Oh! Lord my God have mercy on us. It is hard to bare this. But you still God and we can worship no one but you our creater. We love you and glorify your name. For your the way the truth and the life.
Amina mtumishi, Nakupa pole pia, Ila nikusihi umtafute Mtumishi wa Mungu Mwakasege, pana neema ya Mungu iliyopo juu yake kwa ajili ya kukuvusha mahali unapopitia, Mungu akubariki (Amen)
Wimbo umenitoa machozi, hili lidunia inafika hatua sioni thamani yake tena kw mweli, heri wateswao kwa ajili ya jina la Yesu, baba yangu mbarikiwa taji yako imeandaliwa, kizaz ulichotengeneza kwa msaada wa Bwana hakitanyamanza, walimuua stephano wakajua wamemaliza kazi, kumbe ndo kwanza kazi ya Bwana iliendelea kwa kasi kubwa.. Baba yangu mbarikiwa Mungu akutie nguvu aminaaa
Pole sana mtumish kwa meng yanayokukuta ila tunaimani mung atakutetea ck zote mti wenye matunda huwa unapondwa kikumbwa maombi ili kuwashinda hao mafisad
Pole Sana baba mwakipesile pamoja na jopo lako la kikosi kazi haha yote ni mipango ya Mungu vumilia mpaka mwisho jifunze kwa mitume walio tutangulia Amina
BWANA hakunyamaza, hapo ndipo anapotenda. Kwani mnadhani alipowaahidi wale waliochinjwa kwamba wapumzike kwanza mpaka idadi ya wenzao watakaochinjwa kama wao itakapokamilika, alikuwa anasema akina nani? Wengine watakaochinjwa kwa ajili ya jina la Yesu watakuwa kutoka katika wakati wetu huu, na hao Neno ndio lililowapa baraka kuu sana Math5:12. Acha wapuuzi wanang'ang'ana kuita pesa ndiyo baraka. Ninyi ndio mliobarikiwa. Namwomba Mungu nami anioe ujasiri wa kulinena Neno lake kwa ukweli, ujasiri na haki, ikibidi nifuatie mimi hata kufia kokote kwa ajili ya jina la Yesu, na injili ya kweli. Mungu ni mkuu.
Natamani ningekuwa MBEYA Nikafungwe pamoja na baba yangu,Maana nazani ningekuwa heli saaanaaaa kuwa miongoni mwao watakao ipamba historia ya Mbarikiwa Mwakipesire.kuliko kubaki ulaiyani nalandalanda,na kuzulula kama mbwa za vilabuni Huku nikisubiri mifupa ya wazungu.Lakini Ninaimani hata Huku niliko Nitasimamia na UTU NA HAKI kwa gharama yoyote haijarishi nitaishia wapi.Kuishi ni kristo kufa ni faida.Mungu Akutakungulie komandoo, JASUSI wa Mbinguni
Mwakipesile nampenda Mungu wako niMungu mkuu namwomba Mungu wako aliehai anitie ngivu Nani nisimame nisimuache mtumishi unatuinua wengine kupitiamateso unayopitia Mungu ajitete mwenyewe
Katika utumishi kuna changamoto lakini ushindi nirazima maana yupo ambae tumain letu msaada wetu mungu yupo upande wako mtumishi we nikamanda wa yesu utavuka usijali kumbuka habari za.Ayubu jitie nguvu hata kama mlima mkubwa kiasi gani mungu yupo anakuona yupo nawewe hapo barikiw mtashinda
MUNGU akutie nguvu mtumishi wa MUNGU binafsi umenifundisha mengi sana, japo nimejifunzia mtandaoni lakini mambo mengi nimeona yakifanikiwa maishani mwangu, tunakuelewa sana. Kuliko haya matapeli mitume na manabii.
Mzee mimi nitasimama na wewe. Ni kweli wanaweza kunizima kwa njia yoyote ile lakini nasimama na wewe mzee wangu. Tusipoonana katika maisha haya, tuonane bandarini kule. Kama haki haitasimama, ni heri kuondoka katika dunia hii kishujaa.
