VILIO VYATAWALA SIKU YA KUTOLEWA ROHO - AFANDE HAMADI AGUSA NYOYO ZA WAZEE WA OLE PEMBA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @RonjoSalum
    @RonjoSalum 5 วันที่ผ่านมา +4

    Masha Allah jazakum Allah hair muungu akupe her dunia na kesho ahera

    • @saidmselem-d3k
      @saidmselem-d3k 4 วันที่ผ่านมา

      nanyamaza tunakusubir 2025 tuzione hizo aya za hukmu zamuuwaji utazisoma

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u วันที่ผ่านมา

    زادك الله من علمك

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 4 วันที่ผ่านมา

    Shukran sheikh mashaallah Allah akuraik. haki mpaka isimame inshaallah.

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 4 วันที่ผ่านมา

    مشاء الله تبرك الرحم Allah akuzidishie punzi na afya njema uzididi kukumbusha ukumbusho wa haki

  • @BarreHotel
    @BarreHotel 3 วันที่ผ่านมา

    Allah Akbar Ni wachache sana Askari kama wewe Allah Akujalie Kheri❤

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 วันที่ผ่านมา +2

    Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲 ingekuwa police wote wana hekima km hivi kungekuwa hakuna rushwa na wangefanya kazi kwa ajili ya Allah Tabbarak Rahman 🤲

  • @JumaKomba-ws4xb
    @JumaKomba-ws4xb 4 วันที่ผ่านมา

    Asante afande hamad bin alli,nakupata kutoka DRC KONGO mungu akulipe na utupe zaidi ya apo INSHA ALLAH

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah 😢😢duh viongozi wote wagelikua kmhivi rushwa,zulma za kupiga watu zigelipungua

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick วันที่ผ่านมา

    Mashalahaa Alha akuongoze salama inshallah wewe na family yako afande❤

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 4 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah afande ali isha Allah mwenyezimungu atupe mwisho mwema

  • @Pemba2024-v8n
    @Pemba2024-v8n 4 วันที่ผ่านมา +1

    Maashallah Allah akubarik wewe na sisi Duniani na akhera Je ? Yuko afande anaeweza kutoa Daawa kama hivyo bali anajiona kafika na kamandi nyingi na kiburi ila sio sahihi Dunia tu hii wewe ni kiongozi na kiongozi niwajibu wake huo

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 4 วันที่ผ่านมา

    Y'AALLAH Tujaalie Mwisho mwema Mashaalla ALLAH akujaalie Kher y Dunia n Akhera

  • @bahatiadam2790
    @bahatiadam2790 4 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Allah ukulinde na mahasidi shekh wetu

  • @AbrahmanAli-q4v
    @AbrahmanAli-q4v 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah Allah atujaalie mwisho mwema

  • @khadijasharifu9591
    @khadijasharifu9591 5 วันที่ผ่านมา +3

    Ya Allah tusamehe na atujalie tuwe waja wako weme inshaallah

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 5 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah may Allah protect forgive us all amin

  • @KhadijahOboli
    @KhadijahOboli 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Afande pongezi sana nmependa sana mawaidha

  • @SelmeIdi
    @SelmeIdi 4 วันที่ผ่านมา

    Jazaka lllwahu Khair ujumbe umefika

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe 4 วันที่ผ่านมา

    Mashallah allah akulindenashari zawalimwengu

  • @alliomar2568
    @alliomar2568 5 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe kheri najua unafuata nyayo za afand nyundo

  • @IbrahimMahmoud-em1np
    @IbrahimMahmoud-em1np 5 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah ujumbe mzito sana Allah akubaarik afande

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 5 วันที่ผ่านมา +1

    ‏جزاكم الله خير

  • @nassrasaggaf4003
    @nassrasaggaf4003 5 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Allah akuzidishie elemu Afande Hamadi(Diver)

  • @nassrasaggaf4003
    @nassrasaggaf4003 5 วันที่ผ่านมา +1

    Umefikisha ujumbe Alhamdulilah

  • @AdinaJuma
    @AdinaJuma 5 วันที่ผ่านมา

    Jazacka Allah kheri allhamdulillaa

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 5 วันที่ผ่านมา

    Subhanaalha😢mungu tiongeze yarabi

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @ZubidaAlmasoudi
    @ZubidaAlmasoudi 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ya Allah tusamehe 😭😭😭

  • @arebdyjorginho8154
    @arebdyjorginho8154 5 วันที่ผ่านมา

    Mashllh ujumbe umefika

  • @mohammedabdi724
    @mohammedabdi724 5 วันที่ผ่านมา

    ma sha ALLAH

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 วันที่ผ่านมา +1

    Subhana Allah 😭😭 Al-Malik Quddus YAA ALLAH atusamehe makosa yetu Yarrab 🤲

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB 5 วันที่ผ่านมา

      ALLAHUMMA AMEEN WA JAZAKALLAHU KHAYRAN.

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 5 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Pemba2024-v8n
    @Pemba2024-v8n 4 วันที่ผ่านมา

    Hata Rais wetu kipenzi anatakiwa atupe Daawa

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 4 วันที่ผ่านมา

    Jitahidi usipige watu virungu,ukiwa kazini

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 วันที่ผ่านมา

    Ana kitu ila atakiwa kujirenew

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 4 วันที่ผ่านมา

    Nina imani siku ukiabiwa kapige watu mabomu hutokwenda

  • @HajjiVuai
    @HajjiVuai 3 วันที่ผ่านมา

    Tunatarajia uchaguzi ujao utakuwa Audi wa askari wezako wanapiga watu virungu na bunduki uje uwaendee kinyume wanapofanya vùrugu kwa imani yako iliyo ya kweli.

  • @ZubidaAlmasoudi
    @ZubidaAlmasoudi 5 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭

  • @Alisalum-w1z
    @Alisalum-w1z 5 วันที่ผ่านมา

    Shehe kweli wewe wapekee

  • @BabySheni
    @BabySheni 4 วันที่ผ่านมา

    Kamanda una wake wangapi

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂unahitaji nafasi au nimecheka

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂unahitaji nafasi au nimecheka

    • @BabySheni
      @BabySheni 4 วันที่ผ่านมา

      @Fathasssane-vs2th hapana dini anaijua vizuri sana wengine wajaze 3 ningekuwa msichana ningemuomba nafasi

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe 4 วันที่ผ่านมา

    Mashallah allah akulindenashari zawalimwengu