Jamani umaskini n mbaya sana sasa baba karobo atakua mbuzi 😢mama karobo nimekupenda sana umejua kuigiza walai alafu fashion na ule mdemu kibonge pia maua yenyu nawapenda san waigizaji wote 🎉🎉🎉❤❤
Jamani wewe jinamizi ulie mtokea baba karobo tafadhali tuachie baba karobo wetu tunampenda sana Wala usimgeuze mbuzi woooooi next episode nitalia nitakapo ona mbuzi eti ni baba karobo mungu wangu mseidie baba wetu much love to you good job ❤❤❤
Muke ana Shanga kwakuona mukewake ametendeza nasimu muke ana Shanga Ana Rere meka kwahela 😂❤❤🎉🎉 Watoto kwqkasisi 😂😂wa namwambiya mama yowo apokeye hela🎉❤🎉❤
Ila baba karobo umeigiza umaskini basi si ungetoa hio miwani😂,ni wazo tu...kaz iko sawa sana # umaskin mbaya kweli ila subra pia na kumuamini Mungu ni muhimu
Kumbe hizi comments zetu hua ni mhimu sana ukichangia kuhusu hawa wanao shiriki...nakumbuka kwenye baba yangu kipofu kuna baadhi yetu tulitoa maoni kwamba Fashion nywele ya rangi ilikua haipendezi na tunashukuru alibadilisha, so toeni maoni achaneni na mambo naomba like!😮😮
❤❤😂🎉🎉Unaachana na boy wako ety juu amekucheat🤣🤣.Mungu naye ni nani😅anakupea mwenye ameachwa coz of cheating 🤣🤣na unasena umemove on 🤔🤔💔💔....🤣🤣my friend hio Kwa mathematics inaitwa cross multiplication 🤣🤣🙊🙊🙊in Physics no work done🤣🤣in English rhythm repetition 😅😅in Agriculture ni crop rotation 🤣🤣 in Kiswahili ni virejeshi radidi🙊🙊 in Biology is called capture recapture method in chemistry ni Redox reaction🤣🤣🤣🙊🙊🙊🤔🤔🤔🤔😅😅😅😅.... Na si mnipee surprise ya December kwa hiyo number 999 ama follow
Chiko mwanamke afanyiwi ivyo mwanamke anatakiwa kuoneshwa upendo kutoka kwako kumsikiliza nini anaitaji na kumpa thamani yake kama mke kumbuka mwanamke ndio kiumbe pekee duniani anayeitaji kupewa furaha ata kama kakosea wewe unatakiwa usimame kwenye mstari wako ili na yeye aoneshe upendo kwako
Daah hyo maneno tu y watoto yana😢😢😢😢 sna,lkn hyu madada anae msaidia bb Joani kwa nn asijitahidi kuziba hta hwa vipofu wanaoona kusema kwel nikija kugundua yanayoendelea kuna mtu atajutia
Baba karobo naomba yule mschana akupende tu na asikutumie awe mke wa pili ilimradi akusaidie ww n familia yako asiwe na tamaa ya kukuchukulia nyita yako
Aisha 🇧🇮ndagukunda baba joan Kaka umasikini sio ugojwa apana omba mungu atasaidia
Jamani umaskini n mbaya sana sasa baba karobo atakua mbuzi 😢mama karobo nimekupenda sana umejua kuigiza walai alafu fashion na ule mdemu kibonge pia maua yenyu nawapenda san waigizaji wote 🎉🎉🎉❤❤
Jamani wewe jinamizi ulie mtokea baba karobo tafadhali tuachie baba karobo wetu tunampenda sana Wala usimgeuze mbuzi woooooi next episode nitalia nitakapo ona mbuzi eti ni baba karobo mungu wangu mseidie baba wetu much love to you good job ❤❤❤
Tuliokubali uongo wa baba kasembe weka tiki❤❤❤❤❤uongo uliokomaaaaa jameni😅😅😅
wa kwanza from kenya💃💃💃
🎉
@@JACOBMUSYIMI-u4mtwi imwi mbuloo❤❤❤💃
❤❤❤❤❤mmmmmm
Yvonne 🇰🇪 much love baba Joan ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nainpenda sana usisheleweshe kutocha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 baba karobo sijamuona zujaty Yuko wapi
Baba karobo mama karobo feki mbona hatumuon zulijat kibanio lohasa timu mzima ya karobo tumewamiss❤❤❤❤❤❤
Lazima atoe yenye utofauti kidogo but mr lahasa yeye yupo kwenye hii movie
