Yaani hii nafasi ya kuigiza aliyopewa anna hata kwenye maisha yake anaonekana yuko hivyoo😂😂maana nilishawahi kusikia kwenye kipindi cha salama na akisema alishawahi kubadili dini mara 2 kisa mapenzi tu yaani alitoka kwenye ukristo akaenda kwenye uislam halafu baadae tena akarudi kwenye ukristo
Yes It's good series Lakin Leah Kuna mambo anapaswa hayabadilishe ...Anna now days anakera kinouma , Finya upate climax ya hii series then njoo kivingine .. Leta new actors na wenye weredi please.
Ila mjomba wa diba chengaa😂😂aunty zay leo kasimamaa kama aunty🎉🎉na siku ambayo frank atajua kua chiku ndo shangaz ake pendo wa mchongo sijui itakuajeeee😂😂😂
Njoo Whatsap tukutumie filamu hii na nyingine, bonyeza hapa
wa.me/message/CGABVUK7C4SCN1
Amina❤❤❤❤
Diba anapitia kipindi kigumu san
Kama una amini mungu yuko pamoja nasisi usikuhu nasikizote mpaka milele weka like apa, sifa kwako mungu wetu❤❤🎉🎉🎉🙏🙏
Amiin yarrabi
Amina
Amina.
Sema kwa ukuu wa Mungu wetu, neno hili linatakiwa lianze kwa herufi kubwa
Amina
Amen
Kila anae angalia jua kali usiku huu MUNGU amlinde, ampe usingz mzuri ameeen🎉❤❤
Aamiiin
Ameen
🙏
Amiin Yarabii
Ameeeni be blessed to❤
Damu ya yesu itufunike ote tunaongalia tamthilia tuweze kuamka salama ameen
amen ❤
Ameen ubarkiwe sanaa
Eimen
Amen 🙏
Amen 🙏
Anti zai nmekupenda bure leo🌹
Aunt zai good nimekupenda bule mwambie Anna ni mupuuxi sana
Mjomba umepona kabisa na Yesu ni bwana
😂😂😂😂kapona kabisa na Yesu ni bwana🙌🙌
Namupendaa ntizai🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤anava vizuri anajieshimu amependeza🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤
Mama Diba uko vizr sana hongera unakipaji kikubwa san
Jua kali ni moto sanaaa jamaniiiiiii❤❤❤❤❤❤
Mjomba pokea maua yko❤❤❤ umetisha
Sanaaaaa❤❤❤❤
juma kuyakuza 🙌🙌
Hahaa😂😂😂😂😂😂 nimecheka walahi mjomba wa Diba umejuakunichekesha🙌🙌🙌🙌🙌
Nimecheka kwa sauti kweli huyu mjomba 😂😂😂😂
Shenzi kaputula 😅😅
Sasa jamni muwe mna like huy anna ni balaaa😁😁😁
Aminaaaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏❤
😂😂😂😂😂😂 mjomba nakupenda bure, myeeeka
Mpo vzr maana sio Kwa kutuchanganya huku🔥🔥🔥 best series jua kali🎉🎉
Yaan mkiona nikiwa na tabia Kama ya Anna, Kila mmoja aje na fimbo mnichalaze mpaka basi😮😮
All in all Ann's dress is cute
Ila nyumba ya professor ni mwendo wa mapenzi tuh kisha mapenzi yenyewe hayaeleweki kwa wote hayapo thabiti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sio mama sio watoto 😂😂
Sijui kwa nn matajiri wengi wanakua hvo😂😂😂😂
