#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akabidhi Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam.

ความคิดเห็น • 20

  • @angelinasimchimba705
    @angelinasimchimba705 4 ปีที่แล้ว +12

    Mzee pamoja na kwamba hujaniajiri ktk ualimu huu mwaka 5 lakn nakuunga mkono na miguu na moyo pia. ..you're so strong

    • @stephenpaul8679
      @stephenpaul8679 4 ปีที่แล้ว

      Angelina Simchimba vumilia tu omba mungu utafanikiwa

  • @anko_luufocus7454
    @anko_luufocus7454 4 ปีที่แล้ว +6

    This is President...Mungu akulinde Raisi wetu

  • @jmagomadimoso4667
    @jmagomadimoso4667 4 ปีที่แล้ว +1

    Hotuba ya mkuu wa majeshi ya ulinzi inathibitisha nidhamu ya jeshi letu. Inafurahisha sana kuona kiongozi anatambua michango ya wengine. Kwa hali hii jeshi letu litafanikiwa sana kwa kila shughuli itakayokabidhiwa. Big up Mh. Rais, ama kwa hakika maono yako yanathibitisha wewe ni kiongozi wetu Namba 1

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana rais wetu

  • @kimariogeofrey2798
    @kimariogeofrey2798 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri Greyson Msigwa....

  • @atikombogolo2356
    @atikombogolo2356 4 ปีที่แล้ว +1

    Iwelwe sheria,,mtumishi akikaa hadi kufikia miaka 50 ahame akae mwingine itakua vizuri sana

  • @rachelissacmahenge1348
    @rachelissacmahenge1348 4 ปีที่แล้ว

    We are proud of you our president, we love you

  • @godblessnzalika6116
    @godblessnzalika6116 4 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @theodemilkalumuna4199
    @theodemilkalumuna4199 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiii

  • @atikombogolo2356
    @atikombogolo2356 4 ปีที่แล้ว +2

    Waziri yupo halafu tunaambiwa haonekani hapa jamani jamani kama wewe unafanyaje sasa🤣🤣🤣😂😂😂

    • @omarimasanga
      @omarimasanga 4 ปีที่แล้ว

      Mi mwenyewe nimebaki nashangaa tu..... Ila nadhani alikusudia naibu waziri

  • @mwl.emmanuelfungo-hurumini2644
    @mwl.emmanuelfungo-hurumini2644 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh. Raisi ukitoa amri tuu kila gereza mkoa waweke mpango na wajenge nyumba nadhani watatekeleza tuu maana wana subiri amri

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee tu kumbariki huyu rais aisee 🙏🏾 mambo anayofanya kwenye hii nchi wenye akili timamu tunayaona.

  • @markjason2035
    @markjason2035 4 ปีที่แล้ว +1

    😊

  • @jafarym77
    @jafarym77 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkote Ngoma!

  • @orestawilson7912
    @orestawilson7912 4 ปีที่แล้ว

    Sema baba sema

  • @handytznewsbacho4753
    @handytznewsbacho4753 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani kajiuzilu

    • @hurumavictoria6326
      @hurumavictoria6326 4 ปีที่แล้ว

      Nakusifiwa kote hajamsamehe jamn hahahaha hii kali kweli

  • @ayubumoshy9739
    @ayubumoshy9739 4 ปีที่แล้ว

    Lugola kusifia koootee Mangufuli hajalii kakug'oa hataki kupokea sifa za kinafiki,nikutumbua tu