Kitu ambacho hamkielewi ni kua huu mzigo anakwenda kubeba mwananchi wa kawaida na baada ya miaka miwili hali za wananchi zitakua mbaya sana kama nyinyi mnatizama matumbo yenu tu,uchumi wa hovyo huu
Iitishwe kikao cha port users wote na wataalam wa bandari kuzungumzia changamoto zilizopo. Sio leo clearing forwarders, kesho costal ship owners, keshokutwa shipping companies,mtondogo consolidators ete
Kwanini hilo la Tariffs hamkuliweka sawa mapema? Inaleta taswira kwamba hamkujali wala kuzingatia Hali halisi ya maisha ya Wazanzibari. Hamkuwa na Nia thabit ya kuwapa unafuu Wananchi. Mmefanya maamuzi kwa mazowea. Business as usual. Mnaleta fitna baina ya Muekezaji na Wananchi. Serikali haikutekeleza wajibu wake. Business as usual. Iwapo hakutokuwa na majibu ya kuridhisha..... Uongozi wa Bandari uwajibike ASAP
Kama hakuna mamlaka KAMILI. ZANZIBAR by by by. Nchi ilikuwa na barka Raha juu ya raha . .tangu NYERERE alivotumiwa na waengereza na makanisa . Waje kuwauwa wazanzibar 1964. .ati WARABU wanachukuwa watumwa. Kumbe ni kinyume chake. Kanisa linaimaliza ZANZIBAR Kidogo kidogo UCHAGUZI ujao ni MWISHO wa ZANZIBAR kama WAZANZIBAR hatujapa haki yetu
Ndo nini ndo wew tu unaetoa mizigo apo awo wenzako je ? Wacheni kupelekeshwa nyinyi walikuwepo watu si wasomi pesa ilikuwa inaingia sasa hivi wameletwa wavaa tai Urojo mtupu imewashinda Bandar kama banda maji kontena moja inashuka kwa cku aibu Ujuaji mwingi utendaji hamna
Kwani bandari hii si tuliambiwa mapato makusanyo katika kipindi kifupi kabisa yameongezeka kuliko hapo mwanzo au mmesahau Wadau? Lack of accountability. Lack of openess & transparency. Lack of good governance & poor corrupt Leadership. Lack of responsibility. Lack of strong free investigative media ndio chanzo cha yote haya. System ya Kifisadi tutavuna Ufisadi na si kingine
Duhhhhh Afrca tumalizana wenyewe kwa wenyewe maumivu kwa raiya wa chini nyinyi mnaishi maisha ya kifalme wizi mtupu hapa
❤ujenzi wa bwawa la nyerere
Mtihani Serikali haijali wananchi wake..
Maisha yanapanda Sana Huwezi kubinafsisha Nchi za kiafricha ni masikiniiiiii
Uyo mkuu wa Body kivuli tu anafata upepo ahadi nyingi hamna kitu ati mazoea wanafik nyinyi
Mm nataka muiuze haswa sina habar 😊😂 walafi wakubwa
Kitu ambacho hamkielewi ni kua huu mzigo anakwenda kubeba mwananchi wa kawaida na baada ya miaka miwili hali za wananchi zitakua mbaya sana kama nyinyi mnatizama matumbo yenu tu,uchumi wa hovyo huu
Asaiv mwendo wavibwengo ukion zanzibar pagumu ucngoj kuwajiv ila allah atahukum hapahap wallah ukiona mtu kaparalaiz kapooza au kapatamaradh yasotibika ujue yumo walayazid dhwalimina illa hasara namajin tutawapa iliwawe machiz ewemola towahukumu kwaatakae dhulumu theluthi naumchome moto ckuyakiama atakaenda sawa mbashiriepepo aaamin
Hapo kuna kampigo hakajaenda sawa
Kwahiyo nilikuwa munatinfisha kiberit
Iitishwe kikao cha port users wote na wataalam wa bandari kuzungumzia changamoto zilizopo. Sio leo clearing forwarders, kesho costal ship owners, keshokutwa shipping companies,mtondogo consolidators ete
Wakwepa kod kimeumana sasa
Good Zanzibar
Mahali matumbo yenu tuuuuu
Tulishazoe amiii nimeleta mzgo wangu ntolea, ivo ndio tunavotakiwa kufanya huo utaratibu ni mzuri tupe sawa kwa wote
Mm namini hakuna uwekezaji niwatu tu wanofanya kazi na husen mwinyi miaka 5 keshachuma
Yeye hana wasi uyo mkurugenz analipwa milion 20 mshahara wakati mbunge hachukui ati rafik yke
Akasema niuweeni niuweeni siondoki, maskini hana kauli
Uko kutawaliwa ss bado eya pot mkodish mmesahau
Na huko Zanzibar kuna Kanisa lilikuwa linanufaika? Tuacheni siasa na udini kwenye masuala ya maendeleo. Bila ubinafisishaji hatuwezi kutoka.
HUKO NI BAKWATA MPUNGA UMEISHA HAPA TEC WANABWEKA USIKU NA MCHANA 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Ipo na utaratibubule ule WA kulazimisha waingize vitu bure
@thobiasbukali9008. Bila ya Kanisa Muungano usingekuwepo
Absolutely right
With privatization zanzibar can't get success
Kwa nn ayoo musiyaongee, mwanzo kwenye vikao vyenu
Kwanini hilo la Tariffs hamkuliweka sawa mapema? Inaleta taswira kwamba hamkujali wala kuzingatia Hali halisi ya maisha ya Wazanzibari. Hamkuwa na Nia thabit ya kuwapa unafuu Wananchi. Mmefanya maamuzi kwa mazowea. Business as usual. Mnaleta fitna baina ya Muekezaji na Wananchi. Serikali haikutekeleza wajibu wake. Business as usual. Iwapo hakutokuwa na majibu ya kuridhisha.....
Uongozi wa Bandari uwajibike ASAP
Kama hakuna mamlaka KAMILI. ZANZIBAR by by by. Nchi ilikuwa na barka
Raha juu ya raha . .tangu NYERERE alivotumiwa na waengereza na makanisa . Waje kuwauwa wazanzibar 1964. .ati WARABU wanachukuwa watumwa. Kumbe ni kinyume chake. Kanisa linaimaliza ZANZIBAR Kidogo kidogo UCHAGUZI ujao ni MWISHO wa ZANZIBAR kama
WAZANZIBAR hatujapa haki yetu
Ndo nini ndo wew tu unaetoa mizigo apo awo wenzako je ? Wacheni kupelekeshwa nyinyi walikuwepo watu si wasomi pesa ilikuwa inaingia sasa hivi wameletwa wavaa tai Urojo mtupu imewashinda Bandar kama banda maji kontena moja inashuka kwa cku aibu Ujuaji mwingi utendaji hamna
Kwishaaaaaaaaaaaaa zimebaki story tu kama gar ya Mwanyanya Iuzeni ndo mushafeli uwo ndo ukweli
Yajayo nema tupu yajayo yanafurahisha uchumi wa bluu tunakwenda kwa mazoea tu
This problem zanzibar will face food crisis many products will not come at zanzibar port zanzibar citizens will pay high price for this
Kwani bandari hii si tuliambiwa mapato makusanyo katika kipindi kifupi kabisa yameongezeka kuliko hapo mwanzo au mmesahau Wadau?
Lack of accountability. Lack of openess & transparency. Lack of good governance & poor corrupt Leadership. Lack of responsibility. Lack of strong free investigative media ndio chanzo cha yote haya. System ya Kifisadi tutavuna Ufisadi na si kingine