😂😂😂ni vibwek kwendraa mbeleeeee😂😂
Ana kushauri wengine yuko gudi
Ila kujishauri aaaaaaaahaaaaa
Hahahahahah mtu akiwa na Hela ni dada jamn juma we so wakumuita Anna dad😂😂😂
Binafsi suruali za Glory zinanipa kicheko 😂
Kama mfyatua tofari😂😂
Inaitwa pedo
😂
😂😂😂😂hadi namm nimecheka
Nitupajama afu tu don't touch 😅😅😅😅
Kamsalimie bibi ako 😆😆😆😆nimecheka km mwehu 🤣🤣🤣🙌
ana ameanza kunenepa tena aiseee alikua amependeza sana
Huyo mjomba diba inajua kuigiza sana
Jmnii jua kaliii Kweli lazidii wakaa....##annah amechangamkaaa 😢😢😮😮alooh midomo wazii
Adi Leo anti zai kavaa sura ya mama kais angekuwa ni mwanae angeritia mbao 😢😂😂😂😂
😂😂😂 meza ya TV IMEGEUKA KITI CHA CHICHII BAADA YA DIBA KUIVUNJAA😅😅
Mjomba sajo punguza ukali kwadiba🎉🎉ila.mnatupa laha😂😂😂😂
😂
Nakwambia mjomba wa moto 😂😂😂😂😂
@@HudhaimaYussufjamani kabutula la mama ana. Mm hoi😅😅😅😂😂😂
Mjomba kaponaaaaaaaaaaaaaaa
Mjomba shikamoooooo
Nikimuangalia ana namuona anaugonjwa mbaya saana 😅😅😅
Alhamudillah Namim Leo nimewahi 😂😂😂 Asante dj wetu ❤❤❤🎉🎉🎉
Mama diba anamuogopa diba akiwepo sikuzote uwa haongei ala diba akiondok tu kamdomo anakachongoa jmn hamjachunguz ilo lkn😂😂😂😂😂😂
Yani Anna aoni haya kwambiana eti am in love 😂😂😂😂 utapenda upende na mataila kama Diba kila mwanaume wee nae na kutulia aaaah😂😂😂😂😂
Yan khaaaaa😂
Anajini mahaba uyu dada😂😂
Hakika wazazi wanaona mbali sana
Ila ana anaukahaba ndan yake cy kwa umalaya huu km ata wew unaon ni kwel gong like 😅😅
Vyakulisi vinazizidi like mother like daughter
Mabebe zangu i'm here now❤😂
Wa kwanza like jamani
😂😂😂,wa kwanza ni yule anaeangaliaa kupitia DStv,🤓🤓🤓
😊Juma apo kwenye salamu from Devis
Ana anaona sana
Mm napenda dimpoz za mama ake diba zipo chini ya macho😂😂❤
Shenziiiii kabisa😂😂😂😂😂😂😂
🙏🙏🙏🙏
Yaani hii nafasi ya kuigiza aliyopewa anna hata kwenye maisha yake anaonekana yuko hivyoo😂😂maana nilishawahi kusikia kwenye kipindi cha salama na akisema alishawahi kubadili dini mara 2 kisa mapenzi tu yaani alitoka kwenye ukristo akaenda kwenye uislam halafu baadae tena akarudi kwenye ukristo
Ni kwel📌📌 alibadiri
Heee pole yake hiv kweli na hii ndoa yake mpya imevunjika
@@SittaMadua yaan ndio hvo hvo imekufa cjui
@@SittaMadua hii mpya sijajua bado
@@SittaMaduanyie kweli😮😮😮
Jamani mwajuma anajua kunifurahisha
Yes It's good series Lakin Leah Kuna mambo anapaswa hayabadilishe ...Anna now days anakera kinouma , Finya upate climax ya hii series then njoo kivingine .. Leta new actors na wenye weredi please.
