DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 14...KAANZA KUONESHA MAKUCHA YAKE SASA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 315

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa 2 หลายเดือนก่อน +39

    Mwanaume nae ameshaanza gubu kuambiwa kidogo tu maneno na mtoto unamini tusiwe hivyo kama unamini gonga like

    • @ValianKidumba
      @ValianKidumba 2 วันที่ผ่านมา

      Mage haya ameyataka mwenyew kumkarbish huyu mam shadya

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 2 หลายเดือนก่อน +13

    Waooow nzuri sana hii mpaka machozi yamenitoka jamani. Ujumbe mzuri sana mama wa kambo ni mama ,adui usimlete karibu atakuangamiza,fikiri kabla ya kutenda,usimuhukumu mtu kwa maneno ya kuambiwa maana yanaweza kuwa kweli hama si kweli

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 หลายเดือนก่อน +29

    Maskini Mage wema wake umemponza ona sasa hali inakuwa ngumu upande wake. Mponji hebu muelewe Mage ajafanya hivyo ni mama Shadya huyo ndio katengeneza huo mchezo Mage hana hatia yoyote maskini

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Shadia safi sana kasha ujua ukweri

  • @BonifaceLutta-j8o
    @BonifaceLutta-j8o 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo umeaanza poa sna

  • @Leilangowo
    @Leilangowo 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hahaaa kk kua na mshimamo hisgerl alikua anakaa nae kbl iweje amtese tn

  • @ChristaGodian
    @ChristaGodian 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh jmn hongera. Na Asante nimejifunza kitu kaka ya kumi na tano sijaona

  • @KSA-hu5he
    @KSA-hu5he 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana nawapenda🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @UmiMazari
    @UmiMazari 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi sana mungu azidi kuwaongoza

  • @WinjonesKayemba
    @WinjonesKayemba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ya viwango vya juu❤❤❤❤❤

  • @zamanarajabu3282
    @zamanarajabu3282 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tamu Sana iina elekea pazuri❤❤❤

  • @PriscaDamian-v2w
    @PriscaDamian-v2w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole San mponji ma shady co mtu mzur

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shadia nakuaminia,,, nakupenda sana we mtoto

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tam sanaaaa❤❤❤❤

  • @BakaliAlexChambasi
    @BakaliAlexChambasi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa mwenyewe msenge tu

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Usijelezee sana mage achana nae hanisi to uyooo mpoji

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 หลายเดือนก่อน +2

    We mage wondoka tu huyo muponji atajuta na huyo muke wake maraya huyo from south Africa 🎉🎉🎉🎉

  • @ZainaibZawad
    @ZainaibZawad 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri tunasubri next ep msicheleweshe jaman

  • @ClaudeTuungane
    @ClaudeTuungane 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kk muelewe dada Magi ana mapenzi ya kweli kwako maman shadya ana roho mbaya sana.

  • @EugenieNziavake
    @EugenieNziavake 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana mage! Mponji kweli ? kwa nini unakosa moyo wa huruma, mponji nimekuchukiya tena,yaani sikupendi tena

  • @JestinaAmocy-r5f
    @JestinaAmocy-r5f 2 หลายเดือนก่อน +1

    🌷🌷 kwenu hongeleni kwa mafundisho

  • @MwajumaJuma-h4k
    @MwajumaJuma-h4k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto nampenda bure❤

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama hajrah kayakanyaga❤❤❤

  • @AlineEster-w6c
    @AlineEster-w6c 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ seemuya kumi natanom

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nice episode 👏 jamani like kwa mtoto shadia 😂❤ 👍

  • @saumuchai9620
    @saumuchai9620 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤🎉🎉

  • @ZanabZone
    @ZanabZone 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kabis❤❤❤🎉🎉

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh pole sana dada mag ndo shangamoto za kimaisha nikimekuonea huruma sana had chozi lanitoka

  • @PaulinWandemba-wy6nd
    @PaulinWandemba-wy6nd 2 หลายเดือนก่อน +2

    Niatari kbs

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mwiso tamu sana nagoja Sasa hiki kimama kitimuliwe

  • @MwanaidiJuma-x2y
    @MwanaidiJuma-x2y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwela saf sana

  • @MtambiSemeni-o2n
    @MtambiSemeni-o2n 2 หลายเดือนก่อน +7

    Fundisho kubwa sana kuna watu wanadhurumiwa haki zao kama Mage kwasababu tu ya maneno ya uongo na ya chuki. Hongera sana Mponji umetumia busara maana bila hivyo ningeumia sana kuona Mage anaangamia kwa maneno ya uongo zidi yake