Kweliiiiii Mungu sisi tu watu wako, hata ukinyamaza sisi hatutaacha kusema tulivyotakiwa kusema,faida ya maisha haipo kwenye kuishi miaka mingi bali kutenda mema mengi,tenda mema tu baba hata kama njia haionekani
Mtumishi na jua Hali unayo ipitia kiroho ningumu sana sana ila Kwa sababu MUNGU yuko katikati yako najua utashinda tu hutakufa bali utaishi simama na MUNGU isitishwe Wala kurudi nyuma yupo YESU KRISTO atakutetea tu
Mimi nashindwa kujua Lisa la huyu baba Mungu Alie watetea akina Paulo na Sila asimame na wewe Yani nimeamini watu waliomshitaki yesu kwakufundisha neno la Mungu hata Leo wapo ndio waliomshitaki huyu mchngaji
Kosa Kwa Mwenyezi Mungu ni kutenda dhambi. Kosa Kwa serikali zetu za kidunia ni kutenda kinyume na taratibu walizojiwekea Kwa maslahi Yao nyingine ni makosana dhambi Kwa Mwenyezi Mungu . Eti wanaita uhalifu. Jipe moyo mpendwa hawajui watendalo...iwe heri Kwa watz
Yaani watumishi wa Mungu wamefikia hatua ya kuwapeleka watumishi wenzie mahakamani kwa kuambiwa ukweli suzani kama baba angekua hai haya yangetokea kabasi
Baba yangu Mbarikiwa, wingu la Bwana na lizidi kukufunika wewe ni shujaa na mtu wa thamani sana katika kizazi hiki, Mhukumu wa HAKI yupo na akutangulie.
tunawaombea kikosi kazi cha injili neema ya Mungu iko juu yenu nina hakika ushindi uko juu yenu na ole wake anaezuia jitihada hizi, ole ya Mungu iko juu yake, habakuki anasema ndoto hii ijapokawia ingoje lazima itimie wakati wa Bwana ukifika hakika ibilisi na wafuasi wake wataaibika
kutoka chato MUNGU yupo pamoja na watu wake jipeni moyo ktk tanuru ya moto gerezani MUNGU hakuwahi kumwacha mtuwake unzi wake upo pamoja na watu wa kikosi kazi msiwaze sana.
Ninacho amini MUNGU hatanyamaza, hatakama amenyamaza Kwa mda hata wakitimiza kisudi lao ovu, ninacho kiamini Kwa Mtumishi wake mwenye haki IPO siku atajibu tu. Na wote watajua MUNGU amejibu.
Unafwatilia sana mambo ya watu kwenye mitandao,ningekushauri hubiri neno la Mungu kama lilivyo la sivyo watakudhoofisha Yohana alijidai kuongea kila kitu mwisho walimla kichwa
Wewe hujashindwa, wao ndo wameshindwa.Dunia inasema kwamba umeshindwa, hapana hujashindwa.kumbuka wimbo ulio imba. (Wamemkataa) je? MUNGU amethibitisha kwamba wewe umeshindwa mazima au wanadamu?, au wewe? Vaa moyo wa MUNGU, umejenga juu ya mwamba serikali isikutikise, bali wewe uitikise serikali. Usipofanya hii kazi hakika utakwenda kule kubaya ulipoonyeshwa,(kuzimu) paulo aliambiwa olewake asipohubiri INJILI. Ni heri kufa kwa hayo kuliko kuacha. Baadae ukatupwa kuzimu. Usikiri kushindwa, bali ukiri kwamba nitapambananao mpaka MWISHO. KAMANDA
Ili wewe uwe na akili kwa sababu sasa inakuuma sana alivyo na akili na wewe ni chizi. Hatakuwa chizi tu, bali mtamuua kwa kuwa mnahisi NDIPO mtaramba asali kwa uhuru
Waislamu tushayapitia hayo mda mrefu tu nyinyi mlikua mnafurahia tu waislamu wamekamatwa wengine ndugu zetu wameuliwa wengine hawana miguu wakapewa kesi za ugaidi nyinyi mlikaa kimya kama hamjui kua serikali inawaonea bali mkashangilia huku mkisema waislamu ni magaid sasa zamu yenu kuimba kwa kupokezana
@@israelkisaila8401 Tatizo halikuwa usajili kwa mujibu wa maelezo yake tatizo Aliombwa kitu kidogo ili apewe usajili sasa akashindwa maana ni dhambi.na hapo ndipo wakaona wamhenyeshe mpaka leo.
