Pole mwanji kwa yaliyokukuta mwina amepata adabu yake bado samili yake inakuja Asante sana my favorite actors and actresses hongera kwa kazi nzuri much love from this side ♥️❤️❤️♥️
Nice finishing, thanks so much guys, nice mdaaa nilikua nikiona muna support UCHAWI na uganga kienyeji Alakiini leo afadhali kidogo , kuna kakitu mumetuelimishaaaaa mwishoni
Alhamdulillah tunashkuru kwa mafunzo mazuri mungu atubarik kwa sote na tumefrah sana kwa kuupa uislam na ukiristo ukubwa kwani ndio dini zetu wa Tanzania,ila ningefrahia wa Tanzania wote yukawa na dini moja yahaki uislam ni dini nzuri sana hakika Allah ametubabaisha tu ktk dunia yake ila sote ni udongo mmoja na sote ni familia moja hivo kiburi na majivuno ktk hii dunia sio kitu chakuchukua,bali ni kusali na kuamin nguzo ya mungu tu basi,pia tusisahau kuomba msamaha kila siku kwani kwahakika sote ni wafu kwake tutarejea,asanteni sana zaid kaka mwanji mungu aendelee kukupa kipaji na kutuelimisha jamii,,,ila ulipomuita samiri ulikua km hujui kuongea kimakonde kilikuzidia 😂😂
Filamu nzuri kweli producer nakubali.ila mbona mmewapa waganga nguvu kuliko Uwezo wa Mungu?Mazonge hangefariki.Samir angetubu alipomzika Hika kwanza kabla afe.yule dada wa kanisa angeokoa Mazonge.Waganga wote hasa mwakatobe aliye mwasisi wa maudhui haya,wangeumbuliwa na Uwezo wa Mungu kudhihirika.
Mwaji kazi nzuri sana ongereni Sana wewe pamoja na timu Yako yote ila basi tafadhali umalize ni meokoka usha kutwacha mu jia
Asante sana tuombe Mungu
Hapana mumekosea mwina kutoa shahada wakat wakufa kwake amekufa ktk ushirikina 😢😢iweje apate shahada wakat hakufa ktk mahali pazuri?sjapenda😂😂😂
Mwanji kazii nzuli sana ubunifu uko vizuli na uhalisia nanifunzo Kwa jamii nzima inayotegemea ushilikina funzo Kwa vijana 💝💝💖💖👏👏👏👏
Asante sana 👏👏
Da MWASI unajua sana 🎉🎉 pokea maua yako
😭😭😭😭😭😭hakika leo mumefanya nikalia kwli hongera ndug zangu mungu awazidishie nguv kw vipaji vyenu,,,mafunzo manzuri❤❤❤❤❤
Asante sana
Dada angu mwasi tangu wanaume wakusifie ni mzuri umekua unavaa nguo za kukuchonga maungo sana pia unajichumbua usifanye3hvyo wewe ni mzuri saana ❤❤😂
Ndio kashaanza hivo unafkiria atakuskiliza mawazo yako?wakat anajiona kashakua star sifa mbaya zinamuhusu 😢😢😢
@@RaimamomedSaidi-wz1yu
Toeni ushauri kuhusu kazi na uwigizaji wake kuhusu mavazi na maisha yake binafsi sio kazi yenu
Ongera sana mwanji. Ama kweli haya nimatatizo 😢😢 🎉🎉🎉🎉
Amina
Daah ko ndo imeishia 😢😢😢
Mngoja. Ngoja ngoja samil 😂😂😂ahse🎉🎉🎉🎉🎉 mwanji wee unajua mungu akupe pumzi uturete ingine
Amina ndug
Kazi nzuri sana, kazeni Buti kukuza talent yenu
Ihi kaka ungengoja samili aoneshe alipo mzika rafiki yake Kisha auwawe
Aisee tusali sana uchawi upo
Pole mwanji kwa yaliyokukuta mwina amepata adabu yake bado samili yake inakuja Asante sana my favorite actors and actresses hongera kwa kazi nzuri much love from this side ♥️❤️❤️♥️
Asante sn
yaan muhina anataka pesa badala afanye kaz anatumia shortcut 😂😂😂😂 akil hanaaaaa
Sijawahi kufikiria kama mwanji unaweza kuniliza mimi na midevu yote hii😭😭😭 unaweza Mwanji