  • @Momy327
    @Momy327 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah kaz mzur kipenz changu❤❤❤❤❤

  • @MrishoSamueli
    @MrishoSamueli 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbendio Kazi zenu kuwapotosha watoto

  • @carolineberger8889
    @carolineberger8889 2 หลายเดือนก่อน +2

    Cao from Germany kenya ❤

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto haongei uongo lakn mkumbuke akiambiwa anashika mtoto anaweza kudanganya kwa kufundishwa na mtu mkubwa kuen makin. mponji umeendana sana na magg ❤❤❤❤❤❤

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana Mponji kwa kutumia busara maana bila hivyo ningeumia sana mimi

  • @BundaraMaria
    @BundaraMaria 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri mpoji nimekubari kazi nimejifuza kitu

  • @JailosNickson
    @JailosNickson 2 หลายเดือนก่อน +3

    Inafundisha sana kuna mambo manne wamama wanatabia sana kuwamezesha watoto wao sumu pili ukiolewa na mwanaume mwenye mtoto anapenda sana kumsikiliza mtoto wake, tatu ukiambiwa neno baya akachukua uamuzi bila uchunguzi utamdhurumu haki mtu mwingine, NNE mponji kafikiri kabla ya kutenda kaokoa jahazi la dada wa kazi. Mponji ni mwandishi bora wa mwaka huu sio siri napenda sana kazi zako kaka

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawapenda wahigizaji wetu ❤❤❤❤

  • @DevianDiveo
    @DevianDiveo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi mtoto mzuri

  • @WinifridaSamweli-y8n
    @WinifridaSamweli-y8n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ninzuri sana

  • @REHEMAYUSUPHU-ds1uf
    @REHEMAYUSUPHU-ds1uf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimelia Sana nimemuonea uruma mage

  • @MariaGerard-vw4nh
    @MariaGerard-vw4nh 2 หลายเดือนก่อน

    Safi mage kuomba nauli ❤❤❤

  • @LillianS-qt6gi
    @LillianS-qt6gi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wow😮 Kitoto kizuri kabisa 😍😍😍. Huyo mwanaume naye ni zoba, anashindwa kujuwa mwanamke ampendae 🤣 na anae mpelekesha!!!

  • @SofiaSeif-e5t
    @SofiaSeif-e5t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kawada mtoto hanananga siri lazima atasema

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx หลายเดือนก่อน

    Mashallah mtt mzur

  • @janetnasimiyu8646
    @janetnasimiyu8646 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana

  • @AgnesMathew-u7h
    @AgnesMathew-u7h 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn mage umenitoa machozi😢😢

  • @BonifaceLutta-j8o
    @BonifaceLutta-j8o 26 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa

  • @MaryWayuuwa
    @MaryWayuuwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu ajira sio.wa kweli 😂😂😂😂😂mage nawe jengewa toka uko pangisha upokeange hela tuone uyu mshezi atakua akijingamba na nni

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 หลายเดือนก่อน +5

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Thank you so much. Love y'all ❤❤❤.

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wee mpoteze mke mzuri kwa upuzi tu😢

  • @RatifaRamadhan-j6r
    @RatifaRamadhan-j6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mage kaingia choo Cha kiume angejua asingemtetea hajila ni shetani kabisa huyu mama, pole mage

  • @NajmaMgallah
    @NajmaMgallah 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mmh watu waliowahi kukaa pamoja n wakazaa n ngum sanaaa kuachan , mage umeambiw uende n hajra yupo ndani , bad hujagundua kit, tayal kaon mkewe anathamani

  • @JoycebarakaEster
    @JoycebarakaEster 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mage pole Sana

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤malavo love yako Mponji hapo umetumia akili sana kuchunguza kujua ukweli na sio kumfukuza Mage

    • @patbanz5688
      @patbanz5688 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kwel

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wabongo wazur ila hamna nywele mabuno tu makubwa

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sai umejuwa kuwa mkeo ni nyoka,,, hahaha uko na sumu

  • @KidoleShaban
    @KidoleShaban 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza unatakiwa kufatilia kitu ndo utoe maamuzi nasi kukurupuka Kwan utajuta

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo sasa mponji huo ndio ume kujukua mda mwafaka Kwa kumjunguza shady Maggie kiukweli anampenda mtoto pia shady anampenda sanaaa kuliko mama'ke 😊😊

  • @abonikesalome301
    @abonikesalome301 2 หลายเดือนก่อน

    Waoooo shadya kamaliza kipindiii
    😂

  • @glorryandrea6326
    @glorryandrea6326 2 หลายเดือนก่อน

    Next plz leo adi nimelia jaman pole sana mage

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wachan kuchelewesha mzigo bana wenyewe umetulia kama nn vle ❤❤❤❤

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba shadia waanza kukera sasa.Mbna unataka kumkosesha mwenzako raha.Mwaanza kutuudhi sasa watazamaji ak.