Inatubidi turekodi movie nyingine ya masumbufu ya vita vya Kikosi kazi,kama Ile ya mlokole wa Kijijini ilivoonyesha uhalisia lakini na hii wenye Haki kunyimwa Haki ya kumwabudu Mungu.
Mtaokotwa mmoja baada ya mwingine msiposimama pamoja. Wenzetu waislamu kiongozi akishitakiwa waumini wote wanajaa mahakamani kusikiliza,kunwombea,kumsaporti kwa hali na Mali hata kumwekea mawakili bila kijali tofauti za madhehebu yao lakini sisi mmmh.
HAKIKA HAWA WATU WANATAKA TU KUKUHANGAISHA KWANI SIKUIZI KUABUDU NI DHAMBI?? MBONA HAWA WATU WANAPENDA KUKUSUMBUA HIVI??? MUNGU ANAWAONA NA ATAKUTETEA USIFE MOYO KAMANDA
MUNGU anawajua walio wke aliruhusu YUSUPH ateswe,hata mwana wake wa pekee YESU CHRISTO aliteswa sembuse ww Mbarikiwa acha wapigane nawe lkn MUNGU akiamua kushusha gharika ya adhabu yke je nan atasimama?acha MUNGU atapigana nao
Mbarikiwa nakuomb usome haya hii na uwafafanulie waumini wako 24:4-20 matayo Na someni Hamri ya nne kwa umakini Na 28:9 mithal Alafu uangalie msimamo wako je, Uliposimama uko na MUNGU Wakweli au lah!
Kwa uelewa wako ni sheria gani ambayo hatujaifuata hata maombi yawe chukizo? Kazi ya sheria ni kuonyesha kosa lilipofanyika au sheria zenu ZINAPAMBANA NA MTU AMBAYE ANAFANYA MEMA?
HAKIKA HAWA WATU WANATAKA TU KUKUHANGAISHA KWANI SIKUIZI KUABUDU NI DHAMBI?? MBONA HAWA WATU WANAPENDA KUKUSUMBUA HIVI??? MUNGU ANAWAONA NA ATAKUTETEA USIFE MOYO KAMANDA
Ee mungu wetu tuhurumie kwani binadamu tuna mambo mengi yasiyofaa mbele zako. Tunakukosea, tunakupa machukizo, kila kukicha kesi, ugomvi makanisani, misikitini duniani kote. Ooh huruma yako na ikutoke utuhurimie na kutusamehe.
Mungu akupe ushindi mtumishi tunakupenda Sana🙏🙏 Kila kilicho pangwa kiharibiwe kwa jina la yesu
Baba yangu mbarikiwa umemaliza kazi ya Mungu Mungu akubariki sana amen kikosi kazi cha injili juu sana ameeeeeeeeen
Kweli sisi tu watu wako Bwana. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu .
Mungu akutetee mpendwa japo kwa Hali ya kibinadam tunakata tamaa kwenye jaribu MUNGU akupe nguvu ya kushinda katka jina la YESU KRISTO
Oh! Lord my God have mercy on us. It is hard to bare this. But you still God and we can worship no one but you our creater. We love you and glorify your name. For your the way the truth and the life.
Amina mtumishi,
Nakupa pole pia,
Ila nikusihi umtafute Mtumishi wa Mungu Mwakasege,
pana neema ya Mungu iliyopo juu yake kwa ajili ya kukuvusha mahali unapopitia,
Mungu akubariki (Amen)
Mwakasege!!! Huyo na neno la Mungu wapi na wapi. Huyo ana ajenda yake ya kukusanya kundi kubwa kwa maksudi yake anayoyajua Mwenyewe.
Pole sana Mwakipesile,shetan yupo kazin usiogope MUNGU wa mbinguni yupo pamoja nawe.