Mko vizuri cnaaa napenda kazi yenu mungu awabariki, baba karoo ucjali ipo siku
Hapa kwakwelli Ndio nimeamini wanaume walizaliwa Na uongo lol 😂 nimecheka hatari sema mwanamke kaingia box 🎁 taratibu😂😂😂😂😂
Umasikin wetu unatuumiza wengi sàna mungu atubarik sana🎉🎉
Wanaume ni waongo baba kasembe hata macho hupwesi n'a uongo Huo looo
Un homme fort Baba joan courage mon frère j'adore votre style d'acteur
Lakin baba karobo kwa udanganyanyifu wako uko kiwango Cha juu😂😂😂😂😂
Nakupenda sana mama karobo kwa Imani yako
Nakupend San baba joan ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Baba Joan tuzidi kuwa napana wasia kama na izi mimi pia ni wa kwaza kutoka CONGO
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu ni mwema ❤ila wanaume japo mnapitia magumu ila mbinguni mtafika mme katika kiuno😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Ni hatari mwanamke kapangwa akapangika 😂😂😂
Hello
Hogera baba karobo na mama karobo nawapenda sana ❤❤❤❤ nawafwata kutoka 🇧🇮 🇧🇮 kaka hogera sana kaka 🎉🎉🎉
Hi ndugu zangu kutoka Saudia arabia
Hi2
Umasikin mbaya
Hi too
Hitoo
Hello❤
Mam karobo upo vizr ❤💛💙
❤❤baba Joan
Kazi nzuri baba baba joan
Muke ana Shanga kwakuona mukewake ametendeza nasimu muke ana Shanga
Ana Rere meka kwahela 😂❤❤🎉🎉
Watoto kwqkasisi 😂😂wa namwambiya mama yowo apokeye hela🎉❤🎉❤
Kila anaye fuatilia hii tamthiliya namtakia heri ya Christmas 🎄 na mwak mpya
Nawe pia
😂😂
Kwel kabisa baba join chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asaramwaraikum wakanza leo baba karobo nipe lunke najifunza san kwahiyi move
Sema asalam alaykum
Ila Mambo mengine tutumage tu audio ila maandishi noma sana dah
Ila baba karobo umeigiza umaskini basi si ungetoa hio miwani😂,ni wazo tu...kaz iko sawa sana # umaskin mbaya kweli ila subra pia na kumuamini Mungu ni muhimu
❤❤❤❤😂😂😂😂baba karobo kanichekesha sana😢😢😢😢😢😢nauku nauzunika
Kumbe hizi comments zetu hua ni mhimu sana ukichangia kuhusu hawa wanao shiriki...nakumbuka kwenye baba yangu kipofu kuna baadhi yetu tulitoa maoni kwamba Fashion nywele ya rangi ilikua haipendezi na tunashukuru alibadilisha, so toeni maoni achaneni na mambo naomba like!😮😮
Mungu ukimuomba utajiri hakuambii ukafanye mabaya ndio akupe utajiri.😢😢
Congo drc muko?🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
wanaume samalekuuuu🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂
Mbuzi kabisa baba karobo umeisha 😂😂😂😂
Chiko Chiko, nakuita mara tatu😢😢 cjapend kbc
Karobo et napenda kula mbo ya kusoma tuwaachie watoto wa ma tajil ubarikiwe sana karobo
Ah yah sasa. Tuko pamoja kutoka Burundi 🇧🇮
Ongera baba kalobo kl🎉🎉🎉
Chiko we kila muvi ni kwamb hauna uwezo wa kumzalisha mwanamke jamn au
mumetufunz bitubingi sn mungu awabariki🙏🙏🙏
Saf sana ba karobo kwa kukataa kufanyia kitu kibaya kwa mwanao
Mungu ndio anaetoa riziki kikubwa ni subira
Kweli hayo mamuzi magumu bajoan
Jaman elf 50 imepotea au mpaka watoto wakose pesa ya mtihan mnaaribu sasa
Kazi nzuri ❤❤
❤❤😂🎉🎉Unaachana na boy wako ety juu amekucheat🤣🤣.Mungu naye ni nani😅anakupea mwenye ameachwa coz of cheating 🤣🤣na unasena umemove on 🤔🤔💔💔....🤣🤣my friend hio Kwa mathematics inaitwa cross multiplication 🤣🤣🙊🙊🙊in Physics no work done🤣🤣in English rhythm repetition 😅😅in Agriculture ni crop rotation 🤣🤣 in Kiswahili ni virejeshi radidi🙊🙊 in Biology is called capture recapture method in chemistry ni Redox reaction🤣🤣🤣🙊🙊🙊🤔🤔🤔🤔😅😅😅😅.... Na si mnipee surprise ya December kwa hiyo number 999 ama follow
