MRITHI WA MAMA RWAKATARE HUYU HAPA, SIFA ZAKE ZAANIKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Subscribes: / kidanistars
    MAMA RWAKATARE KWA UFUPIMama Rwakatare alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto. Alikuwa ni mwanasiasa na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Viti Maalum huko Mvomero kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka 2015 na baadaye aliteuliwa na Rais wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete kuwa Mbunge wa viti maalumu. Mama Rwakatare aliyezaliwa Desemba 31, 1950, mwaka 1987 alianzisha mtandao wa Shule za St Mary kuanzia shule za awali, sekondari hadi vyuo.
    Alichangia mno kuinua sekta ya elimu nchini Tanzania. Mwaka 1995 alianzisha Makanisa ya Mlima wa Moto yenye makao yake makuu, Mikocheni B jijini ambayo yamekuwa na waumini wengi nchini Tanzania. Mwaka 2006 alianzisha Kituo Kikubwa cha Watoto Yatima kilichokuwa na uwezo wa kuwapokea na kuwalea watoto 700. Kituo hiki kinajulikana kwa jina la Bright Future.Akiwa na umri wa miaka 69, Mama Rwakatare alizikwa juzi Aprili 23, 2020 kwenye eneo la kanisa hilo Mikocheni B.
    Instagram: / kidanistars
    Facebook: / kidanistars
    Twitter: / kidanistars
    Subscribes: / kidanistars

ความคิดเห็น • 18

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli Mimi naomba niwaambie nionavyo; kanisa la mlima wa moto Ni huduma binafsi ya mtu , na kuwepo kwake kulitevemea sana mvuto binafsi wa mtu mwenyewe kwani hata wengi wa wafuasi wa kanisa hilo walikuwepo si kwa kufuata Yesu bali mtu huyo. Maana yake iko wazi kwamba mtu huyu anapokuwa ametwaliwa wafuasi hawa kuendelea kubaki hapo ni kitendawili.
    Anayejipanga kushika nafasi ya marehemu ajue staili za huduma alivyokuwa akiieñdesha; kwa mfano: marehemu alikuwa akiaminisha watu kufanikiwa katika vitambaa, mafuta ya upako nk; kuwapa watu misaada ya kimwili (kusaidia kiuchumi nk.
    Hivyo mtu usikimbilie kuwa mrithi wa marehemu kiharakaharaka tu! Jihoji kwanza. Unaweza kuta hata we mwenyewe upo pale kwa sababu ulifuata misaada ya mwilini tu wala si utumishi wa Mungu hasa.

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 ปีที่แล้ว

    KANISA limruhusu Yesu alichunge kanisa lake na wengine kuwa wanafunzi, kwa usalama dhidi ya mbwamwitu walio wengi sasa!

  • @saisidorcas8969
    @saisidorcas8969 4 ปีที่แล้ว

    rip

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว

    Yesu anawakwake atamweka.

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 4 ปีที่แล้ว

    Mume wa mke mmoja!!!

  • @mllungupeter9997
    @mllungupeter9997 4 ปีที่แล้ว

    Kombaanafaa kuvaakiatu cha mama katika kiri sto

  • @mllungupeter9997
    @mllungupeter9997 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawawezi wotekuwawazuriila lazimapuliiamue ndivyo maana Muñgu hakuwatuma
    Watoto wakewaitweyesuwoteilaalichaguammoojatu wotekuwawazuriila

  • @lucymadulu2198
    @lucymadulu2198 4 ปีที่แล้ว +1

    Wote wanafaa.roho mtakatifu atatuwezesha

  • @zawadianne278
    @zawadianne278 4 ปีที่แล้ว +1

    Noa yako wap

  • @mllungupeter9997
    @mllungupeter9997 4 ปีที่แล้ว

    Hatamalaikayukomikaelndiyekiongozi

  • @rachellaizer941
    @rachellaizer941 4 ปีที่แล้ว

    Mm ni mlutheri nipo arusha naona TH-cam napenda kumuangalia mama sana alale kwa amani. Hapo atakaeongoza ni mwanaume na wale watumishi wadada wanafiti sana kwenye madhabahu ya Maombi

    • @hosananzali7577
      @hosananzali7577 4 ปีที่แล้ว

      Wote wanafaa mungu atusaidie ila komba anasitahili

  • @generallebonanza6654
    @generallebonanza6654 4 ปีที่แล้ว

    Wore wazuri

  • @imanuellucas5685
    @imanuellucas5685 4 ปีที่แล้ว

    Uwongo mtupu

  • @saisidorcas8969
    @saisidorcas8969 4 ปีที่แล้ว

    rip