Wimbo umenitoa machozi, hili lidunia inafika hatua sioni thamani yake tena kw mweli, heri wateswao kwa ajili ya jina la Yesu, baba yangu mbarikiwa taji yako imeandaliwa, kizaz ulichotengeneza kwa msaada wa Bwana hakitanyamanza, walimuua stephano wakajua wamemaliza kazi, kumbe ndo kwanza kazi ya Bwana iliendelea kwa kasi kubwa.. Baba yangu mbarikiwa Mungu akutie nguvu aminaaa
Iyo mvua ni baraka tele. Munabarikiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Waoooo Mtumishi shaloom za uzima Bwana wa majeshi nimwema Akubarikiii sana BWANA akuiniwe akupiganiye SANA MBELE ya watesi wako
Pole sana mtumish kwa meng yanayokukuta ila tunaimani mung atakutetea ck zote mti wenye matunda huwa unapondwa kikumbwa maombi ili kuwashinda hao mafisad
Natamani sana nikufikie mtumish ila sina uwezo
Hiyo ndo sauti ya mtu aliaye NYIKANI. Haijawahi pungua wingu hata cku moja.Ahsante sana MUNGU wa Baba yangu Mbarikiwa Mwakipesile 🙏🙏🙏🙏
Pole Sana baba mwakipesile pamoja na jopo lako la kikosi kazi haha yote ni mipango ya Mungu vumilia mpaka mwisho jifunze kwa mitume walio tutangulia Amina
Bwana YESU KRISTO awatangulie mtumishi msivunjike moyo
Mungu akusaidie mtumishi wa Mungu hakika hatakuacha na hao wanao msumbua mtumishi wa Mungu hakika Mungu atawaonyesha kitu hapa Dunian
Mungu hajawahi shindwa hata siku moja " watashindana lakini hawatashinda ni muda tuu huchelewa kidogo
BWANA hakunyamaza, hapo ndipo anapotenda. Kwani mnadhani alipowaahidi wale waliochinjwa kwamba wapumzike kwanza mpaka idadi ya wenzao watakaochinjwa kama wao itakapokamilika, alikuwa anasema akina nani? Wengine watakaochinjwa kwa ajili ya jina la Yesu watakuwa kutoka katika wakati wetu huu, na hao Neno ndio lililowapa baraka kuu sana Math5:12. Acha wapuuzi wanang'ang'ana kuita pesa ndiyo baraka. Ninyi ndio mliobarikiwa. Namwomba Mungu nami anioe ujasiri wa kulinena Neno lake kwa ukweli, ujasiri na haki, ikibidi nifuatie mimi hata kufia kokote kwa ajili ya jina la Yesu, na injili ya kweli. Mungu ni mkuu.
Natamani ningekuwa MBEYA Nikafungwe pamoja na baba yangu,Maana nazani ningekuwa heli saaanaaaa kuwa miongoni mwao watakao ipamba historia ya Mbarikiwa Mwakipesire.kuliko kubaki ulaiyani nalandalanda,na kuzulula kama mbwa za vilabuni Huku nikisubiri mifupa ya wazungu.Lakini Ninaimani hata Huku niliko Nitasimamia na UTU NA HAKI kwa gharama yoyote haijarishi nitaishia wapi.Kuishi ni kristo kufa ni faida.Mungu Akutakungulie komandoo, JASUSI wa Mbinguni
Ameen
Baba mimi ntasisimama na wewe kwa kwa hali yoyote kwa changamoto yoyote kwa hatari yoyote,Mungu akutie nguvu sana tuzidi kupasua mawimbi.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Mungu Asimame na wewe kwa kipindi hichi kigumu. We will pray for you.
Mungu ni njia kweli na uzima tu katika nyakati za mwisho
Mwakipesile nampenda Mungu wako niMungu mkuu namwomba Mungu wako aliehai anitie ngivu Nani nisimame nisimuache mtumishi unatuinua wengine kupitiamateso unayopitia Mungu ajitete mwenyewe
Poleni kwa kuhangaiswa , YESU anaona yote jipeni moyo
Mungu wetu akutetee Mchungaji.
Mungu wewe taabu hii isiwwe Bure mwee 😭😭😭😭 kwa kanisa lako
Lazma ushinde,hakuna mwenye haki aliye wahi kuaibika na Mungu aendelee kukuinua🥰
Katika utumishi kuna changamoto lakini ushindi nirazima maana yupo ambae tumain letu msaada wetu mungu yupo upande wako mtumishi we nikamanda wa yesu utavuka usijali kumbuka habari za.Ayubu jitie nguvu hata kama mlima mkubwa kiasi gani mungu yupo anakuona yupo nawewe hapo barikiw mtashinda
May the Lord be with you!
Mungu atasaidia
MUNGU akutie nguvu mtumishi wa MUNGU binafsi umenifundisha mengi sana, japo nimejifunzia mtandaoni lakini mambo mengi nimeona yakifanikiwa maishani mwangu, tunakuelewa sana. Kuliko haya matapeli mitume na manabii.