Kwani ww ni mdogo wake na Manyanya🤔😂😂🤣
Hio sio swa
Nimependa uwalimu wako
Bila shaka unatokea Kenya tujuane
@@lindauma982😂😂😂😂😂😂😂
Chiko mwanamke afanyiwi ivyo mwanamke anatakiwa kuoneshwa upendo kutoka kwako kumsikiliza nini anaitaji na kumpa thamani yake kama mke kumbuka mwanamke ndio kiumbe pekee duniani anayeitaji kupewa furaha ata kama kakosea wewe unatakiwa usimame kwenye mstari wako ili na yeye aoneshe upendo kwako
Daah hyo maneno tu y watoto yana😢😢😢😢 sna,lkn hyu madada anae msaidia bb Joani kwa nn asijitahidi kuziba hta hwa vipofu wanaoona kusema kwel nikija kugundua yanayoendelea kuna mtu atajutia
Vickitoria anataita majilani kl kumbe anadanganya😂😂😂😂😂😂😂
Wamwisho nipeni like na mie naomba 🎉🎉
Wanaume jamni 😂😂😂😂
🎉🎉🎉❤❤big up bro from Kenya ❤❤
From kenya
Wanaume wanajua kusaundisha wake zao😂😂 daaaa
Wa kwanza kutoka Kenya
Good lesson baba
Mach lov baba Joan haya muvikweli🇰🇪❤️❤️❤️❤️
Jamani Ile elf 50 imeishaje apo mmenichanganya😢😢😢
Mama kasembe unazingua,umekaa tu hapo hujishughulishi na chochote kutwa kulia tu.Toka kajishughulishe hukooo
Baba joana nguozako hizo amekuwekea tunazijuwa 😅akupe. Ss na zamkeo
Mwanaume ni kujitetea ❤ nimependa hivo
Chiko na zatit alikuwa hivyohivyo baadae Tasha akampiga mimb😅😅
Baba karobo naomba yule mschana akupende tu na asikutumie awe mke wa pili ilimradi akusaidie ww n familia yako asiwe na tamaa ya kukuchukulia nyita yako
Wee nikweli kabisa ss huwa tunadanganywa kweli ss wanawakeb🎉🎉🎉❤❤
Maisha yasasa iv mtu akupe tu vitu burebule jaman tuangalie
Happy new year 🎉🥳 guys😂 from Zakayos land kasongo yeyee
Amazing ❤❤
Hongera sana bba Joan ❤🎉🎉
Wakwanza
Nakupenda sana baba kalobo nakufata nikiwa burundu🇧🇮🇧🇮🇧🇮💚💚❤️❤️❤️❤️
Ivo ndo tunavyodanganyagwa na waume zet kuq leo kuna kz kumbe yuaend kw mchepuko😢😂😂😂
Wow ❤❤
Ila baba joan hii movie ni kali co mchezo Vick big up kwako
Waoh umeamuw Safi sana baba kalobo
Wow❤❤❤
Chiko kitakulamba
Kutesa mkeo kosa la Kimzalia mwana si nzuri kidogo ilo ni tatizo ambalo maombi tu yana toa
Wa pili jamn naombeni like
Chiko ulikua na Bahati yakupata wanawake wazuri shidanimja hananguvu zakumuzalisha mwana muke alafu anajikita anakuamukali
Zatiti ilikuahivyo bdaae mulivyo achananaae kapatafalajalake Tasha ulivyoona kawanauja uzito jaziba ziliaanza na ku mufanyia khusuda Tasha kumwagia Thindikar
Jaman Viktoria mbn siku hz huingiz na kina kelvin
Ukute walizinguana kulipana😂
Chiko huna kizazi wewe maana kila movei unaonekana huwezi mpa mkwe mimba
Mapema ndio best
Kumbe uanawez kudate na mtu na akakuchotea neema.zote Kafaidika yey
Pasta mbona unakuwa ukatili namuona iyi😭😭
Mashaallha hii muvi pambe sana ❤❤❤❤
Team baba Joan mnipitie pia
Kazi nzuri Baba kasembe
Nawapenda nyote jamni kutokea kenya❤❤
Taali baba jowan amekuwa mbuzi😂😂😂😂😂😂
Baba Joan ndio ukukute viatu😂😂
Tumemmiss mama karobo au mama kanjude
Chiko kitakukuta kilichokukuta kwenye house girl 😂😂😂😂😂
Naungana na wew
@MAGRETHCHILONGOZI-c4q kabisa 😂😂😂😂
Wanaume wajanja akunaga siri ipo siku utajulikanq😂❤
jamn chikoo😂😂
kweki bwana babá joan
Wa kwanza toka kwanza leo
Laki amsini zimeisha
Mungu awavushe Mwaka salama🥰🥰
Hafazali hujabaka mwanae ilikua inasikitisha😂😂🎉
Nishanza kucheka kama tajr 🤣🤣🤣