MELISA EPISODE 7

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2024
  • JIUNGE NA GROUP LETU ILI UWE WA KWANZA KUPATA MOVIES NA SERIES ZETU KWA WAKATI 🙏
    👇
    chat.whatsapp....

ความคิดเห็น • 596

  • @hemedychande7956
    @hemedychande7956  11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +255

    kazi kwenu episode yanane itakua yamoto sana balaaa yajayo yanatishaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉KAZI HII INAENDELEA KILA BAADA YA SIKU TATU ILA MUKIWA WENGI TUTAKUA TUNATOA KILA SIKU HIVYO TUNAOMBA MUSHARE KILA SEHEMU ILI TUTOE KILA SIKU

    • @MananderManander-p8u
      @MananderManander-p8u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Hongera sana kaka kwa kazi nzuri much ❤ from🇰🇪

    • @memoterry
      @memoterry 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      😂twasubiri Sana mpenzi😊

    • @Bktozzy-ij5gw
      @Bktozzy-ij5gw 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ka moja moja unatubowa tuwekeee ha 2😂🎉🎉🎉❤❤❤

    • @IbrahimNzogela-t5k
      @IbrahimNzogela-t5k 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nakubari San bro kaz nzur❤❤❤💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥✔

    • @ZephaniahSekwa-fl2go
      @ZephaniahSekwa-fl2go 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Sawa sawa kaka ila ww na mzee wa tattoo mnajipendelea sana 😂😂😂 act zenu🙌🙌🙌🙌😂

  • @SalomeNkwabi-jy4nu
    @SalomeNkwabi-jy4nu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +55

    Movie nzur❤❤❤ sana ila chande mashabiki zako tunaomba uwe unatuwekea walau hata ep 2 wanaokubaliana na mimi tusonge kwa like ❤❤❤❤

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +56

    Mim nme furahishwa Na Melisa kumpenda chande wetu

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +58

    Yaani tangia nianze kuangalia hii sijawahi onà like ata moja

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤ Unataka Commention jamn ww angalia ukiona tamu basi wape hongera wanatoa mv kufundisha watu Basi ina tosha usipo papenda waambie pia ila kuomba comment jamn nani akupe

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Naikubaliiii Melissa ileee Mbayaaaa😂❤❤❤❤,,,,, hemedy chandeee tukoo pamojaaaa🎉🎉❤🎉🎉

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Sijawah kupewa like Leo nimewahi nipeni hata kumi tu😅😅

  • @ASSUMANIJOHN
    @ASSUMANIJOHN 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Kwakweli kali sana iyi mmepatia kabisa napenda sana melisa mjitaidi mnatowa hata mbili mbili kwa mkupuo kwakweli

  • @Shufaa-tn5yq
    @Shufaa-tn5yq 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Yaani leo ndo move tamu kabisaa 👌❤❤

  • @MarianNdunde
    @MarianNdunde 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +28

    Angalau Leo Melisa katuponeshea Mgonjwa wetu😂😂

    • @Zidan-q7j
      @Zidan-q7j 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aiseeee😂❤

    • @MarianNdunde
      @MarianNdunde 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@Zidan-q7j mwanzoni nilidhani Yule Rasta atampata Melisa Akiwa Bado anamuwaza 😂😂

    • @Zidan-q7j
      @Zidan-q7j 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@MarianNdunde weeeeh unachezea mapenzi wewe 😂😂😂😂

    • @ThreeWaysKidsJunction
      @ThreeWaysKidsJunction 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @ThreeWaysKidsJunction
      @ThreeWaysKidsJunction 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hi movie kali kinoma

  • @badria5771
    @badria5771 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Unafanya kazi vizuri movi zako zote nazifatilia upewe mauwa yako🎉🎉🎉

  • @JescaDzombo
    @JescaDzombo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Jamani msieka ivi vi tailer vinatuharibia mda wetu ama muongeze mda nani anakubaliana na mm😂😂😂

    • @Popriyankah
      @Popriyankah 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nishapata mwenzangu😂 Kaka @Hemedy Fanya intro kias uanze moviee hii introo ni ndefuu Inapunguza utam!🎉

    • @SaimonLazaro-d7i
      @SaimonLazaro-d7i ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wavitoe bhn

  • @BarakaTatan
    @BarakaTatan 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Hongera sana kwa kuhekima zako na busara kwa kuskiliza maoni ya wafuatiliaj wa hemedy channel movies na umeongeza kasi ya kutoa epsod kwa wakati,endelea kutumiminia mafuraha....