Mungu yupo hai atakusimamia
Mungu awe nanyi makamanda na wazazi kwa ujumla.nyie ni word settings.
Neema ya Mungu ukufunike katika jina la Yesu Kristu alie Hai. Zaburi ya 35 ikufunike
Mzee mimi nitasimama na wewe. Ni kweli wanaweza kunizima kwa njia yoyote ile lakini nasimama na wewe mzee wangu. Tusipoonana katika maisha haya, tuonane bandarini kule. Kama haki haitasimama, ni heri kuondoka katika dunia hii kishujaa.
Mungu anajivunià wew Mbarikiwa
Kama mungu hakumwacha shadrck meshack na abelnego. hatakuacha wewe pia.
Ubarikiwe Kama jina lako Mbarikiwa
Mungu saidia mtu wako Mch. Mbarikiwa na makomando wa kikosi kazi
MUNGU uliye hai baba wewe NI baba kwa dhiki yoyote na kwanamna yoyote Ile ngumu bado utabaki kuwa MUNGU🙏
I love a background song
Kweliiiiii Mungu sisi tu watu wako, hata ukinyamaza sisi hatutaacha kusema tulivyotakiwa kusema,faida ya maisha haipo kwenye kuishi miaka mingi bali kutenda mema mengi,tenda mema tu baba hata kama njia haionekani
Umenena vema
Utawala wa kisramu huwatesa wakristo tz mungu tupatiee ushindi wakristo wa tanganyika
MUNGU Akutangulie.
Mtumishi na jua Hali unayo ipitia kiroho ningumu sana sana ila Kwa sababu MUNGU yuko katikati yako najua utashinda tu hutakufa bali utaishi simama na MUNGU isitishwe Wala kurudi nyuma yupo YESU KRISTO atakutetea tu
Hakika mbarikiwa Mungu yu pamoja nanyi msife moyo hakika mtashinda
Mimi nashindwa kujua Lisa la huyu baba Mungu Alie watetea akina Paulo na Sila asimame na wewe Yani nimeamini watu waliomshitaki yesu kwakufundisha neno la Mungu hata Leo wapo ndio waliomshitaki huyu mchngaji
Jamani nimejihisi vibaya sana, kabla ulimwengu haujawachukia ninyi ulinichukia mimi YESU Alisma kweli
Mungu akuteteee mtumishi haki inauma Sana 😭 😭 😭
Mtoto anauma nimeon a nyimbo zake apumzike kwa amani
dah Mungu awasimamie sana sana na tunawaombea hilo jaribu lipite
HASARA YA MUDA, PESA, KAZI PAMOJA NA KUHARIBIKIWA KWA MAMBO MENGI MHIMU SANA; Haitakuwa Bure.!.
God be with you step to step in Jesus might name amen
Kosa Kwa Mwenyezi Mungu ni kutenda dhambi.
Kosa Kwa serikali zetu za kidunia ni kutenda kinyume na taratibu walizojiwekea Kwa maslahi Yao nyingine ni makosana dhambi Kwa Mwenyezi Mungu . Eti wanaita uhalifu. Jipe moyo mpendwa hawajui watendalo...iwe heri Kwa watz
Hivi Hawa watu wanapata wapi ujasir wa kuwatesa watu wa Munguuu? Mungu awatetee jeshi la Mungu
Mhukumu wa haki anakuja Kila MTU atapokea ujira wake!
Yaani watumishi wa Mungu wamefikia hatua ya kuwapeleka watumishi wenzie mahakamani kwa kuambiwa ukweli suzani kama baba angekua hai haya yangetokea kabasi
Nachokukubali umeamua kusimama kwenye kweli na ndio chanzo cha vita. Ungekuwa tapeli furani walaa hakuna shida
Baba yangu Mbarikiwa, wingu la Bwana na lizidi kukufunika wewe ni shujaa na mtu wa thamani sana katika kizazi hiki, Mhukumu wa HAKI yupo na akutangulie.
