia ulivyo acha Shule sababu Hali ngumu kimaisha , na ukaanza kujifunza ufundi gereji... Mpaka ukafikia hatua ya kuanza kuimba. Kwa hiyo interview imenifanya ilivyo Isha ikabidi nianze kusikiliza nyimbo zako zote.. lakini nyimbo ya YANGA TAMU, BIA TAMU na ule wimbo wa MI ARMOR.... Umeua🇹🇿 hata Kama siyo mpenzi wa mziki, yeyote ATAKAYE sikiliza nyimbo zako lazima aseme you're the HOTTEST MAJOR STAR WA BONGO FLAVOR. YOU'RE THE SECOND AFTER DIAMOND

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 2 ปีที่แล้ว +26

    🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 i ❤️ u yanga forever in life

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว +4

    am yanga fun🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera watani wetu utopolo... Nyimbo nzuri. Na mwaka ujao nataka tuwe wote club bingwa,, ili tuwafundishe soka nchi zingine zinazotudharau Tanzania..

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 2 ปีที่แล้ว +1

      Point bro Hakika ss ni Wamoja ila utani ni jadi yetu Sawa Makolo😂😂😂🙌🏼

  • @issasalum8544
    @issasalum8544 2 ปีที่แล้ว +1

    Uuuuuuuuuwiiiiiiii..,,getoni kumenogaaaa......nawakera Majilaniiiii.

  • @kibetyegon6281
    @kibetyegon6281 2 ปีที่แล้ว +24

    Whoever controls this club is really a transformative leader

  • @othmanm-pesa9178
    @othmanm-pesa9178 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mlikua hamjaniambia kama Kuna ngoma Kali kama hii YANGA TAMU

  • @telejackson7189
    @telejackson7189 2 ปีที่แล้ว +18

    Marioo wewe hatari mmmh umenikosha🥳🥳

  • @yohanafanuely6679
    @yohanafanuely6679 2 ปีที่แล้ว +3

    Jmn sijawahi kupata like 100 naomben like zenu wapenda soka wote 👎

  • @jordanwynne05
    @jordanwynne05 2 ปีที่แล้ว +52

    Marioo is awesome 🅿️🎶💜🇿🇦🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shenazissa7490
    @shenazissa7490 2 ปีที่แล้ว +24

    Pamoja sana na rangi zetu za taifa 🇹🇿 💚💛🖤💙

  • @iammcqwory
    @iammcqwory 2 ปีที่แล้ว +9

    Wapi likes za Tawila la Yanga Kenyan Branch?

  • @kulwalucas8853
    @kulwalucas8853 2 ปีที่แล้ว +22

    We are together fans of yanga return of champions

  • @sam_de_vegs4670
    @sam_de_vegs4670 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii nyimbo imesimammisha shughul zangu zote yan💚💚💚💚💚💚💚💚 naisikiliza

  • @jeremayaClassicPhoto
    @jeremayaClassicPhoto 2 ปีที่แล้ว +2

    🥰🥰🥰hebu marioo chukuwa soda ya baridi hapo ntakuja kulipa...you deserve the best for yanga

  • @ibrahimathuman1869
    @ibrahimathuman1869 2 ปีที่แล้ว +3

    Yan kiukwer nime usikiliza huu wimbo kiukwer mpaka nimelia kwafulaha naipenda yanga jaman mmi marioo ananipa wakat mgum kuusikiliza huu wimbo

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 ปีที่แล้ว +7

    Naipenda yanga jamaniii uwiii Marioo wimbo mtam sanaa💚💚💚💛💛💛

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 2 ปีที่แล้ว +12

    Yaani hii yanga inaenda kuzizidi Real Madrid Bacelona Man city muda c mrefu.🔥🔥🔥💚💛💚💛💚💛🔰🔰🔰🇹🇿🇹🇿Yanga tamu💛💚

  • @AfricanMoran
    @AfricanMoran 2 ปีที่แล้ว +18

    I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a subscriber this motivates me and make me work tirelessly. God bless you for subscribing

  • @selemanmsafiri2504
    @selemanmsafiri2504 2 ปีที่แล้ว +116

    Am from Kenya 🇰🇪🇰🇪 but Yanga is really tamu

  • @block145mare3
    @block145mare3 2 ปีที่แล้ว +16

    Yanga tamuu...that's how we protect our futures 💥💥👽❤

  • @florianngumbi4741
    @florianngumbi4741 2 ปีที่แล้ว +41

    Young Africans 4ever🙌🙌

  • @husseinkatani3538
    @husseinkatani3538 ปีที่แล้ว +2

    Young Africa now is a big team in🇹🇷🇹🇷🇹🇷🇹🇷

  • @yvonnemelissa1869
    @yvonnemelissa1869 2 ปีที่แล้ว +79

    My love for this tz star is on another level

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Xxxx th-cam.com/video/0GD-qi6qzns/w-d-xo.html

  • @theaidanny753
    @theaidanny753 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie💚💛