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Safariii hii Melisa Kaelewa ..ni wakatii wa kula matunda sasa❤

  • @wardaporojo5002
    @wardaporojo5002 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Hemedy chande nakukubali balaaa tupe vitu babaaa❤❤

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nakubali sana master movie 😂😊😂😊😂😊🎉😊😊😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤❤😊❤❤❤❤❤❤

  • @WapoHao
    @WapoHao ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Oya we nyumbani kwanza hapa muvi hipo good

  • @AishaabdallahabbasAyshaabdalla
    @AishaabdallahabbasAyshaabdalla 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hemedy movie zako ukiigiza na rahma mnaendana sana

  • @fredrickernestnyagwisi6486
    @fredrickernestnyagwisi6486 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nawaombea Mack na Melisa mwisho mwema wa hay mahusiano Yao isiwe kama bongo movie zingine😂😂

  • @TobiDaboJrAke
    @TobiDaboJrAke 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +51

    Kilsiku mimi wakwanza nipe zawadi bro wasiigusi kwa like nataka yako tu

    • @Msomal47
      @Msomal47 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nice

    • @Rosyshaz3937
      @Rosyshaz3937 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nimekupea hadi comment 😂😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Rosyshaz3937
    @Rosyshaz3937 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Melisa,i admire to be you🤦‍♀️🤦‍♀️😢😢with a polite heart

  • @Johnmuli-l6x
    @Johnmuli-l6x ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo Melisa kampenda kijanaa😂

  • @mdrashed3326
    @mdrashed3326 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Manshallah me njo nakua wakwanza ❤❤❤🔥🔥

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Mwisho wa siku melisa kautaka😂

    • @HamidCanho
      @HamidCanho 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hahahaah😂

    • @HamidCanho
      @HamidCanho 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Faa masiala nn ww melisa nae kiumbe 😂

    • @AsfSff-t8d
      @AsfSff-t8d ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Famchezoo😂😂😂

  • @AishaNasra
    @AishaNasra 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Haki naipenda hiii Melisa nataman daily iwe inaachiliwa enyewe hongereni kazi nzuri sanaaa aiseee❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @KIDNESS1178wwwwwUCLZH8JKL
    @KIDNESS1178wwwwwUCLZH8JKL 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Tim chande tusha mkamata melisa tayari

  • @SamouOman
    @SamouOman 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    jaman napenda sana hi move usichelewe kutoa mwendelezo 🌹🌹🌹🌹

  • @editherkinyunyu4253
    @editherkinyunyu4253 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    mnaendana sana ongereni san naona melisa ameanza kuonesha upendo kwa hemedy chand nawapend sana

  • @TatuMagubika-kz4nv
    @TatuMagubika-kz4nv 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Niliisubr sana mda wote naangalia you tube😂😂

  • @Nasma-pk4sd
    @Nasma-pk4sd 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Wa 1 nilikuw naisubiriiiiii muda wote niko utube

  • @MasauShida
    @MasauShida 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri sana Mr. Hemedy Chande🇹🇿🤛

  • @sasyjuma4221
    @sasyjuma4221 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Nimekua wa kwanza please naombeni like zangu ata 10 tu🎉

  • @viviankasena
    @viviankasena 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi sana hapa ndio umenifurahisha melisa kwa kumkubali Mackey ❤

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nawakubali Sana wote mloshiriki katika movie hii big up ❤❤ila mctucheleweshee sana jmn..

  • @ZawadiKaterine
    @ZawadiKaterine 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    JAMANI musi nisahau katika ufalme wa like

  • @Nasma-pk4sd
    @Nasma-pk4sd 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Woyoooooo nilikuwa naisubir jmniiiiiiii🎉🎉🎉

  • @PeterCosmas-ef6cc
    @PeterCosmas-ef6cc 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Ongezeni urefu wa vipande Waleed vifupi sanh

  • @khadijak-f7n
    @khadijak-f7n 31 นาทีที่ผ่านมา +1

    Ww hemedy utatuacha tunyoge gulf❤ story 😂😂

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hongera sana kwa kazi nzuri ila munachelewa sana🎉🎉🎉

    • @AliceMudandi
      @AliceMudandi 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kuweni waangalifu wakati munasoma comenty ya mwandishi

  • @memoterry
    @memoterry 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Karibu ashikwe Leo though hipo siku tu😢

    • @Moh...4
      @Moh...4 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      wallae😂

    • @memoterry
      @memoterry 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@Moh...4 😂😂mashemeji wanatisha

    • @Moh...4
      @Moh...4 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@memoterry Ndio watu walivyo😂

    • @LoiceKatana-ci1tx
      @LoiceKatana-ci1tx 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ya Arubaini haijafika ikifka ataumbuka😂😂

