Hayo yaliyoliwa na madumadu, tuntu na parare yalejeshwe kwa ajili ya ufalme wa Mungu, na yeye aliye mwenye kazi awape kuikamilisha, awape hatua nyingine ya sifa, nawaombea neema ya kumwabudu Mungu kwa Roho na kweli . Amen
Thank you JESUS FOR RESTORATION. I receive my portion as I cross over to 2025 in JESUS NAME. Powerful song. Thank you Kijitonyama KKKT Choir. Keep up the good works✈️
Asante Yesu maana kwa hakika Tutarejeshewa🙏🙏🙏🙏🙏
Hayo yaliyoliwa na madumadu, tuntu na parare yalejeshwe kwa ajili ya ufalme wa Mungu, na yeye aliye mwenye kazi awape kuikamilisha, awape hatua nyingine ya sifa, nawaombea neema ya kumwabudu Mungu kwa Roho na kweli . Amen
Hili ni ombi langu kuu kwa mwaka 2025 kwa kila mmoja Mungu akamrejeshe kila kitu kilichoibiwa maishani mwake
Mbarikiwe na bwana wetu yesu kristo
❤❤I believe that this is my season for restoration
Ni Ombi langu Bwana unirejeshee kiu ya kukupenda wewe kukutumikia wewe unirejeshee Kwa jina la yesu
Mungu ni muaminifu atarejesha kila matamanio yetu 2025.Sema Amina
2025 Mungu nirejeshee kila kilichopotea🙏🙏
Uukufu kwa Mungu juu. Bwana Mungu akarejeshe kila kilichoibiwa na mwovu kwa kila atakayesikiliza wimbo huu.
Tunasubiriiiiii
Tunasubiri🎉🎉🎉
Ameeen❤❤❤❤
Thank you JESUS FOR RESTORATION. I receive my portion as I cross over to 2025 in JESUS NAME.
Powerful song. Thank you Kijitonyama KKKT Choir. Keep up the good works✈️
We're waiting for that surprise
Next year nimwaka wa kurejeshewa vilivyo potea
Wimbo mzuri huu, nimeupenda
tupo kusubiri
Ni ombi langu
#virejeshwe
Hakika hili ni Ombi langu ninapouanza mwaka 2025 vyote virejeshwe