MAFUNZO YA UJASIRIAMALI - Jinsi ya Kutambua Fursa za Biashara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Kutana na Mkufunzi wetu Erick Chrispin akielezea namna ya kuzitambua fursa za Kibiashara. Huu nu mfululizo wa mafunzo ya ujasiriamali kutoka Tanzania Bora initiative kupitia mradi wa serikali yangu.
    Ili kupata mafunzo zaidi download application ya Serikali Yangu kwenye Google Playstore.
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 18

  • @efrahimmahenge5305
    @efrahimmahenge5305 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee Mungu akupe miaka mingi baba uzidi kuwafunza weng zaid
    Me nmejfunza asantee sana

  • @ayubucheresi1054
    @ayubucheresi1054 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa somo

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalimu

  • @danidanieli2630
    @danidanieli2630 5 ปีที่แล้ว +5

    nimependa

  • @Blandine81
    @Blandine81 ปีที่แล้ว

    Merci beaucoup mon frère ❤️👌(Asante sana kakayangu )

  • @zuwenakhamis13
    @zuwenakhamis13 2 ปีที่แล้ว

    asante sana, Allah akubarik

  • @paulzmathayo4580
    @paulzmathayo4580 4 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @khalfanabdallah6511
    @khalfanabdallah6511 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sanaa

  • @melodytv740
    @melodytv740 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni aina gani za buashara zinahitaji mtaji mdogo

  • @ibrahimathumani1957
    @ibrahimathumani1957 10 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba namba yako Mtu wa Mungu uje utoe darasa sehemu

  • @SalmaAlly-c2z
    @SalmaAlly-c2z 14 วันที่ผ่านมา

    Kaka natamani uxharudi nisaidie namba ya sim

  • @theclambiki110
    @theclambiki110 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana mwalimu naomba namba yako uwe unaiweka hapo

  • @sharifarajabu7255
    @sharifarajabu7255 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukurn upo vinzuri sana

  • @user-ch4pm4vx5t
    @user-ch4pm4vx5t 11 หลายเดือนก่อน

    Kama na laki mbili naweza kufanya kitu gani chenye faida ya haraka..??

  • @josephkimaro6249
    @josephkimaro6249 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahia Sana elimu yako

    • @maimunarajabu3941
      @maimunarajabu3941 4 ปีที่แล้ว

      Shukran kaka

    • @johnmwakilema194
      @johnmwakilema194 3 ปีที่แล้ว

      Nimekubali sana kwa ufundishaji wako mungu azidi kukupa kalama zaidi