    • @memoterry
      @memoterry ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@LoiceKatana-ci1tx watatuambia vizuri shemeji kafanyaje😅

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wowo nimefrahi san mak kuwa na furaha kwajir ya. Melissa ❤

  • @badria5771
    @badria5771 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Naomba laik zangu leo nimewahi mtu wa kwanza kutoka tazania

  • @KijoliHassan
    @KijoliHassan 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tuko pamoja brother ❤❤ Kaz nzur

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi safi nawapenda nyote

  • @issa_Issa2005
    @issa_Issa2005 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    ILA HEMED UNAFAIDI HIZO ACTION😂😂

    • @FrankrobertMasujr.
      @FrankrobertMasujr. 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Daaaah😂😂😂

    • @Mungumwema-g9p
      @Mungumwema-g9p 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Afu hachaguagi pis mbovu mpuuzi huyu

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hii ngoma inavoenda naic Tony na shemeji ake wanaenda kufumwa😂😂

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jaman Da Reey nilipenda ilo jina la Reehema ata ilo la Melissa' sijui limetokea wap😂😂❤❤❤❤❤emedi na da Reey wangu moto wakuotea mbali 🎉🎉🎉

  • @DanielOlodupo
    @DanielOlodupo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ahsante Kwa muendelezo bro hemedy 🙏🙏

  • @SakinaHemedi
    @SakinaHemedi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yan Leo nimefrah sana kumuona mellisa ametabasamu na kumpenda mack wetu jmn nawapenda sana

  • @ShujiBoy-b7s
    @ShujiBoy-b7s 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu akubariki kwa kazi yako❤❤❤❤❤❤

  • @HamisiAbdalah-v8u
    @HamisiAbdalah-v8u 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yani kaka unajua sana unatisha kinoma nakukubali sana et 🎉🎉🎉

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli
    @AbdulrazaqueNfaumeAli 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gonga like kumi 2 za melisa kama shabiki kweli from Mozambique 🇲🇿🇲🇿 🎉🎉🎉🎉❤

  • @SheimaFrance
    @SheimaFrance 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Aweee nimewahi leo nipe like zangu jamenii

  • @JonChifuijii
    @JonChifuijii 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tamu sana kabisa, Angola 🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴 tunaendeleya!!

  • @AliAli-w9x6d
    @AliAli-w9x6d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤ nakubali sana hemed na gang yake mzim...yaan Tz hii wanafanya vizur sana kwenye action za Love and deep feeling❤❤......🎉🎉🎉 ..

  • @KingNamber
    @KingNamber 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wauuuu mellisa kamupnda kijana wetu chande

  • @VictaLupenza
    @VictaLupenza 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tony unavyomfanyia brother yako sio vizr daah

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mambo ni moto kaka hemedy na wifi ytu melisa mmependezana ndani ya mahaba moto moto jmn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @niyorHamiss-yv4rm
    @niyorHamiss-yv4rm 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    kabisa❤❤❤

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kazi ni ya 🔥🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @TeddyMkopi
    @TeddyMkopi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    me nimkumbk uhusia wa bibi sio kila mt alie olewa alimpenda skuhihiyo mme wake kumbe kunaupendo wa ketegeneza mt lida anaekujali ❤ nimbele ya safali

  • @MajezMusira
    @MajezMusira 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Napenda sana kufatila hii melisa

  • @rielbag
    @rielbag 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ongera sana na kazi. ni Riva toujours 🇨🇩🇨🇩

  • @Sevenvoicecomedytz
    @Sevenvoicecomedytz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Watatu jaman lake

  • @ClariceWanje
    @ClariceWanje 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great job big up nlisubiria qwa hamu hatimaye❤❤

  • @ElyseeNdayikengurukiye-i6z
    @ElyseeNdayikengurukiye-i6z 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wao very good melisa

  • @joeljoseph479
    @joeljoseph479 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Iwe inatoka kila siku itakua unyama sana

  • @AsminKache
    @AsminKache 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hadi natoka kufikiria sas ivi naipenda Sana hii ❤❤

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Antony Hujawah Acha mashemejiiii Bure Bure Lazima upite nao tuu😂😂😂 itakugharim

    • @NanaMilfath
      @NanaMilfath 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umalaya Tu kuoga aaaaaaaaah 😅

    • @SayuniKinabo
      @SayuniKinabo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @SayuniKinabo
      @SayuniKinabo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @NasoroHamis
    @NasoroHamis 34 นาทีที่ผ่านมา

    Kka noma San movie kali San now mtt katulia mwenyeww.