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 ปีที่แล้ว +11

    Aiseee hiiii NYIMBO imenikoleaaaaa kama chumvi kwenye mboga aiseee Yanga taaaaaaaamuuuu

  • @mohamedmaliki698
    @mohamedmaliki698 2 ปีที่แล้ว +2

    Siku inakaribia pale wananchi watakapo likamata taji la NBC ,Tanzania Ina enda kulipuka kwa shangwe la wananchi ,# yanga tamu @Marioo,timu ya wananchi the return of champions

  • @25434
    @25434 2 ปีที่แล้ว +122

    Not a Tanzanian but much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
    Marioo umeua🎶

    • @bonifacemasele4139
      @bonifacemasele4139 2 ปีที่แล้ว +1

      hapo nimekwerewa sana marioo nimekubari mchana mwema

    • @bonifacemasele4139
      @bonifacemasele4139 2 ปีที่แล้ว +1

      mngu Skype wepes MARIOO💚💚💚💛💛💛💚💛💚💛💚💛💚💚💛

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Rd th-cam.com/video/0GD-qi6qzns/w-d-xo.html

    • @rizikladyherson8451
      @rizikladyherson8451 2 ปีที่แล้ว

      Me too love yanga

    • @barakalazaromollel6291
      @barakalazaromollel6291 2 ปีที่แล้ว

      @@bonifacemasele4139
      Saj9

  • @barazashirley158
    @barazashirley158 2 ปีที่แล้ว +1

    💚💚💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛we’re the citizens (wananchi wenye sensa yao)

  • @telejackson7189
    @telejackson7189 2 ปีที่แล้ว +10

    Dooh umetisha jamani🥰🥰🥰😘😘😘

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 2 ปีที่แล้ว +1

    Babaaa bataa tu nakula na mifupaa I love you so much yangaaaaaaaaaaaa ubingwa wetu tayari tena tunasubiria makombe mawili tunachukuaa yangaaaaa tamuuuuuuu

  • @mundetvchannel0
    @mundetvchannel0 2 ปีที่แล้ว +5

    Woooow wanayanga twende pamoja kwenye like

  • @mnyetikulwa4510
    @mnyetikulwa4510 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimegundua Kenya Ni Ndugu zetu kweli, yaan wanafatiliaga Sana Channel za Bongo,, Kongole watoto wa Uhuru🇰🇪🇰🇪+🇹🇿🙏🙏💪💪💪

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 2 ปีที่แล้ว +14

    Creativity iko juu 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👏

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 2 ปีที่แล้ว

    Kwani wana yanga ina maana hawafiki millioni. Hebu kujeni tufikishe hili dude a million views.

  • @hamadomary6684
    @hamadomary6684 2 ปีที่แล้ว +46

    hii nyimbo ungesubiria siku ya wananchi

  • @justinjoseph391
    @justinjoseph391 2 ปีที่แล้ว

    Yana yanga wamekosa sapoti wakaona kumnunua marioo wenda wakalejesha matumani ya kuchukua ubigwa Viongiz mnafany ivyo ili kuwapa Imani wananchi. Ila huk upande wa pili gari lip🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thewise-path
    @thewise-path 2 ปีที่แล้ว +20

    We are learning in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Eric Omondi asione hii 😂😂😂

  • @snyppahbosire
    @snyppahbosire 2 ปีที่แล้ว +15

    SNYPPAH BOSIRE from Kenya approved this,,,,,I love the energy of this guy,,,#MARIOOFOREVER

  • @belovedruwako5181
    @belovedruwako5181 2 ปีที่แล้ว +132

    I love the way Tanzania support their teams...Kenya need to learn from them...si huku n Man U, Chelsea , Arsenal...useless ..let's support our own talents..

    • @agnesakenga4337
      @agnesakenga4337 2 ปีที่แล้ว +2

      U killed me 😂😂😂😂😂😂😂

    • @marthacaspray9135
      @marthacaspray9135 2 ปีที่แล้ว +2

      True

    • @carswithbinlibo3257
      @carswithbinlibo3257 2 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂sasa kama minister wa sports kenya hasupport talent itakua sisi

    • @iamdonfelix
      @iamdonfelix 2 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ligi inachezwa weekdays,, tunaenda job ama stadii

    • @simplyyusra4621
      @simplyyusra4621 2 ปีที่แล้ว +1

      @@iamdonfelix 😂😂

  • @wazirimwandimila9614
    @wazirimwandimila9614 2 ปีที่แล้ว +20

    Love my club,, welcome marioo to the great club in Tanzania and east Africa 💛💛song of the year

    • @zenaiszawadi2114
      @zenaiszawadi2114 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania sihami kabisa hongera marioo

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 2 ปีที่แล้ว +25

    Mimi SIMBA Ila Huu Wimbo Ni Mtamu Sana!!!🔥🔥🔥

  • @yustinamartiny3224
    @yustinamartiny3224 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani mariooo we wakuiita Simba makolo duuh😭😭😭 wakati we Simba daam