Sauti ya mzee kila siku inakuwa na wingu jipya. Hakuna siku utakuta sauti yake imepungua neema pamoja na magumu haya.
tunawaombea kikosi kazi cha injili neema ya Mungu iko juu yenu nina hakika ushindi uko juu yenu na ole wake anaezuia jitihada hizi, ole ya Mungu iko juu yake, habakuki anasema ndoto hii ijapokawia ingoje lazima itimie wakati wa Bwana ukifika hakika ibilisi na wafuasi wake wataaibika
Saaaaaaf
Wimbo umejaa neema ya ajabu ya Mungu kwa watu wake(kondoo walioitwa)
Mung akubariki baba na aendelee kukupgania him hatia yyte
kutoka chato MUNGU yupo pamoja na watu wake jipeni moyo ktk tanuru ya moto gerezani MUNGU hakuwahi kumwacha mtuwake unzi wake upo pamoja na watu wa kikosi kazi msiwaze sana.
Mbona Mtumishi wa Mungu Unatamka Kushindwa Sisi niwashindi Siku Zote
Wanataka uhubiri mafuta ya upako na maji ya upako hapo utakwenda nao sawa
Ninacho amini MUNGU hatanyamaza, hatakama amenyamaza Kwa mda hata wakitimiza kisudi lao ovu, ninacho kiamini Kwa Mtumishi wake mwenye haki IPO siku atajibu tu. Na wote watajua MUNGU amejibu.
E mungu wasaidie watu. Wako
Mbona haisemwi anashtakiwa na nini??
tufanyie mchakato wa wimbo huo tuendelee kuimarika
Sijaelewa, mahakamani kwa ajili ya kosa Gani?
Kwani huyu mtumishi kafanya nn jamani?
Unafwatilia sana mambo ya watu kwenye mitandao,ningekushauri hubiri neno la Mungu kama lilivyo la sivyo watakudhoofisha Yohana alijidai kuongea kila kitu mwisho walimla kichwa
Baba najuwa unanihangaikia Mimi niliyekwama kwa mengi Sana Sana wewe ushavuka wokovu wa kweli ndo huo ambao wewe unaoteswa
Lazima ushindi utapatikana Baba mlezi wa wengi Mbarikiwa ambaye ni shujaa
HAKIKA MTU HUYU NI MWENYE HAKI
Wewe hujashindwa, wao ndo wameshindwa.Dunia inasema kwamba umeshindwa, hapana hujashindwa.kumbuka wimbo ulio imba. (Wamemkataa) je? MUNGU amethibitisha kwamba wewe umeshindwa mazima au wanadamu?, au wewe? Vaa moyo wa MUNGU, umejenga juu ya mwamba serikali isikutikise, bali wewe uitikise serikali. Usipofanya hii kazi hakika utakwenda kule kubaya ulipoonyeshwa,(kuzimu) paulo aliambiwa olewake asipohubiri INJILI. Ni heri kufa kwa hayo kuliko kuacha. Baadae ukatupwa kuzimu. Usikiri kushindwa, bali ukiri kwamba nitapambananao mpaka MWISHO. KAMANDA
Huyu asipoangalia atakuwa chizi, watu wang wanangamia kwa kukosa maarifa
Ili wewe uwe na akili kwa sababu sasa inakuuma sana alivyo na akili na wewe ni chizi. Hatakuwa chizi tu, bali mtamuua kwa kuwa mnahisi NDIPO mtaramba asali kwa uhuru
Shujaa ule wimbo wako wa kazi yangu ikiisha unajieleza
Tunakuombea kipenzi cha wengi.
Waislamu tushayapitia hayo mda mrefu tu nyinyi mlikua mnafurahia tu waislamu wamekamatwa wengine ndugu zetu wameuliwa wengine hawana miguu wakapewa kesi za ugaidi nyinyi mlikaa kimya kama hamjui kua serikali inawaonea bali mkashangilia huku mkisema waislamu ni magaid sasa zamu yenu kuimba kwa kupokezana
Hiyo Kesi inahusu Nini Natamani kuijua
Kwani anakosagani?
Mungu akufanyie njia
GERALD TARIMO,ANAENDESHA HUDUMA ZA KANISA BILA USAJILI,AMBAPO NI KINYUME NA TARATIBU ZA KUENDESHA KANISA KWA TANZANIA
@@israelkisaila8401 Tatizo halikuwa usajili kwa mujibu wa maelezo yake tatizo Aliombwa kitu kidogo ili apewe usajili sasa akashindwa maana ni dhambi.na hapo ndipo wakaona wamhenyeshe mpaka leo.