Kwaiyo Eva sio mtu😂😂ila juma unanikosha sana
Mm mwenyew kanivunja mbavu
Amen❤❤❤❤
Mjomba naee
Hivi ana mzima kweli
Wale watu vijijini jmn wameishiaga wapi ? Au ndo ngombe wa maskini hazai😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Bado tupo mjini Kisha wote hata mmoja waonyeshi 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
Mjomba lusajo ananiuwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mshenz bukta
Anna chizi mapenzi apenda maboroowa kweli lkn mrembo
Hivi Eva anatoaje vyombo hayo makabati ya juu jikoni 😂😂😂😂😂😂
Ngazi mahi zipo😂😂😂
Vyombo vya juu bill ndo huwa anamtolea 😜😜
Vyombo vya juu bill ndo huwa anamtolea 😜😜
Vyombo vya juu bill ndo huwa anamtolea 😜😜
Vyombo vya juu bill ndo huwa anamtolea 😜😜
Wakwanza leo
Auntzai tumbo la uzazi limemshika😂😂😂
Dibaaaa kula chuma
Sini za Hanna kama mweu me mbaka zinanichefua kawa penda penda nirikuwa nàmpenda lkn namchukia japo move
Watu mpo active sana😂
Ameen❤ barikiwa
Anna anajifanya ana ushauri mzuri kwa fule kumbe Hana lolote
Ila aunt zai na madam ragina wana Migongo aisee .
❤❤❤naombeni like 😢😢
Like 1 tu
Mjombaaa 🔥
Dj maua yako maan wengne hatuwez kulala bla kuangalia jua kali😂😂😂
Ila mjomba wa diba chengaa😂😂aunty zay leo kasimamaa kama aunty🎉🎉na siku ambayo frank atajua kua chiku ndo shangaz ake pendo wa mchongo sijui itakuajeeee😂😂😂
Hahahahaha
Hahahha alikua chiku chiku vile eeeeeeee
Hhhhh eee na Mm nlkuwa nawaza apo apo kweny chiku nd shangazi pendo😂😂
Aise Ana anakera jamanii
anaitwa anna mapenzi
Anna aceni kutuzungu usha bana kama munapendana mutu ambiy eh siwaatuwaazima bana 😮
Huyu anna anapepo jamani sio bure khaa!!
Lusajo 🙌🏿🙌🏿🤗
Ila mapozi ya mama Diba😂😂😂
Aminaaaa
Aunty Zai nimekupenda
Wa kwanza leo
🙏🙏🙏
Yeye kupenda tu kutulia kwenye ndoa aaa aaaa
Naomba sk yoyote Diba atokee maeneo ya Kwa chiku amkute Davis na anna
Franck kidudu penzi kinamu uwa
Nice
Mjomba Ananipa raha
Mjomba lusajo eti shenzi kabutura😅😅😅😂😂
Nyie kumbe huku dj tayari kashaanchilia na hamsemi😮ni nimeduwaa kule huba nikimhurumia Jude😂😂😂
Mjomba na aunt zai🙌🙌
🤣🤣🤣🤣gweeee lusajo
Nimepona kabisa na yesu ni bwana
Shenzi kaptura myeeeeekaaa😂😂😂😂😂😂😂
Shikamoo mama mjomba habari za saiz kamsalimie bibi ako 😂😂😂😂😂Ila lusajo
Diba mwaka wako huu😂😂
Nimepona kabisa na Yesu ni Bwana 😂😂
Good
Mjomba lusajo kashasema House gelooooo na sio House girl gelooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂
Umetisha dj
Apa nilipo. Nakosa lakusema acha nipite zangu. Anna. Namuishiwa😮
Kingereza cha Juma mpk ahesabu vidole jmn😂😂😂😂
TUNAANGALIA JUA KALI TUKIWA OMAN TUJUANE ❤❤
Mimi hapo🎉
🎉❤❤
❤❤
Mama Anna hmm hizo nguo kama za hospitali jmn😅
😂😂😂😂
Kamsalimie bibi yako😂😂😂😂😂 lusajo bn😂
Mjomba heti diba n house girl😂😂😂😂😂😂
Anna kweli malaya mpaka anty zai leo kasema kiluga sijawahi kumsikiliza