Pr Mwasomola Mungu akubariki sana kwa hili hubiri limeugusa sana moyo wangu. Naomba Mungu aniondolee kiburi maana kitanipeleka kwenye uangamivu na kupotea milele.
Wasabato wa sasa tumekuwa kama wapagai eti Tunaenda wa wakati.Na wengi Tutakosa uzima wa milele kwa sababu Ya kwenda na wakati Badala ya kwenda Biblia kuwa ndiye kiongozi
Ubarikiwe sana mchungaji, Mungu atusaidie kufanya mabadiliko.
Pr Mwasomola Mungu akubariki sana kwa hili hubiri limeugusa sana moyo wangu. Naomba Mungu aniondolee kiburi maana kitanipeleka kwenye uangamivu na kupotea milele.
Asante sana mchungaji
Nimebarikiwa na neno japo mtafsiri hajaitendea haki taaluma hiyo
Wewe unakosoa tu
@@COMPASSIONMEDIA kuna kitu cha kujifunza kupitia kwa Benjamin John