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 หลายเดือนก่อน +2

    Munazingua bna munachelewesha sana

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 หลายเดือนก่อน +1

      Leo mida mida kidogo inatoka my dear

  • @AdellaMwita-xz5zm
    @AdellaMwita-xz5zm 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kweli tabia ni kama ngozi 😂

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani huyu mtoto 😂

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mponji we chix kweli unashindw kijiongeza , toka uko nyuma mage anakaa na mtt xizur

  • @TatiannahAyuma
    @TatiannahAyuma 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm afai kufundisha mtoto tabia za kipumbavu iyo niujinga

  • @ZuhuraSalim-x3v
    @ZuhuraSalim-x3v 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman mama shaja we nimfitinaji kabisa😢

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani2798 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba shaidia chunga mama shadia huyo amerudi na zake😂😂😂

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mponji zin waarijii pima nauzidishe chunguza kwanza

  • @Mussa-i7z
    @Mussa-i7z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Munataka move iwe ndefu t au mwanaume unazingua paniki bila uchunguzi

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 หลายเดือนก่อน +8

    Inauma sana kwa Mage ila sisi tulikwambia huyo mama Shadya kaja na mpango wake angalia sasa anavyokuangamiza kwa maumivu makali sana

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 2 หลายเดือนก่อน

      Ila ataumbuka sana hatafaulu anajitengenezea mwenyewe ticket ya kutoka kwenye hiyo nyumba

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume hajitambui huyo bwegeee

  • @dautonmdodwe5700
    @dautonmdodwe5700 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama shadya acha roho mbaya

  • @joycejohn2211
    @joycejohn2211 2 หลายเดือนก่อน +3

    Msiwe mnachelewesha sasa

  • @Aminakadege
    @Aminakadege 2 หลายเดือนก่อน

    Bab shadiya msikilize mage nyoko wew.

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeanza kuzingua kuchelewa

  • @UmmuJuhaynaAbuuIssa
    @UmmuJuhaynaAbuuIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

    lakin kusudi haiyambiwi pole mama ndo ukome magee umeyataka mwenyewee kula chama sasa ichoo

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu kaka nae ni mweu tu maggy ana kosa lolote

  • @NYAKUBONDYATOSA
    @NYAKUBONDYATOSA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hii inafunzo kubwa sana kwa pande zote mbili, Kila unachoambiwa unatakiwa kukifikilia kwa kina na sio kukurupuka, na siku zote ukweli haujifichi

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx หลายเดือนก่อน

    Wanaume kweli

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tuletee haraka tajiri mponji,,,maana patamu hapa

  • @DomiChaula
    @DomiChaula หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wanaume hawa kidogo tu wanaamini Dah ndoa shida

  • @SemaniHamdu
    @SemaniHamdu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwisho wa ubaya aibu ila mage nimekubali sana alichokifanya kama kweli anataka baba hajra Aishi na aman ni Bora kuondoka hapo ndipo baba hajra atajuwa kama mage anamakosa au laaa

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aki mupoji ni mujiga vipi

  • @SaadaBenadi-pj2bn
    @SaadaBenadi-pj2bn 2 หลายเดือนก่อน +22

    Naomba like jaman sijawai kuomba leo naomba

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bro Mponji Leo nimekukubali lakini huweziamini nilishaanza kukuchukia

  • @lusianassenga5698
    @lusianassenga5698 2 หลายเดือนก่อน +2

    Imeishia patamu

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 2 หลายเดือนก่อน +3

    DAH HAJAR NI NYOKA KABISA

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwakua mponji amajua ukweli

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilijua tu mamashady anataka kuharibu sio poa

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanaume kamili haezi akafanya huu ufala ni huyu pekee

  • @wemasangasanga757
    @wemasangasanga757 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bola mtoto ameongea ukweli jaman mage ni mwema sana mponji🎉🎉

  • @JoviniNyamsak
    @JoviniNyamsak 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hauna mkosi sema ni wenge lako tu

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unakumbuka shuka kumekucha

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kahanza kuyatoa makucha do 🤣🤣🤣🤣

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu หลายเดือนก่อน

    Huyu hajjra ni mbaya kwel anamutia sumu mtoto jamani mponji nae anaamini haraka bila uchunguzi jamani mage pole sana ❤❤❤😢😢