TUTAELEWANA TU TARATIBU. UTATU MTAKATIFU NI UPAGANI NIMEFUNDISHA SANA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2024
  • Video from Nabil Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 18

  • @amosngolo2023
    @amosngolo2023 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kabsa brother tutaelewana tu, Mungu n mmoja tu ambae alijitengenezea mwili wa mwanadamu nae n kristo na ndan yake alikaa yeye kama Baba

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpiga mvinyo kaongea 😂😂😂maono aliyopata baada ya kigonga mvinyo

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 2 หลายเดือนก่อน +3

    Awepo MUNGU mmoja, wawepo miungu wa 3, sisi tunachojua, huwezi kufika mbinguni bila kupitia njia ya kweli na uzima, nae ndie YESU kristo.

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ni NJIA SIO DESTINATION.
      SASA IWEJE UOMBE NJIA.

    • @user-ey6ip5lf4p
      @user-ey6ip5lf4p 2 หลายเดือนก่อน

      Acheni kupotosha ukweli elezeni watu vizuri ni kweli Mungu mmoja na hizo ni nafsi yaani Roho kama alivyo Mungu ni Roho, mwana ambaye yuko milele Kristo ni Roho lakini Yesu ni matokeo ya Kristo ambaye ni mwili na Roho Mtakatifu ni Roho. Hivyo Mungu ni moja na huyo ni Roho Kwa nafsi hizo na sio huo upotovu wenu.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 2 หลายเดือนก่อน

      @@nabiiilyaaseliya2551 Ndio, tunapaswa kuiomba hiyo njia, Yohana 14;13-14. Na tunapaswa kuifuata, ili tufike peponi, Yohana 14;6 Utaona hapo alivotudhihirishia, kua yeye ndie njia ya kweli, Mtu,,,, heeee, Mtu,! Yaani mtu yeyote, yaani kuanzia adamu pamoja na mtume wako muhamadi, hamtafika mbinguni, hadi mumkubali YESU kristo kua yeye ndie njia ya kutupeleka peponi. Kwahiyo ustadh, unaposwali msikitini! Unapaswa uswali kwa jina la YESU kristo.

    • @NkunzimanaKevin-ck7lv
      @NkunzimanaKevin-ck7lv 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona Elijah na Henock wamepandishwa mbinguni kabla Yesu akuje duniani? Maana manabii wote waliofariki kabla ya yesu hakuna mwenye ataenda mbinguni kwa sababu hawakupata hiyo njia ndo ni Yesu😂

    • @willdomy1078
      @willdomy1078 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@NkunzimanaKevin-ck7lvkabla ya Yesu wanadamu walikuwa wanapatanishwa na Mungu Kwa njia ya kafara za damu ya wanyama. Lakini baada ya Yesu kuja hakuna tena kafara ya damu kwa sababu yeye ndiye kafara, alikufa Kwa ajili yetu. Maandiko yanasema pasipo kumwaga damu hapana ondoleo la dhambi Kwa sababu mshahara wa dhambi ni mauti.
      Hivyo katika zama hizi ukimkataa Yesu hakuna msamaha, na hakuna mbingu.

  • @evaristpaul582
    @evaristpaul582 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii Eliya naomba unijibu kupitia hivi vifungu juu ya hii posti yako (wafilipi 2:5-11) yohana (1:1-5,,,,,,,, surah 4:171,,,, huyu neno anayeongeolewa kwenye bible na quran ni yesu kristo naye ni Mungu,,,) na je tuje (yohana 10:30) ni mtume gani huyo au nabii gani amabye angeweza kudirika yeye na Mungu ni umoja " I and the father are one" ni nani huyo Jesus is indeed God

  • @ShemkandeShemkande
    @ShemkandeShemkande 2 หลายเดือนก่อน

    True 💓💓💓💓💓💓

  • @willdomy1078
    @willdomy1078 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee anazeeka vibaya, sema simshangai alikamatwa anakunywa pombe, akaanza kuzitetea

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu kristo Ni Mwana wa Mungu, huitwa Mungu kwamamlaka aliyonayo. (Juu na chini) Pia yeye ni Mungu kwa asili (nature). Mfano: -mtoto wa nyoka ni nyoka. -wambuzi ni mbuzi. -wamtu ni mtu. Sasa je? Mtoto wa Mungu ni ?

    • @user-ch8zc3bg9b
      @user-ch8zc3bg9b 2 หลายเดือนก่อน

      😂❤😂😂😂 umefafanua vizuri sana

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  2 หลายเดือนก่อน +4

      Basi hata wewe Mungu kwani Hata sisi ni Watoto wa Mungu.
      So kila Mkiristo ni Mungu

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb 2 หลายเดือนก่อน

      Mkuu kwani WWE hujui kuwa binadamu asili yake ni Mungu? Binadamu ni Mungu kwa asili ana uungu ndani yake na imeandikwa kwenye biblia ukitaka kujua zaidi nichek tuhojiane​@@nabiiilyaaseliya2551

    • @ngombegeorge3577
      @ngombegeorge3577 2 หลายเดือนก่อน

      kazi ipo. tumjue Mungu wa pekee na yesu Kristo aliyetumwa atukombowe

  • @barakajosephmwangalika2603
    @barakajosephmwangalika2603 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo pete aliyo vaa kuna usalama kweli?