Asante sana ndugu
Mwisho wa ubaya aibu
Ubaya ubwela
Ukisikia watu wanasema Kazi nzuri manaake uko na akili saana n'a filamu yako ni mafunzo kwa wengine asante saaaaaaana
Asante sana
Big up good work
Kazi nzuri sana Mwanji imeisha vizuri wabaya wote wamejulikana tunaotaji movie nyingine nzuri zaid ya hii
Asante sana
Mh hakika leo Mbwela umeupiga mwingi
Ngoja ngoja 🤣🤣😂 nimecheka sana bro pia hongera sana kwa kazi nzuri na kubwa ..💥🔥 GOD blessd
Asante ndug
Hongera sana brother mwanji🎉🎉🎉
👏👏
Kazi nzr sana
Bom trabalho Mwanji.
Hongera sna mwanji kaz ni nzur mno pia inafundisha kwa kias chake❤❤🎉🎉
Asante
Wasaba Leo good job sana🎉🎉🎉❤
God job🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Dah nilitamani iendelee maana naona kama imeisha mapema
Mnajua sana
Safi sana kaka mwanji 😊❤❤❤
👏👏
Ongereni sana kwakaz mzr🎉🎉❤❤❤❤
Wa kwanza nipe like zangu jameni
Hii ndo maana ya ubaya ubwela
Mwanji hongera sana tena sana
Asante sana
Mwanji salote kwako broo unajua sana kiukweli ongeza umakini mungu awe pamoja nawe
Amina kk
Yaan baada ya mdogo wangu kufa kwa mateso yote yale afu nimrudie hapana tamsamehe kibinadamu tu siyo kimahusiano 😢
Doctor mwanji❤❤❤
Hongera kwa kazi nzur,tunaomba kali zaid ya hii
Asante sana kwa uwezo wa mungu zunakuja
@@mwanjifilms123🤲
Best one
The lesson 🔥🔥🔥
Inafundisha mnooo ❤❤
Amina
Mwasi pole pesa leo hupati kula maneno matupu
Hongera thanaa brooh mwanji filam yko n fupi lakn n nzur thanaa Ina ujumbe mzur na wasanii wameitendea haki ❤❤❤
Asante sana ndugu
Daaa mwanji kijiji kimekuwa cha moto
Mwaji Wacha kunifanya nicheke ety samil ngoja ngoja na nko Kwa huzuni jameni
Hhh
Uko sawa mwnji
Kaz nzul ila mhina una bahat😂😂😂
kazi nzuri bro mungu akutangulie
Amina
Usimsamehee
Yani wote nimafundi sana
Ila tuseme ukweli muhina anajua kuongea😂😂
Nice finishing, thanks so much guys, nice mdaaa nilikua nikiona muna support UCHAWI na uganga kienyeji
Alakiini leo afadhali kidogo , kuna kakitu mumetuelimishaaaaa mwishoni
Asante sana
Kazi nzuli
Mwasi pic kali
Mwanji mungu akubariki sana broo ❤❤❤❤
Amina sana
Mwanji hii move umetumia akil nying san kutengeneza story tunaomba endelea kupamban kutup sotry nyingne nzur🙏🙏🙏
Asante sana
Ihi kitu nzury lakini imeisha mapema sana ila story nzr kaka
Asante sana
Mwasi nifundi sana
muhina anatamaa sanaaaaa
Ok broo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ngoja hhhh ngoja samir ngojaaaa
😂😂
Uko na dada mpuzi asiye juwa uchungu
Hiyo part ya waganga mpeni mwakatobe au pashambe
Samir nakulia😂😂😂 walai wewe ni mwamba
mwas ataki pesa kabadikikaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
congrats comrades
Ngoja ngojaqq😅😅😂
Mwanji uko vizuri 🎉
Asante sn
Nzuri sana mwanji naomba uongoze episode zako zikue ata 80 kuendelea please
Asante sana kwauwezo wa Mungu inawezekana
@@mwanjifilms123inshallah 🙏🙏🙏🙏
@@kamarhelo sawa broo nawaombea mzidi kutuweka biz na kuzidi kutuelimisha tu kwa sana
Asante@@MandelaMwangome-q1b
Congratulations Mwanji Kazi nzuri sana kwa kweli kimelia nafuatilia kutoka kenya hapo nimesema season 1.kumaanisha tunangoja season 2 sio?
