MAJI YAANZA KUTOKA MRADI WA SAME,MWANGA ,KOROGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Kwa mara ya kwanza tangu kuanza ujenzi wa mradi mkubwa wa maji na wa kimkakati wa Same,Mwanga Korogwe hatimaye wataalamu kutoka Wizara ya Maji pamoja na Wahandisi wa mradi huo wamefanikisha uwashwaji wa pampu moja ya kusukuma maji na maji kuingia katika eneo la matibabu ya Maji.
    Hii ni hatua kubwa katika Historia ya sekta ya Maji kwa mradi mwingine mkubwa kuanza kuonesha matokeo Chanya ikiwa tayari unakaribia kukamilika baada ya kukamilisha hatua hizi za awali za majaribio ya usukumaji wa Maji kwenda kwa wananchi .

ความคิดเห็น •