Hongera sana ndugu zangu Kwa kazi nzuri ya kuendelea kukuza kipaji hiki Cha kumchezea Mungu nyimbo za ingili.Mungu azidi kumwonekania hadi anga za juu.Sitawaacha nyumba viongozi wa wachezaji wa nyimbo hizo za injil.Baraka,Rose, George na David Heko Kwa kuwa walimu Bora katika hii tasnia.Pongezi Kwa kuwa kielelezo chema.Mungu awabariki
Amen , nawe pia ubarikiwe kwa kuwa mmoja wapo wa wale wanao wapa support kubwa sana hawa vijana wetu nasema tu mungu wa mbinguni akuzidishie mara dufuu
Hongera sana ndugu zangu 🔥🔥🔥🔥🔥

Ni kweli mungu Yuko mwema,,hatuezi nunua uhai,ni huruma za mungu,be blessed guys ❤❤
Thank you