  • @jacksonsabasaba5274
    @jacksonsabasaba5274 2 ปีที่แล้ว +14

    Nimekua shabik AKo kwa wimbo huuu nimeanza kua shabik ako

  • @jonathanndagano4180
    @jonathanndagano4180 2 ปีที่แล้ว +31

    ♥️ C’est une bonne chanson et surtout un bon clip... félicitation star marioo , continue toujours comme ça frère et courage

  • @barakamwakaje7857
    @barakamwakaje7857 2 ปีที่แล้ว +9

    BADII nakubar kwa Kaz ya wananchi yanga 🔥🔥🔥

  • @TheranceBakhresa
    @TheranceBakhresa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga tuna yipenda burundi 💕💕💕🇧🇮👉🇿🇲

  • @deograsiasnada8885
    @deograsiasnada8885 2 ปีที่แล้ว +11

    Go hard club above all..Go hard Yanga sc...am always green and yellow

  • @AslamARK7
    @AslamARK7 2 ปีที่แล้ว

    Dah natabasam moyon coz nipo ma makolo apa nikismile nionekane nitapigwaaa nitapigwa mm 👏👏👏 mariooo

  • @lamoniketv603
    @lamoniketv603 2 ปีที่แล้ว +96

    Yanga ya moto anayekubaliana nami apige like 🙂🔥🔥🔥

  • @sadicksuleyman9223
    @sadicksuleyman9223 2 ปีที่แล้ว +2

    Anajua uyu jamaa

  • @princepiusmutaihwa9606
    @princepiusmutaihwa9606 2 ปีที่แล้ว +7

    Ngoma kali timu kali, uongozi hatari. Hongera yanga

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila Uzi wa yanga mwaka huu mmetisha mko vzur Kila idara....Jezi Kali Sana!

  • @shabanmwinyi271
    @shabanmwinyi271 2 ปีที่แล้ว +16

    Wakenya muige kuzipenda na kuzipa promo team zenu kama sisi Yanga na Simba😇😇

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 2 ปีที่แล้ว +1

    Marioo Simba Day aliimba na hii nayo VP ,au yeye timu gan

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 ปีที่แล้ว +35

    I love yanga bure kutoka Kenya 🇰🇪 😍 yanga taaaaaamuuuuuu😂😂😂🥰😍

  • @didahrajab9322
    @didahrajab9322 2 ปีที่แล้ว +2

    Nani kamuona Mzee Mpili, santeee Marioo 🔥🔥Yanga tamu buanaaaa😋😋😋😋

  • @isakalushoke2880
    @isakalushoke2880 2 ปีที่แล้ว +8

    Woyoooooooo umeuwa Mzee 👏👏👏👏👏👏

  • @djdoubleetz
    @djdoubleetz 2 ปีที่แล้ว +2

    Makolo bana eti ooh marioo umezingua nafuta nyimbo zako ,futeni kwan aliwalazimisha mzisikilize 🤣eti unagawa mashabiki vp tundaman mbna sie huwa hatupaniki au yeye hagawi mashabiki, kwel nyani haoni kundule ,kufeni sasa ndo kashatoa nyimbo mbwa nyie muache kisokorokwinyo kila mtu c anakula kwake ,kwa upambanaji wake sasa mnampangiaje maisha ,mnaundugu nae,🙄🙄🤣🤣👌

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 2 ปีที่แล้ว +5

    Unyama mwingi marioo💛💚💚💚💚💚

  • @sophiatheone765
    @sophiatheone765 2 ปีที่แล้ว +1

    From 254 Hii ngoma n moto🔥🔥 Kama ulipenda Bia tamu basi hii huezi kosa kuskiliza big up Mariooo

  • @herbertjulius3300
    @herbertjulius3300 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakupend bure yanga yangu Mario keep it brother walio angalia ii nyimbo zaid ya Mara 2 a like apoo

  • @fredotieno3473
    @fredotieno3473 2 ปีที่แล้ว +105

    The passion from tanzanians is super on how they support their own teams the beats are 🔥🔥

    • @bakarhaj9214
      @bakarhaj9214 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo munaliwa au

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/k6Myiv7ZADzA0FmU92Y49g.html

    • @amoschibago4457
      @amoschibago4457 2 ปีที่แล้ว

      @@bakarhaj9214 .v

    • @swaumumhina8480
      @swaumumhina8480 ปีที่แล้ว

      @@bakarhaj9214plpppplkjjik😊😊😊😊plk

  • @Mosotishem
    @Mosotishem 2 ปีที่แล้ว +40

    Kenyans show love,,

  • @christershine5082
    @christershine5082 2 ปีที่แล้ว +1

    balaaa.Yanga Tamu🟢🟢🟢🟡🟡🟡🟢

  • @djsissekenya2321
    @djsissekenya2321 2 ปีที่แล้ว +6

    Yanga siku zote💥

  • @muxinkarabaki2688
    @muxinkarabaki2688 2 ปีที่แล้ว +1

    Ama HAKIKA Umejua kuwafurahisha wana YANGA.... HONGERA.💛💚