Inatubidi turekodi movie nyingine ya masumbufu ya vita vya Kikosi kazi,kama Ile ya mlokole wa Kijijini ilivoonyesha uhalisia lakini na hii wenye Haki kunyimwa Haki ya kumwabudu Mungu.
Pamoja na kupitia hayo yote bado naomba ushindi mbele yako
Bora nife nikiwa na miaka michache katika haki kuliko kuishi miaka 100 nikiwa mwenye dhambi
Ukwel huyu mchungaj anapitia magum sana
Mtaokotwa mmoja baada ya mwingine msiposimama pamoja. Wenzetu waislamu kiongozi akishitakiwa waumini wote wanajaa mahakamani kusikiliza,kunwombea,kumsaporti kwa hali na Mali hata kumwekea mawakili bila kijali tofauti za madhehebu yao lakini sisi mmmh.
ABH88YQA1FE Imethibitishwa. Tsh29.00 imetumwa kwa VODACOM-BUNDLES tarehe 17/2/23 saa 5:33 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh426.00. Bq
A) ❄
🌟
🔔
🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔
🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔🔔🔔
❄
🌟
🔔
🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔
🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔🔔🔔
❄
🌟
🔔
🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔
🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔
🎄🎄🎄🎄🎄🎄
🔔🔔🔔🔔🔔🔔🔔
@@adelinakijamala mbon ujumbe wako hauelewiki?
HAKIKA HAWA WATU WANATAKA TU KUKUHANGAISHA KWANI SIKUIZI KUABUDU NI DHAMBI?? MBONA HAWA WATU WANAPENDA KUKUSUMBUA HIVI??? MUNGU ANAWAONA NA ATAKUTETEA USIFE MOYO KAMANDA
Muhukumu wa haki yupo!
Kweli kabisa baba
MUNGU anawajua walio wke aliruhusu YUSUPH ateswe,hata mwana wake wa pekee YESU CHRISTO aliteswa sembuse ww Mbarikiwa acha wapigane nawe lkn MUNGU akiamua kushusha gharika ya adhabu yke je nan atasimama?acha MUNGU atapigana nao
Fitina za Mwaposa
Kama Zumaridi wamemuachia basi na wewe ni zaidi
Sina uhakika Kama mnajua mnacho kifanya
Wewe ndiye unajua
SHETANI ,kamwe hajawahi kushinda nguvu ya MUNGU
Mbarikiwa nakuomb usome haya hii na uwafafanulie waumini wako
24:4-20 matayo
Na someni Hamri ya nne kwa umakini
Na 28:9 mithal
Alafu uangalie msimamo wako je,
Uliposimama uko na MUNGU Wakweli au lah!
Kwa uelewa wako ni sheria gani ambayo hatujaifuata hata maombi yawe chukizo? Kazi ya sheria ni kuonyesha kosa lilipofanyika au sheria zenu ZINAPAMBANA NA MTU AMBAYE ANAFANYA MEMA?
wauza gongo hawajafungwa, ufungwe wewe hakuna kitu kama hicho
Sifa Na Bertha wanafanya kazi saa ngapi??maana karibu video zote namuona Sifa yupo Na familia ya mbarikiwa
Kwani siku inamasaa mangapi na humu mtandaoni unawaona kwa dakika ngapi??
Walikuja kukuomba mkate? hivi ni nani asiyeiona kazi nzuri ya Mbarikiwa ili afurahie haya mateso? Labda shetani tu na majeshi yake.
Ivi wewe wanakula kwako hata sijui unaelimu
Kama bado ujawa mchawi basi jichunge sana mpendwa naona kama hiyo roho inakukaribia kwa nguvu
@@eligiuselias4469 wewe ndio mchawi tena mwanga mkubwa....koma kuita watu wachawi???kama huwezi kujibu hoja kwa hoja funga hilo bakuli lako!!..
HAKIKA HAWA WATU WANATAKA TU KUKUHANGAISHA KWANI SIKUIZI KUABUDU NI DHAMBI?? MBONA HAWA WATU WANAPENDA KUKUSUMBUA HIVI??? MUNGU ANAWAONA NA ATAKUTETEA USIFE MOYO KAMANDA
Kwani serikali inadini siku hizi??