  • @TatuKalam
    @TatuKalam 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    𝑁𝐴 𝑀𝑀 𝑁𝐼𝑀𝐸𝑊𝐴𝐻𝐼 leo

    • @TatuKalam
      @TatuKalam 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      𝐿𝐾𝑁 𝑀𝐵𝑂𝑁𝐴 𝐾𝐼𝑀𝑂𝐽𝐴 𝑁𝐷𝑂 𝑁𝑁 𝑆𝐴𝑆𝐴 𝐴𝐴𝐴𝐴𝐴𝐻

  • @RAMAZANIDIEUDONNÉ-q5q
    @RAMAZANIDIEUDONNÉ-q5q 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi ni moto 💥💥💥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nikiwa Lubumbashi congo nawafwata big pu 💪👍👍

  • @Nusratsaidy2007
    @Nusratsaidy2007 52 นาทีที่ผ่านมา

    ❤❤❤angalau mgonjwa wa mapenz hemedy chande kapona🔥🔥🔥🔥

  • @LewisKanjima
    @LewisKanjima 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana nakukubali.

  • @ZanuraClara
    @ZanuraClara 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Kila mtu anasema wa kwanza yy😂

  • @TimothyWanjala-nq9zg
    @TimothyWanjala-nq9zg 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ok bro kazi nzuri

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka Hemed Hujawal feli katika kazi yk hongera

  • @Sunplazaduara
    @Sunplazaduara 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I appreciate❤❤ you ❤❤hemedy and Melissa ❤❤😂 kazi nzuri sana kaka

  • @SalehMbwana
    @SalehMbwana 2 นาทีที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ fanywen mutowe musikae san mnatubowa ivo ❤❤❤❤

  • @Evelyne-l4v
    @Evelyne-l4v 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Walio subiri kama mimi tujuawane kwa like 😅😅

  • @MariamuJuma-b8b
    @MariamuJuma-b8b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ya nane unatoa lin naisubir kwa hamu sanaa❤

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kukosa kuangalia melisa ni dhambi kubwa❤

  • @SuleymanSalim
    @SuleymanSalim 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    jamni hli n bonge la move tufnyie ziwe znatoka episode 2

  • @BINTmohammed-fu9gp
    @BINTmohammed-fu9gp 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    mahaba time ...iyo ndo I like

  • @gloryrutayega9165
    @gloryrutayega9165 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    wakwnz leo😂🎉

  • @JosinaMartinsErnesto
    @JosinaMartinsErnesto 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yeah tupo pamoja jamani si ndio? Naomba like for me na iyi story nzuli sana❤🎉

  • @aminarashid-x2o
    @aminarashid-x2o 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Piga kaz bro tunakukubali❤

  • @devtz9302
    @devtz9302 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sana broo noma sana🎉

  • @tato8979
    @tato8979 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Haya makiss yote haya mnajisikije tem strong 😂😂😂

    • @FurahaKulapha
      @FurahaKulapha 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 hatar kwel kwel

    • @Mona-ub7ed
      @Mona-ub7ed 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtakufa na upwilu team hammamu nawaambia.

    • @Qayler232
      @Qayler232 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwa kwel mm na hisia zangu hizi haziruhusu kabsaa katka hii movie😂😂😂

    • @MwanasaadaAsha-es6ov
      @MwanasaadaAsha-es6ov 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂noma sana

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongereni sana ❤️❤️

  • @Alfred-j9z
    @Alfred-j9z 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Umetisha

  • @AshraphAbdbast
    @AshraphAbdbast ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakukubali sana bro umekomaa San katka Sanaa

  • @AdamsonJoseph
    @AdamsonJoseph 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aki movie zako zinafunza kupenda ata kama umekua heart broken..... keep it up....❤❤❤❤❤

  • @rtrw708
    @rtrw708 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    J'ameni Mélissa Leo amekufurahish

  • @NiyubuntuAisha
    @NiyubuntuAisha 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi hapa ukitak niweke like mara miyabniko tayar kbx

  • @NatureMw155
    @NatureMw155 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chande mi bado nadai ako ka wimbo ka melisa please😢

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mim nimefuraishwa na melisa kukupenda hemedy

  • @ZubedaMbegu
    @ZubedaMbegu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jmn taratibun ngaz izo ohoooo! 😂😂

  • @sheheHassani
    @sheheHassani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Afadhali leo Melisa kaonyesha upendo

  • @hamiduselemani
    @hamiduselemani 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kudadadeki leo nimewai kinoma😅 like bas guys

  • @arimtekerdivalwamadush7517
    @arimtekerdivalwamadush7517 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Tattoo man anakunywa Dem wa bro yake deadly