Asante sana
Mwasi kimemkuta kitu 😅😊😊 ataki pesa tena
Hahahaha 😂😂🤣
Sema hii kazi ni ya moto Sana kazi nzuri mno
Asante sana
@@mwanjifilms123 Allah awatangulie mtuletee KAZI nzuri zaidi
Mwanji hongera Sana
Asante sana
Nicce
Nataka kuona venye mwasi amebadilika pia. Wana kijiji wakijua siri kama mwanji.atarudi kijijini
Kazi nzuri
Asante sana
Mwanji bhana unapeleka marehemu kwa mganga
Hhh
Shalp sn
mung asimame nasi
Amina
Matatizo season 2 ikuje
Mwina aca afe angemalìza watu kimyakinmya nakuoneya uruma chr wangu samili 😢ngoja ngoja ngoja 😂😂😂inatafsiri nini mwanji
🤣🤣🤣
Alhamdulillah tunashkuru kwa mafunzo mazuri mungu atubarik kwa sote na tumefrah sana kwa kuupa uislam na ukiristo ukubwa kwani ndio dini zetu wa Tanzania,ila ningefrahia wa Tanzania wote yukawa na dini moja yahaki uislam ni dini nzuri sana hakika Allah ametubabaisha tu ktk dunia yake ila sote ni udongo mmoja na sote ni familia moja hivo kiburi na majivuno ktk hii dunia sio kitu chakuchukua,bali ni kusali na kuamin nguzo ya mungu tu basi,pia tusisahau kuomba msamaha kila siku kwani kwahakika sote ni wafu kwake tutarejea,asanteni sana zaid kaka mwanji mungu aendelee kukupa kipaji na kutuelimisha jamii,,,ila ulipomuita samiri ulikua km hujui kuongea kimakonde kilikuzidia 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanji kaka 🎉
Naam dd
Honger xn mbwerq uko vzr
18:26-44:33 #Mwasi kapewa nlichotamani .... Big up Mwanji family
Asante
Filamu nzuri kweli producer nakubali.ila mbona mmewapa waganga nguvu kuliko Uwezo wa Mungu?Mazonge hangefariki.Samir angetubu alipomzika Hika kwanza kabla afe.yule dada wa kanisa angeokoa Mazonge.Waganga wote hasa mwakatobe aliye mwasisi wa maudhui haya,wangeumbuliwa na Uwezo wa Mungu kudhihirika.
Asante kwa ushauli
Acha ujinga wewe dada alie uwa nae auwawe pia malipo ni hapahapa dunia
❤❤❤❤❤
Wakwanza npeni like
😂😂😂😂❤❤❤❤
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂muhina bhana eti naweza kuweka mfukoni
😂😂😂anataka ela halafu anakuw muoga
Nimeokoka usifikiri tumesahau
Tuombe Mungu mtumishi
Hahaha
Mwanji unajua sana
Asante sana
Kazi nzuri
Asante
❤❤❤
❤❤❤❤❤