🔴VITA YA SIMBA NA YANGA KUINUFAISHA AZAM FC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • clabu ya soka ya simba sc imetuma offer kwa matajiri wa chamanzi azam fc juu ya kutaka kumnunua kiungo wao mshambuliaji raia wa tanzania kutokea visiwani zanzibar faisal salum abdallah maarufu kama fai toto ama zanzibar finnest
    jioni ya leo mabosi wa timu hizo mbili walikutana kujadili uwezekano wa kukamilisha dili hilo ambalo simba wameona ndio njia sahihi ya kuwaridhisha mashabiki wao baada ya kuondoka kwa mchezaji tegemezi clatus chota chama ambae amechukuliwa na wapinzani wao yanga sc
    klabu ya soka ya yanga sports club ya Tanzania imefanikiwa kumsajili mchezaji wa azam FC prince dube
    #simba #yanga #football #tanzania #viral #chama #azamtv #simbasc #soccer #aziziki
    #azamtv #azam #usajilisimbasc #usajili #simba #simbasc #yanga #tanzania #tanzaniafootball #tff #sports #football #cafinal #totalenergiesafcon2021 #afcon2023 #tetesi #tetesizausajilileo

ความคิดเห็น • 6

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Azam mliambiwa huyo kijana jeuri hamkusikia.

    • @Jaykibuga
      @Jaykibuga  3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu hapo.

    • @Jaykibuga
      @Jaykibuga  3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @Damsontvtz
    @Damsontvtz 3 หลายเดือนก่อน

    Usajili hatari

    • @Jaykibuga
      @Jaykibuga  3 หลายเดือนก่อน

      Kazi ipo msimu ujao